Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel's attack hotspots so far:
▪️
Tehran
▪️Tabriz
▪️Qom
▪️Ford
▪️Natanz
▪️Arak
▪️Ahvaz
▪️Shiraz
▪️Bushehr
▪️Isfahan

All the above are the major sites of both their ballistic missiles and nuclear programs.
 
US President to Iran: Reach an agreement "before there's nothing left"

US President Donald Trump is addressing Iran, saying it now has another chance to reach a nuclear deal “before there’s nothing left.” According to Trump, he gave Iran a 60-day ultimatum and the Israeli attack was launched on the 61st day.

Trump warned Iran that if it did not do so it could face even more severe attacks. However, Trump promised that the United States would stay out of the war.

At the same time, several foreign policy experts warn that China may take action to avoid losing its proxy state - Iran.

As you may recall, China buys very large quantities of oil from Iran and supplies it with many products for military and civilian use.

(NTD)
Trump ana akili za kihafidhina za kale.

Matamko ya namna hii kiushahidi wa wazi aliyatumia dhidi ya China. Mwisho wa siku hayakufanya kazi, na US ndiyo akawa anahangaika kutafuta channel ya mawasiliano dhidi ya China.

Utawala wa Iran ulishajibu tangu jana kuwa mpango wake wa urutubishaji wa madini ya nuclear upo pale pale.
 
Wanadai wamepiga Nuclear facilities na viwanda vya Missiles na wamemuwa chief of staff haya tusubiri basi Israel kisha shinda vita kama maneno yao kweli hahaha. Mimi nacho ona ni majumba tu ya Tehran yanawaka moto sijaona kwenye Nuclear facilities.
Ww una intelligence gani ya kukuwezesha kuona nuclear au unafananisha na mandazi ya mama asha
 
Israel's attack hotspots so far:
▪️
Tehran
▪️Tabriz
▪️Qom
▪️Ford
▪️Natanz
▪️Arak
▪️Ahvaz
▪️Shiraz
▪️Bushehr
▪️Isfahan

All the above are the major sites of both their ballistic missiles and nuclear programs.
Hahahaha!

Utanifanya kama nikujibu kwa kila unachokiweka.

Na baada ya kufanya hayo mahsmabulizi kilochotokea baada ya hapo kwa Israel ni kipi?
 
Watafika tu huko! Ni suala la muda tu.

Kwani awali Irani haikuwahi kushambulia makazi ya raia. Lakini awamu hii kashambulia makazi ya raia ya Israel.

Atapiga tu huko! Tatizo la Israel anafikiri michezo michafu anaiweza yeye tu.
Sahihi, kingine afanyie kazi mossad kuweza kuwafuatilia viongozi wa juu haswa wanasayansi na viongozi wa jeshi wa ngazi za juu, inavyoonekana mossad wanafahamu mpaka vyumba wanavyolala hadi madirisha muda walipo na nini wanafanya haswa uraiani.

Lakini naona wanaotoa maamuzi wapo ndani zaidi hawajulikani sana, kwa maana licha ya wakubwa wa jeshi kuuawa, wanasayansi kuuawa lakini ni kama Iran hairudi nyuma.

Fakhrizadeh aliyekuwa mwanasayansi mkubwa sana wa nuclear hadi aliitwa baba wa nuclear program za Iran alipouawa 2020, Israel walidhani wamewapunguza nguvu sana katika urutubishaji, cha ajabu leo hii wanazidi kwenda mbele zaidi.

Kikubwa nachoweza kusema, vikwazo, mauaji ya wanasayansi, cyberwarfare ni njia ambazo Israel imetumia kwa muda mrefu na hazijairudisha nyuma na kufanikiwa ku stop Iran katika programme zake za uranium... kwa hio Israel imeamua moja kwa moja kwa msaada wa US kuamua kutumia nguvu za kijeshi kusimamisha urutubishaji wa nuclear wa Iran, ni njia pekee Israel imebakiza na ni last option ndio tunashuhudia hapa.

Inavyoonekana Iran wana mfumo ambao wanaufuata katika suala zima la usalama wa taifa, ipo dhahiri viongozi wa ngazi za juu wa Iran katika jeshi na projects za nuclear ni kama wanaweza kuwa replacable haraka na kazi zikaendelea... hii inaleta hoja kwamba kua watu wasiojulikana wapo ndani ya serikali na ndio watoa ushauri wakubwa kuhusu usalama wa taifa la Iran...

Kuna mfumo madhubuti wa kurithi/succession planning, ambao huhakikisha kuwa kazi na miradi inaendelea hata kama mtu mmoja ataondolewa au kuuawa, Kiongozi mmoja akiondoka, mfumo hausimami.

Watu wasiojulikana lakini wenye ushawishi mkubwa hutoa mwelekeo wa kitaifa, hasa kwenye nyanja za usalama.

Mfumo huu huifanya Iran kuwa na uimara wa ndani licha ya mashinikizo ya nje...

viongozi wanaojulikana wa Iran mara nyingi ni kama miamba ya juu katika mlima mkubwa ia maana huko ndani kuna miamba zaidi ya mfumo wa kiusalama, kijeshi, na kisiasa ambao unaendeshwa kwa kiasi kikubwa na watu wa ndani wasiojulikana. Kwa hivyo, kuwashambulia au kuwaondoa watu hawa hadharani kuna athari ya kisiasa au kiitikadi, lakini mara nyingi hakuyumbishi mfumo mzima.
 
View attachment 3367886

Haya mpaka media za Magharibi zinaanza kuwaumbua, hio Fox news kaenda mpaka kituo cha jeshi equivalent ya Pentagon kilicholiwa kichwa.

Baba Mwajuma, jua hili, wenye majina kama Mwajuma hakuna akili hata kidogo like Iran ilivyo, hifadhi huu ujumbe wangu, Utawala wa Ayatollaah wa Iran inaenda kuanguka na kutokomezwa na itakuwa kama Iraq, Libya, Syria, Lebanon, Afghanistan, Kuwait, Yemen, etc etc na kama huamini, subiria kidogo kama mwezi hivi alafu utakumbuka, ogopa sana mtu aliyekuzidi kila kitu hasa akili, Myahudi tokea enzi na enzi anashinda vita vyake na kama hujui ndani ya Tehran wako Mossad kibao wanapigana ndani kwa ndani bila kuonekana hasa usiku, na wanatumia hadi laser guns kibao na wanaua viongozi wa Iran ndani ya Tehran na sites za Jeshi la IRGC, na hawawakamati hata mmoja na operations hizo zinafanywa usiku kwa usiku na baada ya mwezi mmoja utasema mwenyewe.

USA pia yuko hapo kum support Israel ila bado hajaanza kumpiga Iran, na US akianza tu, basi Iran imeisha
 
Reza Pahlavi, son of the last Shah, Mohammad Reza Shah Pahlavi, calls on the Iranian military to join the people to overthrow the brutal ayatollah regime
Kwa Iran hilo halifanyi kazi, kwani wanamtambua kuwa huyo na baba yake alikuwa ni kibaraka.

Uchimbaji wa mafuta wote uliyokuwa unafanywa Iran na mabepari walikuwa hawapati hata thumni, zote zilikuwa zinaenda kwa mabepari na kwa utawala wa baba yake.

Unadhani wa-Iran ni wasahaulifu kama watanganyika?
 
Viongozi wa Iran wameuliwa kirahisi kwa kuwa walikuwa wanafuatiliwa bila wao kujua (kosa la kiintelijensia). Mbaya zaidi Israel walichezea Hawa wa Israel wamejiandaa vya kutosha wakijua kabisa wao ni walengwa (ubora wa kiintelijensia). Hata hivyo Iran wamefanikiwa kumuua Aluf David Salami ambaye ni Navy commander wa Israel
Safi sana..
 
Sahihi, kingine afanyie kazi mossad kuweza kuwafuatilia viongozi wa juu haswa wanasayansi na viongozi wa jeshi wa ngazi za juu, inavyoonekana mossad wanafahamu mpaka vyumba wanavyolala hadi madirisha muda walipo na nini wanafanya haswa uraiani.
Iran inachotakiwa kufanya ni wawabane Wayahudi wanaoishi nchini mwao kama Russia inavyofanya. Au kama China inavyofanya dhidi ya Vatican.

Wakiendelea kuwapa uhuru kama zilivyo dini nyengine watasumbuliwa maisha. Wawabane kila nukta, na ujinga wowote utakaotokea dhidi ya wayahudi wawape kibano kizito.

Vilevile wawe na adhabu kali na za wazi kwa mashushu watakaokiuka viapo. Washughulikiwe na kama Russia anavyowashugulikia mashushu wake wanaokiuka.
 
Baba Mwajuma, jua hili, wenye majina kama Mwajuma hakuna akili hata kidogo like Iran ilivyo, hifadhi huu ujumbe wangu, Utawala wa Ayatollaah wa Iran inaenda kuanguka na kutokomezwa na itakuwa kama Iraq, Libya, Syria, Lebanon, Afghanistan, Kuwait, Yemen, etc etc na kama huamini, subiria kidogo kama mwezi hivi alafu utakumbuka, ogopa sana mtu aliyekuzidi kila kitu hasa akili, Myahudi tokea enzi na enzi anashinda vita vyake na kama hujui ndani ya Tehran wako Mossad kibao wanapigana ndani kwa ndani bila kuonekana hasa usiku, na wanatumia hadi laser guns kibao na wanaua viongozi wa Iran ndani ya Tehran na sites za Jeshi la IRGC, na hawawakamati hata mmoja na operations hizo zinafanywa usiku kwa usiku na baada ya mwezi mmoja utasema mwenyewe.

USA pia yuko hapo kum support Israel ila bado hajaanza kumpiga Iran, na US akianza tu, basi Iran imeisha
Masahihisho kidogo uongozi wa Afghanistan haujabadilika
 
Preparing the ground for an American attack on Iran?

US Ambassador to Israel Mike Huckabee recently tweeted:

700,000 Americans live in Israel.
Iran is not only attacking Israel but also the Americans who live here.
20250614_120056.jpg
 
Iran inachotakiwa kufanya ni wawabane Wayahudi wanaoishi nchini mwao kama Russia inavyofanya. Au kama China inavyofanya dhidi ya Vatican.

Wakiendelea kuwapa uhuru kama zilivyo dini nyengine watasumbuliwa maisha. Wawabane kila nukta, na ujinga wowote utakaotokea dhidi ya wayahudi wawape kibano kizito.

Vilevile wawe na adhabu kali na za wazi kwa mashushu watakaokiuka viapo. Washughulikiwe na kama Russia anavyowashugulikia mashushu wake wanaokiuka.
Kilichobaki sasa Iran ni kupelekeka mashambulizi mazito sana usiku wa leo , kesho na siku kadhaa mbele ili kuifanya Israel isiwe mahali salama tena, ili raia wa Israel waanze kuikimbia nchi..

Hii ndio lugha pekee Israel itaelewa iache kuishambulia Iran, Iran pia imalize makazi wanapoishi viongozi wa jeshi la Israel, wapige haswa...
 
Back
Top Bottom