Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Hii chai mzee! Wapo vizuri kiitelejensia na viongozi wameuliwa wakiwa vyumbani mwao!
Alichokifanya Marekani kuhusu Israel kwa Iran ni sawa walichokuwa wakikifanya western dhidi ya Russia kuhusu Ukraine.

Wakiomba wasitishe mapambano ili wafanye mazungumzo , muda wote huo wanatumia kumhami Ukraine kwa kumpa silaha nyingi za kimkakati, au wenyewe wanaita "game changer". Halafu Russia anapigwa tukio la kushtukiza.

US chini ya Trump waliwazubaisha hivyo hivyo wa Iran, kwenye muktadha wa mazungumzo huwezi kufikiria kushambuliwa na huwezi kujiweka kwenye hali ya kivita.

Nafikiri kwa Iran limekuwa pigo kubwa na funzo kubwa kwao kuhusu Marekani ni mtu wa aina gani!

Lakini kibaya zaidi wanajiharibia wenyewe US kwa sababu kimataifa dhidi ya mahasimu wao hawataaminika tena na ndicho ambacho kinachotokea kwa Ukraine sasa hivi.

Russia hawawaamini tena US na nchi za western kwenye mikataba yoyote hususani ya kiusalama. Wakiomba mikutano ili wasitishe vita wakae mezani Russia yeye anaendelea na vita na mezani ana kaa. Tena anataka akae na Ukraine mwenyewe. Ili akikikiuka makubaliano yoyote ana dili na Ukraine mwenyewe.

Kwa hayo, US mbeleni atakuwa na wakati mgumu sana wa kudili na Iran. Nina uhakika Iran itabadili sera yake ya ulinzi na kuiweka nchi yao iwe kwenye hali yote ya kivita kama ipo vitani ili kukabiliana na mfano wa majanga yaliyotokea.

Na mbaya zaidi, Israel inazidi kujigundua na washirika wake kuwa hawapo salama kabisa kwa Iran.

Iran imeshambulia Pentagon ya Israel na kambi zake za kijeshi za ndege zake anazohifadhia na viwanja vya kurukia n.k

Kwa nini Israel haipo salama kwa Iran?

Meya wa "Ramat Gan" iliyoko mashariki mwa Tel Aviv:

"Tumeshuhudia madhara makubwa huko Ramat Gan tangu siku za Vita ya Ghuba na pia wakati wa Operesheni 'Iron Swords', lakini tukio kama hili halijawahi kutokea mjini hapa. Hili ni tukio la kiwango tofauti kabisa."

Israel ina tabaka 3 za ulinzi wa anga. Tabaka ya kwanza inalindwa na US,UK na France. Tabaka ya pili inalindwa na kwenye anga ya Jordan na Saudi Arabia. Tabaka ya 3 na ya mwisho ni ya anga yao wenyewe. Lakini huko kote makombora yamepita na kupiga miundombinu muhimu.

Hatari zaidi wamejaribu kurudisha mapigo lakini anga ya Iran imekuwa ngumu kuingilika kwa sasa.

Hii ni hatari kwa usalama wa Israel na ni hatari kwa usalama wa US. Kwa namna Iran jinsi alivyo, kwa kuwa US ametumia kambi zake za jeshi huko Iraq kuratibu mashambulizi dhidi ya Iran nchini mwake, Iran inaweza kuziwajibisha hizo kambi pia. Usiniulize itakuwaje?! Kwani tayari walishafanya huko nyuma.
 
Wayahudi sio watu wazuri, Iran imethibitisha.

BREAKING: Iran confirms that senior military intelligence chief has been killed in Israeli strike
Two more eliminations

The Iranian regime admits that the head of the intelligence department, Gholam Reza Mharabi, and the head of the operations department of the General Staff, Mehdi Rabbani, were eliminated.
 
NEW Chinese satellite imagery confirms destruction of Iran’s Sobashi Radar Site after Israeli airstrikes.
20250614_112342.jpg
 
Two more eliminations

The Iranian regime admits that the head of the intelligence department, Gholam Reza Mharabi, and the head of the operations department of the General Staff, Mehdi Rabbani, were eliminated.
Ninachowapendea wa Iran huwa hawafichi taarifa.

Kwa sababu uwezo wa kuficha wanao lakini bado wanaziweka wazi.
 
Ninachowapendea wa Iran huwa hawafichi taarifa.

Kwa sababu uwezo wa kuficha wanao lakini bado wanaziweka wazi.
Iran officially admits that the nuclear facility in Fordow was attacked last night by Israel - claims there was limited damage

Spokesperson for the Atomic Energy Organization of Iran:

Limited damage was caused to the nuclear facility in Porodo.
We took the important equipment out of Fordow even before the attack.

There is no fear of radioactive leakage.

We will repair the limited damage caused to the facility.
 
US President to Iran: Reach an agreement "before there's nothing left"

US President Donald Trump is addressing Iran, saying it now has another chance to reach a nuclear deal “before there’s nothing left.” According to Trump, he gave Iran a 60-day ultimatum and the Israeli attack was launched on the 61st day.

Trump warned Iran that if it did not do so it could face even more severe attacks. However, Trump promised that the United States would stay out of the war.

At the same time, several foreign policy experts warn that China may take action to avoid losing its proxy state - Iran.

As you may recall, China buys very large quantities of oil from Iran and supplies it with many products for military and civilian use.

(NTD)
 
During the attacks over the past 24 hours, Israel destroyed most of Iran's air defense system and severely damaged the access routes to its ballistic missile bases.

Iranian officials wrote in private correspondence: "Where is our air defense? How can Israel come and attack what it wants, eliminate our leaders, and we are unable to stop it?" Many criticized the intelligence and security failures that hampered Iran's ability to anticipate the attack.
 
Ninachowapendea wa Iran huwa hawafichi taarifa.

Kwa sababu uwezo wa kuficha wanao lakini bado wanaziweka wazi.
Wanafichaje sasa wakati myahudi anawaua na anasema wazi mzoga huo hapo kazi nimeshamaliza, akipiga kitu fulani anatoa na picha kabisa before na after.
 
Iran officially admits that the nuclear facility in Fordow was attacked last night by Israel - claims there was limited damage

Spokesperson for the Atomic Energy Organization of Iran:

Limited damage was caused to the nuclear facility in Porodo.
We took the important equipment out of Fordow even before the attack.

There is no fear of radioactive leakage.

We will repair the limited damage caused to the facility.
Naam, hawa ndiyo wa Iran. Huwa hawafichi taarifa zao.
 
Shortly after the attack, Iranian leader Khamenei was moved to a secure location, and yesterday morning he convened Iran's Supreme National Security Council to discuss a response.

According to the report, Khamenei said he wanted revenge, but did not want to act rashly. During the meeting, there were differences of opinion on how to respond and whether to prepare for a prolonged war, given the severe damage to Iran's air defense system and missile capabilities, and the fear that the United States would also be drawn into the war.

One participant warned that if Israel were to attack Iran's energy and water facilities, it could spark widespread internal protests. It was also reported that during the meeting, Khamenei appeared to be facing an existential question: if he attacked and the war expanded, there would be a real danger to the continuation of his rule, and if he showed restraint, this could be interpreted at home and abroad as a defeat.

At the end of the meeting, Khamenei ordered that the first part of the response would include launching a thousand ballistic missiles to saturate Israel's air defense system and cause maximum damage, but due to Israel's attacks on the missile facilities, Iran was only able to launch about a hundred missiles.

Iran worked yesterday to repair and replace some of the air defense systems damaged by Israeli strikes
 
The Chief of Staff and Commander of the Air Force made a dramatic statement: "The road to Iran has been paved."

In accordance with regular plans, Air Force aircraft will begin operating to attack targets in Tehran.

This means that the IDF destroyed Iran's detection systems.

Air Force planes flew last night and completed a wave of strikes in the skies over Tehran; Air Force Commander, Major General Tomer Bar: "The strikes over the skies of Tehran have operational and national significance. We chose to act in the face of an existential threat to the security of our citizens, with professionalism, determination and precision."

(The New York Times)
 
Iran ambacho mpaka sasa inafeli na ni suala wanapaswa kulifanyia kazi, ni kuanza kuwapeleka kuzimu wale viongozi wa kizayuni wa karibu wa Neta wote ambao wanatishia usalama wake..

Lakini naamini kuna mengi zaidi yanakuja..
Viongozi wa Iran wameuliwa kirahisi kwa kuwa walikuwa wanafuatiliwa bila wao kujua (kosa la kiintelijensia). Mbaya zaidi Israel walichezea Hawa wa Israel wamejiandaa vya kutosha wakijua kabisa wao ni walengwa (ubora wa kiintelijensia). Hata hivyo Iran wamefanikiwa kumuua Aluf David Salami ambaye ni Navy commander wa Israel
 
Major damage to residential community in central Israel as a result of the last barrage last night. Two people were killed.

A baby was rescued from the wreckage.
 
Images from Teheran’s Mehrabad airport:
It is apparent that a number of cargo planes (I believe from companies linked to the Iranian Revolutionary Guards) were destroyed.

According to other sources, the hangars where a number of Iranian fighter jets were stored at the airport in Mehrabad were also destroyed.

Abu Ali
20250614_113347.jpg
 
Israel yatangaza kufanya mashambulizi nchini Iran

Milipuko ya mabomu yasikika katika mji mkuu wa Iran wa Tehran

Usiku wa kuamkia leo Juni 13 Israel imefanya mashambulizi ya anga kwa nchi ya Irani huku ikilenga maeneo muhimu na viongozi katika mji wa Tehran.

Shirika la Habari la Tasnim la Iran limesema kuwa Mkuu wa Baraza la Mapinduzi la Kiislam la Iran(IRGC) Meja Jenerali Hossein Salami(wa kwanza pichani) amepoteza maisha katika mashambulizi ya Israeli.

Taarifa hiyo imeeleza kuwa Mbunge na Mwanasayansi Fereydoun Abbasi(wa pili pichani)na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Azad na Mwanafizikia wa Nyuklia Mohammad Mehdi Tehranchi(wa tatu pichani) ni miongoni mwa waliouwa na shambulizi hilo

Huku taarifa hiyo ikiongeza kuwa Jenerali Gholamali Rashid, Kamanda wa Makao Makuu ya Khatam Al-Anbiya ya IRGC, pia akielezwa kufariki katika mashambulizi hayo.

Mashambulizi ya Israel yameonekana kulenga watu muhimu katika taifa hilo huku Israel ikieleza kuwa bado itaendelea kujiimarisha kinyuklia hata kama vinu vyake vitaathirika.

Kwa mujibu wa televisheni ya serikali ya Iran, Mkuu wa majeshi jenerali Mohammad Bagheri na mkuu wa Kikosi Maalum cha Walinzi Mapinduzi, Meja Jenerali Hossein Salami, ni miongoni mwa waliouawa katika mashambulizi ya Israel ya Ijumaa.

========================


The Israeli military has carried out several strikes targeting Iran’s nuclear facilities and military sites in and around the country’s capital, Tehran, Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu said.

In a prerecorded video message posted early Friday morning, Netanyahu said the strikes were aimed at hurting Iran’s nuclear infrastructure and ballistic missile factories.

“This operation will take as long as is needed to complete the task of fending off the threat of annihilation against us,” Netanyahu said.

An unnamed Israeli military official told the Reuters news agency that Israel struck “dozens” of nuclear and military targets early on Friday.

Iranian state-run news agency, Nour News, said several “loud explosions” have been reported in and around Iran’s capital. It added that Iran’s air defence system is on full alert, and all flights at Imam Khomeini international airport have been suspended.

The Israeli military also confirmed to The Times of Israel newspaper it had “launched an aerial campaign against Iran’s nuclear programme” in an operation dubbed “Nation of Lions”. The source told the outlet it needed to act against the “imminent threat” posed by Iran.

Iranian state-run media outlet Press TV confirmed that there have been several casualties, without providing a number.

An unnamed Israeli defence official said the strikes have likely killed members of Iran’s general staff, including the chief of staff and several senior nuclear scientists.

Iran supreme leader says Israel will receive 'bitter fate'​

Iran supreme leader, Ayatollah Ali Khamenei, says the attacks reveal Israel's "vile nature, Reuters reports, and that with this attack Israel "has prepared a bitter fate for itself, which it will surely receive."

Israel braces for Iran's response​

Early reports suggest ‘Operation Rising Lion’ has dealt a significant blow to Iran, with dozens of strikes across the country reportedly killing several senior Iranian military figures and nuclear scientists.

Here in Israel, we were woken up at around 03:00 (01:00 BST) by a burst of sirens followed by a phone alert, warning us of a “significant threat” and instructing us to stay close to a shelter.

Now, the whole country is waiting to see what Iran's response will be.

Clues to that may lie in the last few times the two nations have taken military actions against each other.

Last April, Iran launched about 300 missiles and drones at Israel, which Israel responded to with a “limited” strike on a missile defence system.

Over the following months, Israel went on to assassinate several leading figures from Iranian proxy groups across the region, including Hamas and Hezbollah.

Iran hit back in October by launching about 180 ballistic missiles at Israel - which responded with a series of “targeted” strikes on Iranian military facilities.
Safi sana Kuna mashoga yanasemaga ISRAEL inaiogopa IRAN chimbuko la mashoga wakati WAO WA IRANI wanawaita Israel MALAIKA MTOA ROHO HONGERA KWA ISRAEL
 
Back
Top Bottom