Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Some of you are asking how Israel can announce that the road to Tehran is now open when many attacks on the city have already been carried out in the past 30 hours.

The explanation is simple: Up until a few hours ago, the strikes on Tehran were conducted from a long distance by fighter jets and explosive drones operating within Iran. Since the early hours of this morning, Israel has managed to destroy and paralyze Iran’s air defense system, meaning Israeli fighter jets can now freely fly over Iran and its capital to carry out much more extensive operations!
 
Baba Mwajuma, jua hili, wenye majina kama Mwajuma hakuna akili hata kidogo like Iran ilivyo, hifadhi huu ujumbe wangu, Utawala wa Ayatollaah wa Iran inaenda kuanguka na kutokomezwa na itakuwa kama Iraq, Libya, Syria, Lebanon, Afghanistan, Kuwait, Yemen, etc etc na kama huamini, subiria kidogo kama mwezi hivi alafu utakumbuka, ogopa sana mtu aliyekuzidi kila kitu hasa akili, Myahudi tokea enzi na enzi anashinda vita vyake na kama hujui ndani ya Tehran wako Mossad kibao wanapigana ndani kwa ndani bila kuonekana hasa usiku, na wanatumia hadi laser guns kibao na wanaua viongozi wa Iran ndani ya Tehran na sites za Jeshi la IRGC, na hawawakamati hata mmoja na operations hizo zinafanywa usiku kwa usiku na baada ya mwezi mmoja utasema mwenyewe.

USA pia yuko hapo kum support Israel ila bado hajaanza kumpiga Iran, na US akianza tu, basi Iran imeisha
Asante kwa kujinasibisha na islamophobe yako, endelea na ubaguzi wako na kuona majina ya mrengo fulani hayana akili,

Pia Iran ipo hapo hata kabla Judaism, Uisilamu na Ukristo haujaenea, they are that rich in history, washapigana na super power kibao kuanzia enzi za Roma hadi leo.

Mwaka 1970 Iran kabla ya mapinduzi walikua si lolote si chochote, ila miaka 50 tu baadae ni tishio kwa Empire za Magharibi.

Nikukumbushe tu Israel amevamia Iran because they are scared, wanaogopa nyuklia za Iran enrichment imeshafika 60% ambayo ni nzuri kuruhusu kutengeneza silaha za Nyuklia, na wakishakua na Nyuklia watakuwa hawapigiki tena.

Hao mossad wapo toka miaka ya 70 hadi leo why wameshindwa kote huko waweze leo? From nchi Iliopitwa hadi na Tanzania mpaka kuwa nchi ya 15 kisayansi duniani?
 
Kilichobaki sasa Iran ni kupelekeka mashambulizi mazito sana usiku wa leo , kesho na siku kadhaa mbele ili kuifanya Israel isiwe mahali salama tena, ili raia wa Israel waanze kuikimbia nchi..

Hii ndio lugha pekee Israel itaelewa iache kuishambulia Iran, Iran pia imalize makazi wanapoishi viongozi wa jeshi la Israel, wapige haswa...
Ewaaa!

Hapa sasa tunaongea lugha moja.

Ngoja tuone, Iran itafanyaje, au watakuwa ndiyo wamemaliza?
 
Ninachowapendea wa Iran huwa hawafichi taarifa.

Kwa sababu uwezo wa kuficha wanao lakini bado wanaziweka wazi.
Hakuna kitu kama hicho Mwezi Oct 2024 iran walipigwa Mifumo yao ya ulinzi wa anga iliangamizwa lakini wao walikanusha leo hii tumeona ndege-vita za Israel zinavyojipigia huko Iran!!! Kuna vitu vya kuficha na kuna vitu havifichiki!!! Amekufa kamanda mkuu wa jeshi hapo unafichaje?
 
Magaidi lazima yaangamizwe
They target homes.
We target terrorists.
20250614_121548.jpg
 
Defense Minister Israel Katz threatens Iranian leader Khamenei: "The Iranian dictator is turning Iranian citizens into hostages and bringing about the reality that they, and in particular the residents of Tehran, will pay a heavy price for the criminal harm to Israeli citizens.

If Khamenei continues to fire missiles at the Israeli home front - Tehran will burn."
 
Asante kwa kujinasibisha na islamophobe yako, endelea na ubaguzi wako na kuona majina ya mrengo fulani hayana akili,

Pia Iran ipo hapo hata kabla Judaism, Uisilamu na Ukristo haujaenea, they are that rich in history, washapigana na super power kibao kuanzia enzi za Roma hadi leo.

Mwaka 1970 Iran kabla ya mapinduzi walikua si lolote si chochote, ila miaka 50 tu baadae ni tishio kwa Empire za Magharibi.

Nikukumbushe tu Israel amevamia Iran because they are scared, wanaogopa nyuklia za Iran enrichment imeshafika 60% ambayo ni nzuri kuruhusu kutengeneza silaha za Nyuklia, na wakishakua na Nyuklia watakuwa hawapigiki tena.

Hao mossad wapo toka miaka ya 70 hadi leo why wameshindwa kote huko waweze leo? From nchi Iliopitwa hadi na Tanzania mpaka kuwa nchi ya 15 kisayansi duniani?

Mossad strikes within Tehran, unaelewa, hii vita sio maneno, wayahudi wako Tehran, unasikia ww mwajuma


View: https://youtu.be/ll-7ZRrLDf4?si=ABgtmn2MaoKH5Wve
 
Hakuna kitu kama hicho Mwezi Oct 2024 iran walipigwa Mifumo yao ya ulinzi wa anga iliangamizwa lakini wao walikanusha leo hii tumeona ndege-vita za Israel zinavyojipigia huko Iran!!! Kuna vitu vya kuficha na kuna vitu havifichiki!!! Amekufa kamanda mkuu wa jeshi hapo unafichaje?
Hii ni lugha moja tu unayoizungumza. Baadaye utanena zaidi ya lugha hii.
 
Kilichobaki sasa Iran ni kupelekeka mashambulizi mazito sana usiku wa leo , kesho na siku kadhaa mbele ili kuifanya Israel isiwe mahali salama tena, ili raia wa Israel waanze kuikimbia nchi..

Hii ndio lugha pekee Israel itaelewa iache kuishambulia Iran, Iran pia imalize makazi wanapoishi viongozi wa jeshi la Israel, wapige haswa...
Hizo ni ndoto za Mwendawazimu kabisa !!!
 
ANga la ISrael lipo wazi, jana Iran wametuma waves tofauti ya kwanza ilikuwa kuchunguza air defenses zilipo.. zimetandikwa mbaya mbovu..
Naona unateseka sana angalia hapo chini uone mifumo ya ulinzi inavyofanya kazi!!!
 

Attachments

  • telegram_video.mp4
    16 MB
  • תיעוד_מטורף_של_השמדת_הכטב%22מ_עכשיו_בגבול_לבנון_צילום_תומר_נגלי_|.mp4
    179.9 KB
Wayahudi wako Tehran muda wanapiga ndani kwa ndani


View: https://youtu.be/ll-7ZRrLDf4?si=ABgtmn2MaoKH5Wve

Kwani nani kakataa jana hawaja piga? But is that real important ukiangalia mambo kwa big picture?

Iran ni Nchi ya tatu Duniani Kuzalisha Ma engineer, Nyuma ya Usa na Urusi, na unlike Usa nchi yao ni cheap hivyo vitu vinazalishwa haraka tu, as I told you before 1970s nyanja nyingi Iran ilipitwa Na Tanzania, sasa hivi utawafananisha na sisi? Even Israel tumeona alivyopelekewa moto jana, na jinsi siku zinavyozidi ndio jinsi wanavyoimarika.

So utazungumzia hilo shambulio la Israel hapo Iran, na ku ignore vyote ambavyo vimeteketezwa jana kama
1. Nevatim Airbase
2. Ndege 3 including F35
3. Fuel tankers
4. Command na control centre including command kubwa ambayo ni equivalent kama Pentagon ya Usa.
5. Ministry ya VITA ya Israel
6. Industries mbalimbali za silaha.

Vyote Hivyo Mu Iran kavijuaje? Kama sio Spy wa Iran ambao wapo Israel?
 
Back
Top Bottom