baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Unaonesha video za Drone? Onesha video za makombora,Naona unateseka sana angalia hapo chini uone mifumo ya ulinzi inavyofanya kazi!!!
Drone zinatangulizwa mapema na zilikuja mchana (kama video yako inavyoonesha kweupe)
Makombora yenyewe yakaja usiku, kombora mpaka linapiga ndio unaona interceptor inatembea inapiga hewa, Israel hana mfumo wa kuzuia hizo missile. Ushahidi wa Video zipo kibao