Unashindaje vita kwa kutegemea ballistic missile peke yake?huna Air force huna Navy,sasa huyo adui yako utampunguza vipi kasi ya kukushambulia matokeo yake unarusha makombora 300 but yanayolenga shabaha hayazidi kumi tena unapiga makazi ya watu badala ya miundombinu ya jeshi ya adui yako.
Huwa nashangaa sana bado kuna watu wanaamini ADs na stealth jets.. hizi mada tunaongea humu miaka nenda rudi hamsikii..
Ngoja nikuelezee uelewe kitu kimoja...
Jana makombora yaliyotua Israel hayahesabiki, na waliokuwa wanarekodi ni watu ambao walikuwa wanarekodi kwa sekunde baadhi na kukimbia kwenye shelters kunusuru uhai wao... wengine walirekodi mbali sana lakini kwa tahadhari kubwa..
Sote tuliona missiles za Iran zikishuka zikiwa zimepita Jordan na nchi zingine ambapo anga zimefungwa lakini zikavuka na kuingia Tel Aviv...
Iran jana imepiga makazi ya watu kwa makusudi maalumu baada ya Israel pia kupiga makazi ya watu na kuua raia zaidi ya 70.. wakiwemo watoto..
Iran wamepiga targets 150 na zote salamu zimefika vilivyo..wamepiga military bases Nevatim na Ovda airbases ambapo ndio ilikuwa command and control center ya cyberwarfare na electronics...
Wamepiga Tel Nof airbase karibu na Tel Aviv..
wamepiga industrial and military centers.. wamepiga sehemu nyingi za kijeshi ikiwemo HQs zao..
Israel hawawezi shinda vita kwa kutegemea ndege ambazo zinadaiwa kuwa ni stealth kwa ajili ya marketing halafu zinaishia anga la Iraq... hivi ndege inayotoka Israel inasogea hadi Iraq na kuachia guided missiles ina tofauti gani na drone ama ballistic missile inayotoka Iran na kupiga Tel Aviv?
Una uhakika Iran hawana Navy? we jamaa sijui unachosema ni kipi, jana Iran baadhi ya missiles zimetokea kwenye meli..
Hebu niambie airfoce na Navy inafanya kitu gani cha ziada ambapo ballistic missiles haziwezi?
Kitu pekee nitakubali kwenye vita ambapo kuna impact kubwa ni ardhini.. kwanini Iran inahitaji airforce hali ya kuwa ina missiles zinafika shemu yeyote middle East pasipo ku risk maisha ya rubani kama jana IDF pilot wa kike alivyokamatwa kama panya?