unaongea uongo ili iweje viwanda vya mafuta sasa hivi vinashambuliwa na Israel baada ya Iran kushambulia maeneo ya Raia!!!!The Tabriz refinery denies: No was carried out garlic attack and not Caused damage For facilities, activity continues as usual.
Endelea kujifariji!!!!Kipimo kilekile Israel anachompimia mwenzake ndicho atakachopimiwa.
Mashambulizi ya jana aliyoyafanya Iran nayo yapo hivyo hivyo kama kipimo cha awali alichopimiwa na Israel.
Iran inajua nini cha kufanya. Tuwasubiri wao tuone watajibuje kwa sababu Iran hapo haipigani peke yake. Inapigana na US, UK, France, Jordan, Saudi Arabia n.k
sasa iran na hamas wana tofauti gani mwenzake israel yupo ndani ya tehran anarusha drones na makombora ya ndege kutoka iran, israel anachagua watu wa kuwaua na anawaua, anachagua sehem za kupiga na anazipiga kutoka kwenye ardhi yao, sasa iran na yeye si apeleke ndege kwenye anga ya israel achague sehem muhimu za kupiga? iran anarusha tu popote litakapotua kwake sawaKidume anasaidiwa na nchi za kiarabu kama zote na US kuzuia missiles lakini zinapenya kama nyoka anaingia pangoni..
Miundo mbinu ya ges imepigwaHakuna unyonge wacha tuone wanawinda nini muda huu
Kuna uwezekano mkubwa kwa maafisa wakuu wa Jeshi na wake zao wamesepa kwenda Russia. Hata huyo Ayatollah kuna uwezekano akawemo humo ndani ya hiyo ndege!!Ayatollah kakimbilia russia
😂😂😂😂😂🤣🤣 We jamaa kuwa na huruma na mbavu zetuIsrael na iran wasipo behave, tutatuma jeshi la tz likawatie adabu
Nilikukumbuka sana arbaab za siku lakini?Changamoto ni kwamba tunazungumza na wasiyojua!
Na si ajabu akiiona hii comment akauliza tena, wewe unayejua umefikia wapi? Ndiyo akili za watanganyika hizi! Halafu wanataka mabadiliko!
Mnaendeleaje hapo Yemen mkuu?Nilikukumbuka sana arbaab za siku lakini?
Huna twitter?Mzee Mangungu tunazifunguaje hizi tweets?