Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
Reports in Iran - Parliament expected to vote to leave the NPT (Nuclear Non-Proliferation Treaty)
Sasa Kwa nini wanalenga viwanda na miundombinu ya kiraia? Hii sio sawa
View: https://x.com/Osint613/status/1933948562171158912?t=j8MfNXmB8u5XwBbaLA9jyw&s=19
Russia anashindwa kumsaidia Rafiki yake?
Kwa hali iliyoko Iran amenyanyua milono hawezi thubutu kujibu tena atachakaa.
gesi imesimama kusafiri sasa muanze kuagiza mkaa kutoka bongoTuko njema twala miraa swafi kabisa.
Leo hamna kitu mzee mida kama hii jana ilikuwa ni amsha amsha za hatari ila knyweaIran piga huyo israel hadi achakae
👍unaongea uongo ili iweje viwanda vya mafuta sasa hivi vinashambuliwa na Israel baada ya Iran kushambulia maeneo ya Raia!!!!
Prime Minister Netanyahu:Dah mkuu si vyema kusema eti "Iran amenyanyua milono hawezi thubutu kujibu tena atachakaa" dah sijapenda kwa kweli Dah hii comment yako inaonyesha kwa kiasi gani Iran kachapika kwa kiasi cha kusikitisha sana.
Saivi waanze agiza mkaa tokea singida😁👍
Dramatic:
Iran's Oil Ministry confirms Israel attacked two refineries
🤣🤣🤣🤣Mashambulizi mengi yamezuiwa na aircraft 10 zimedunguliwa za Israel.
Acha visingizio vya kipumbavu!!! Wewe Uliona wapi nchi ikajitosheleza kila kitu?? Nchi ni lazima kushirikiana hata Iran naye anajua wanaomsaidia lakini kwa sababu wewe ni zuzu hutaki kuwataja!!!!England wanawapa sana hit za kijasusi Israel..
Habari za uongo kama hizi haziwezi kuisaidia chochote Iran katika vita vyake na Israel!!! Maana iran haijawahi kuangusha ndege hata moja ya Israel!!!
We leta uongo humu ballistic missiles launcher zimepelekewa moto tunasubiri majibu hapa
Hoja yako ipo wapiAcha visingizio vya kipumbavu!!! Wewe Uliona wapi nchi ikajitosheleza kila kitu?? Nchi ni lazima kushirikiana hata Iran naye anajua wanaomsaidia lakini kwa sababu wewe ni zuzu hutaki kuwataja!!!!
Walileta humu video fake wanasema ndege imetunguliwa kumbe upuuzi tuHabari za uongo kama hizi haziwezi kuisaidia chochote Iran katika vita vyake na Israel!!! Maana iran haijawahi kuangusha ndege hata moja ya Israel!!!