Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Hoja yako ipo wapi
Hoja yangu ni kwamba Iran au waarabu wanapopigwa na Israel kimekuwa sasa ndiyo kisingizio kuwa anasaidiwa na Marekani na nchi za Ulaya wanasahau kuwa hata wao wanasaidiwa na nchi zingine.

Hakuna nchi inayojitoshereza kwa kila kitu na isitake msaada kutoka nchi nyingine ikiwa kwenye vita. Kwenye vita ya Russia na Ukraine Russia pamoja na Usupapawa wake anasaidiwa na Iran,China, Korea ya Kiduku na Afrika kusini sasa ninyi mnapopigwa tu na Israel mnalalamika “ Israel inasaidiwa na Uingereza” Je wajua kuwa Iran alipewa Siri na Russia kuwa usiku wa Ijumaa atapigwa? Na ndivyo ilivyo alipewa taarifa na Russia hivyo vitu ni vya kawaida ku-Share information!!!
 
IDF Spokesperson:

The IDF has identified that missiles were recently launched from Iran towards the territory of the State of Israel.

Defense systems are working to intercept the threat.

You must enter the protected areas upon receiving the alert, and remain there until further notice.

Exiting the protected area will be permitted only after receiving explicit instructions; you must continue to act according to the Home Front Command's instructions.
 
Hoja yangu ni kwamba Iran au waarabu wanapopigwa na Israel kimekuwa sasa ndiyo kisingizio kuwa anasaidiwa na Marekani na nchi za Ulaya wanasahau kuwa hata wao wanasaidiwa na nchi zingine.

Hakuna nchi inayojitoshereza kwa kila kitu na isitake msaada kutoka nchi nyingine ikiwa kwenye vita. Kwenye vita ya Russia na Ukraine Russia pamoja na Usupapawa wake anasaidiwa na Iran,China, Korea ya Kiduku na Afrika kusini sasa ninyi mnapopigwa tu na Israel mnalalamika “ Israel inasaidiwa na Uingereza” Je wajua kuwa Iran alipewa Siri na Russia kuwa usiku wa Ijumaa atapigwa? Na ndivyo ilivyo alipewa taarifa na Russia hivyo vitu ni vya kawaida ku-Share information!!!
Ni kweli kabisa hakuna nchi inayojitosheleza, lazima uwe na wadau. Lakini hapo hapo kuna jambo umepuyanga

Come onnnn South Africa? Uko serious kabisa?

By the way nchi ambayo mpaka sasa imetoa msaada kwa Russia ni north Korea hao wengine Iran na china ni wafanyabiashara hawatoi msaada.

Iran ilitoa Drone ikiwa ni sehemu ya mabadilishano ya teknologia, ambazo nazo hazikuisaidia Russia, mpaka wakaamua kuzifanyia modification ili kupata Geran 2 na sasa Geran 3

China naye anauza chip na semiconductor hasa za kijeshi. Huku Russia ikumuuzia mafuta.
 
Dramatic attack in the Iranian capital: Our fighter jets attacked a total of four targets:

▪️Ministry of Defense,
▪️Nuclear headquarters
▪️Nuclear laboratories
▪️Oil facilities.
 
Ni kweli kabisa hakuna nchi inayojitosheleza, lazima uwe na wadau. Lakini hapo hapo kuna jambo umepuyanga

Come onnnn South Africa? Uko serious kabisa?

By the way nchi ambayo mpaka sasa imetoa msaada kwa Russia ni north Korea hao wengine Iran na china ni wafanyabiashara hawatoi msaada.

Iran ilitoa Drone ikiwa ni sehemu ya mabadilishano ya teknologia, ambazo nazo hazikuisaidia Russia, mpaka wakaamua kuzifanyia modification ili kupata Geran 2 na sasa Geran 3

China naye anauza chip na semiconductor hasa za kijeshi. Huku Russia ikumuuzia mafuta.

Lakini hapo hapo kuna jambo umepuyanga

Come onnnn South Africa? Uko serious kabisa?
Mimi sijawahi kukurupuka nikiandika kitu nina uhakika nacho. Mimi si kama Adiosamigo ambaye alishajitoa ufahamu!!

Afrika kusini anahusika kikamilifu huko Russia hebu soma hapo chini uone!,


View: https://x.com/alootercontinua/status/1657031293270409217?s=61

View: https://x.com/alootercontinua/status/1656793802940510209?s=61

View: https://x.com/anno1540/status/1656701040954163203?s=61

View: https://x.com/sprinterobserve/status/1698747080817185074?s=61
 
Mimi sijawahi kukurupuka nikiandika kitu nina uhakika nacho. Mimi si kama Adiosamigo ambaye alishajitoa ufahamu!!

Afrika kusini anahusika kikamilifu huko Russia hebu soma hapo chini uone!,
Come on SA inayopigwa mpaka na waasi wa M23 ndio ya kuipa msaada wa kijeshi Russia? Uko serious kabisa? Achana na taarifa za Twitter nakupatia credible source, kuelewa au kutokuelewa utachagua mwenyewe

Hizi zilikuwa ni tuhuma za balozi wa US Pale SA Hasa baada ya SA kutoa msimamo wao kwamba wanaiunga mkono Russia na kuilaani Ukraine kwa kusababisha vita. Bila kusahau Ramaphosa alitembelea Russia na kumuahisi Putin
Screenshot_20250615-021618.png


Tuhuma hz SA ilizikana nq uchunguzi ulifanyika kubaini ukweli. Uchunguzi uligundua kuwa meli iliyotuhumiwa ni Lady R na inamilikiwa na wizara ya ulinzi wa Russia, ilienda SA kupeleka military garments ambazo SA waliziagiza toka 2018 na wakati inarudi Russia ilikuwa tupu. Tuhuma zikaishia hapo
Screenshot_20250615-022209.png
Screenshot_20250615-022316.png
Screenshot_20250615-022334.png
Screenshot_20250615-022343.png


SA ilituma silaha aina gani na kiasi gani kwenda Russia?
 

Attachments

  • Screenshot_20250615-022347.png
    Screenshot_20250615-022347.png
    508.9 KB · Views: 17
🇨🇳🤝🇮🇷 An Airbus A330-243F Cargo plane from Guangzhou Baiyun International Airport is flying southwest over eastern Turkmenistan, descending as it approaches Iranian airspace.

🔗 AMK Mapping

📝 Intel Slava - A lot of commentators seem to have forgot China and Iran have a defensive pact, and that Beijing might wish to protect one of its sources of oil…
 
Israeli officials:

"The war will only end if Iran voluntarily dismantles its nuclear program or until Israel makes the program impossible to restore."
Taratibu Israel dawa inawaingia. Mpaka huu uzi umepooza, laiti kama kichapo kingekuwa cha upande mmoja wayahudi wangekuwa wanaruka ruka humu. Bila shaka wayahudi wako kanisani wakiliombea taifa teule la Mungu
 
Back
Top Bottom