Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Israel yaishambulia Iran, milipuko yasikika katika mji mkuu wa Tehran

Jeshi la anga la Israeli:

Tumetayarisha jeshi la wanaanga kufika Iran sio mara moja kwa wiki kama tulivyokadiria hapo awali, lakini mara mbili kwa siku kama alivyotamka kamanda wa jeshi la anga, Meja Jenerali Tomer Bar.
 
Kwa Iran hilo halifanyi kazi, kwani wanamtambua kuwa huyo na baba yake alikuwa ni kibaraka.

Uchimbaji wa mafuta wote uliyokuwa unafanywa Iran na mabepari walikuwa hawapati hata thumni, zote zilikuwa zinaenda kwa mabepari na kwa utawala wa baba yake.

Unadhani wa-Iran ni wasahaulifu kama watanganyika?
Dah kaka huyu jamaa unamjibu nondo hadi raha😍😍😍😍.
 
Huo uwezo hana,ballistic missile silo nyingi zimeharibiwa,hizo 300 walizorusha jana ndio maximum capacity yao.
Pole yako jamaa uko too misinformed.
Iran Ina missile city katika Kila Mkoa.
HUWEZI ukateketeza makombora ya Iran mzee.
Kila Mkoa Kuna makombora underground.
Na usitudanganye kuwa maeneo muhimu ya jeshi ndani ya Israel hayajapigwa.
Ofisi muhimu za jeshi na serikali zimepigwa Israel.
Na Israel ikakataza waandishi wa habari kupiga picha hususan maeneo ya ofisi za jeshi na kambi.
 
The Iranians had between 1,000-2,000 missiles aimed at Israel on the eve of Operation "Am Kalavi."

Israel has severely damaged its production capacity (now) and its ability to prepare solid fuel (in operation in October). So it can be assumed that it is very difficult to produce more stock now.

Israel apparently destroyed about 25% of the missiles ready for launch (huge secondary explosions in missile depots in Kermanshah and Tabriz).

Last night, the Iranians launched 5 salvos, each containing between 20 and 50 missiles.

If they continue like this, even with light discounts, they will run out of stock within 10 days.

They don't (thank God) have another rabbit in the hat (there was supposed to be a nuclear test soon - hopefully that was disrupted too).

Hold on tight. Our victory is on the way.
Jana walisema hivi hivi wameteketeza makombora yote ya Iran na Air defense system zote.
Leo wanabadilika kusema wameteketeza asilimia 25%.
😂😂😂Watadanganya hadi wakome.
Iran Kila Mkoa Ina makombora .
 
Jeshi la anga la Israeli:

Tumetayarisha jeshi la wanaanga kufika Iran sio mara moja kwa wiki kama tulivyokadiria hapo awali, lakini mara mbili kwa siku kama alivyotamka kamanda wa jeshi la anga, Meja Jenerali Tomer Bar.
Uwekezaji wa Israel katika hii vita unamlipa vibaya mnoo yaani return anaiona, sasa Iran anaambulia hasara tupu maana sasa yupo very weak, wanasayansi wake wanauwawa tu kaka mbwa koko, zana zake za kijeshi Israel inaziharibu tu kwa kadiri anavyotaka, proxies wake nao dhoooflihal kwa kifupi ayatollah uwekezaji wake ni biashara kichaa ambayo inakula mpaka mtaji na huku duka lake likizidi baki tupu
 
Unaambiwa mtu akitokea Kiumbe ambaye DNA zake ziko advanced kwa asilimia 2 tu anaweza kuwatawala binadamu wote na kutuona kama mchwa.


View: https://x.com/JoeTruzman/status/1933870389282943337

Israel ni ndogo sana kulinganisha Iran, lakini imeshaweza kurusha ndege kila siku kwenda Iran

Iran ni jibwa koko tena kilema lisilo hata na meno, Israel anapoliachaga libweke basi lenyewe hujiona lina nguvu likiingia kwenye mpambano linabaki kutikisa mkia tu
 
Dah kaka huyu jamaa unamjibu nondo hadi raha😍😍😍😍.
Changamoto ni kwamba tunazungumza na wasiyojua!

Na si ajabu akiiona hii comment akauliza tena, wewe unayejua umefikia wapi? Ndiyo akili za watanganyika hizi! Halafu wanataka mabadiliko!
 
Kwani nani kakataa jana hawaja piga? But is that real important ukiangalia mambo kwa big picture?

Iran ni Nchi ya tatu Duniani Kuzalisha Ma engineer, Nyuma ya Usa na Urusi, na unlike Usa nchi yao ni cheap hivyo vitu vinazalishwa haraka tu, as I told you before 1970s nyanja nyingi Iran ilipitwa Na Tanzania, sasa hivi utawafananisha na sisi? Even Israel tumeona alivyopelekewa moto jana, na jinsi siku zinavyozidi ndio jinsi wanavyoimarika.

So utazungumzia hilo shambulio la Israel hapo Iran, na ku ignore vyote ambavyo vimeteketezwa jana kama
1. Nevatim Airbase
2. Ndege 3 including F35
3. Fuel tankers
4. Command na control centre including command kubwa ambayo ni equivalent kama Pentagon ya Usa.
5. Ministry ya VITA ya Israel
6. Industries mbalimbali za silaha.

Vyote Hivyo Mu Iran kavijuaje? Kama sio Spy wa Iran ambao wapo Israel?


Baba mwajuma tuliaa tuliaa utamuona Ayatollaah anatoka mbio na dela na kilemba chake mikono juu akisalimu amri ndio utajua MOSSAD ni kitu kingine, tuliaaa mwajuama tuliaaa

Ayatollaah atakafanywa kama Osama Bin Laden, amin amin nakwambia tuliaaa sikilizia mziki huu, utaona maajabu, myahudi sio umjuavyo, subiri wiki 2 hadi 3 uje uone kwa macho yako ya nyama..!! Tuliaaa please..!!
 
But current Afghan Gov is not anymore radicalized like before..!!
Kabla marekani kuingia Afghanistan serikali ilikuwa chini ya Taliban na baada ya kutoka serikali iko chini ya Taliban na inaendeshwa kwa sharia. Labda utuambie kilichobadilika ni kipi
 
Kilichobaki sasa Iran ni kupelekeka mashambulizi mazito sana usiku wa leo , kesho na siku kadhaa mbele ili kuifanya Israel isiwe mahali salama tena, ili raia wa Israel waanze kuikimbia nchi..

Hii ndio lugha pekee Israel itaelewa iache kuishambulia Iran, Iran pia imalize makazi wanapoishi viongozi wa jeshi la Israel, wapige haswa...
Huo ni mpango mzuri sana. Je, unatekelezeka?
 
Israel inaipasua Iran muda wowote iwe usiku, asubuhi, au mchana ila Cha kishangaza pro Iran wanatuambia eti tusubiri usiku ndio Iran ijibu, kwani wanaogopa Nini Hawa wairan kupigana hata mchana waziwazi?
 
Kabla marekani kuingia Afghanistan serikali ilikuwa chini ya Taliban na baada ya kutoka serikali iko chini ya Taliban na inaendeshwa kwa sharia. Labda utuambie kilichobadilika ni kipi


You don’t understand, wataliban wa sasa hivi wako soft soft, laini laini, hawako radicalized kama wale wa awali ambao wengi wameuawa na USA, yaani hawana ugaidi, kiburi kwisha kama Hezbollaah ya sasa, yaani wamelainishwa au wamekuwa neutralized, umeelewa? Kipigo cha USA usifanye utani utani, watalibani wengi hawasimamishi kibri tena, laini kabisa
 
You don’t understand, wataliban wa sasa hivi wako soft soft, laini laini, hawako radicalized kama wale wa awali ambao wengi wameuawa na USA, yaani hawana ugaidi, kiburi kwisha kama Hezbollaah ya sasa, yaani wamelainishwa au wamekuwa neutralized, umeelewa? Kipigo cha USA usifanye utani utani, watalibani wengi hawasimamishi kibri tena, laini kabisa
Ugumu wao wa awali ni upi na ulaini wao wa sasa ni upi? Nahisi unachanganya vitu viwili tofauti (Taleban & Al Qaeda)
 
Back
Top Bottom