Nakuletea habari unasema uongo?We leta uongo humu ballistic missiles launcher zimepelekewa moto tunasubiri majibu hapa
Kwanini umeficha identity ya source? Weka link hapa!Nakuletea habari unasema uongo?
Embu kabishane ujinga na watoto wenzako.
Hoja yangu ni kwamba Iran au waarabu wanapopigwa na Israel kimekuwa sasa ndiyo kisingizio kuwa anasaidiwa na Marekani na nchi za Ulaya wanasahau kuwa hata wao wanasaidiwa na nchi zingine.Hoja yako ipo wapi
Israel Ina mkono mrefu!!!! Abdul-Malik al-Houthi is dead.Israel is currently attacking simultaneously in Iran and Yemen.
Israel Ina mkono mrefu!!!! Abdul-Malik al-Houthi is dead.
This is freedom of action that will allow threats to be thwarted.
The Air Force and the Intelligence Division have been preparing for this for years.
Ni kweli kabisa hakuna nchi inayojitosheleza, lazima uwe na wadau. Lakini hapo hapo kuna jambo umepuyangaHoja yangu ni kwamba Iran au waarabu wanapopigwa na Israel kimekuwa sasa ndiyo kisingizio kuwa anasaidiwa na Marekani na nchi za Ulaya wanasahau kuwa hata wao wanasaidiwa na nchi zingine.
Hakuna nchi inayojitoshereza kwa kila kitu na isitake msaada kutoka nchi nyingine ikiwa kwenye vita. Kwenye vita ya Russia na Ukraine Russia pamoja na Usupapawa wake anasaidiwa na Iran,China, Korea ya Kiduku na Afrika kusini sasa ninyi mnapopigwa tu na Israel mnalalamika “ Israel inasaidiwa na Uingereza” Je wajua kuwa Iran alipewa Siri na Russia kuwa usiku wa Ijumaa atapigwa? Na ndivyo ilivyo alipewa taarifa na Russia hivyo vitu ni vya kawaida ku-Share information!!!
According to Arab sources, the attack against the Houthis was carried out on their secret headquarters located near the Lebanese hospital in Sana'a.Israel Ina mkono mrefu!!!! Abdul-Malik al-Houthi is dead.
Ni kweli kabisa hakuna nchi inayojitosheleza, lazima uwe na wadau. Lakini hapo hapo kuna jambo umepuyanga
Come onnnn South Africa? Uko serious kabisa?
By the way nchi ambayo mpaka sasa imetoa msaada kwa Russia ni north Korea hao wengine Iran na china ni wafanyabiashara hawatoi msaada.
Iran ilitoa Drone ikiwa ni sehemu ya mabadilishano ya teknologia, ambazo nazo hazikuisaidia Russia, mpaka wakaamua kuzifanyia modification ili kupata Geran 2 na sasa Geran 3
China naye anauza chip na semiconductor hasa za kijeshi. Huku Russia ikumuuzia mafuta.
Mimi sijawahi kukurupuka nikiandika kitu nina uhakika nacho. Mimi si kama Adiosamigo ambaye alishajitoa ufahamu!!Lakini hapo hapo kuna jambo umepuyanga
Come onnnn South Africa? Uko serious kabisa?
Come on SA inayopigwa mpaka na waasi wa M23 ndio ya kuipa msaada wa kijeshi Russia? Uko serious kabisa? Achana na taarifa za Twitter nakupatia credible source, kuelewa au kutokuelewa utachagua mwenyeweMimi sijawahi kukurupuka nikiandika kitu nina uhakika nacho. Mimi si kama Adiosamigo ambaye alishajitoa ufahamu!!
Afrika kusini anahusika kikamilifu huko Russia hebu soma hapo chini uone!,
Israeli officials:Piga hao
Taratibu Israel dawa inawaingia. Mpaka huu uzi umepooza, laiti kama kichapo kingekuwa cha upande mmoja wayahudi wangekuwa wanaruka ruka humu. Bila shaka wayahudi wako kanisani wakiliombea taifa teule la MunguIsraeli officials:
"The war will only end if Iran voluntarily dismantles its nuclear program or until Israel makes the program impossible to restore."
Israeli officials:
"The war will only end if Iran voluntarily dismantles its nuclear program or until Israel makes the program impossible to restore."