Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Habari za muda huu.......

Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq..........

====

Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan​

Israeli missiles have hit a site in Iran, the United States' ABC News has reported, citing a US official, days after Iran launched a drone strike on Israel in response to an attack at the Iranian embassy in Syria.

Iran's Fars news agency said an explosion was heard at an airport in the Iranian city of Isfahan but the cause was not immediately known.

Several Iranian nuclear sites are located in Isfahan province, including Natanz, the centrepiece of Iran's uranium enrichment program.
Several flights were diverted over Iranian airspace, CNN reported.

Over the weekend, Iran launched hundreds of drones and missiles in a retaliatory strike after a suspected Israeli strike on its embassy compound in Syria earlier in April.
Most of the drones and missiles were downed before reaching Israeli territory.

Iran told the United Nations Security Council on Thursday that Israel "must be compelled to stop any further military adventurism against our interests" as the UN secretary-general warned that the Middle East was in a "moment of maximum peril".

Israel had said it was going to retaliate against Iran's 13 April missile and drone attack.

Analysts and observers have been raising concerns about the risks of the Israel-Gaza war spreading into the rest of the region.

Israel's assault on Gaza began after Palestinian Islamist group Hamas attacked Israel on 7 Ocober, killing 1,200, according to Israeli tallies.
Israel's military offensive has killed over 33,000 Palestinians in Gaza, according to the local health ministry.

Iran-backed groups have declared support for Palestinians, launching attacks from Lebanon, Yemen and Iraq.

This is a developing story and this article will be updated.
Follow the latest from SBS News at
, or on the SBS News app available on

or
View attachment 2967853
Israel is bombing Iran, Syria and Iraq at the same time.
Uzuri hakuna madhara yaliyotokea.
Au nao Israel walirusha mapipa?
Screenshot_2024-04-19-08-23-35-42_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
zitapelekwa za kutosha mpaka iran ichanganyikiwe. Subiri iran ifanye shambulizi kubwa ndio utajua israe ni mbambe wa mashariki ya kati. Israel inajua imezungukwa na maadui na inajua namna ya kuwapiga wachanganyikiwe. Iran isitake aibu ya kupigwa mapigo ya ajabu dunia ikashangaa
Duh! kwan lile shambulizi walilofanya ni dogo? US mwenye ana kili kua km US,UK,France na Jordan wasingemsaidia kitoto chao basi lile shambulizi lingefanya uharibifu mkubwa na hivo viwanja vya majeshi yao ya ulinzi yangeharibiwa kabisa na ndege vita zote zingeka ni flying coffin! Km Ka drone tu kakirushwa toka GaZa kwenda Israel, The way Israel watakavojibu ni balaa sasa jiulize vipi ivo ndo wamejibu au
 
Habari za asubhui imeripotiwa Leo Israel kafanya revenge ndogo ndani ya Iran kwa kile kilichosubiliwa na wengi imekuwa kama suprise maana Israel ilionesha haitaipiga Iran hivi karibuni pengne hadi baada ya passover tar 30 April huko.

Sasa imefanya limited strike ndani ya Iran ikifata ushauri wa US my take ni kwamba Israel anataka vita na Iran ila anaenda kwa akili sana na pia anafata ushauri kutoka kwa allies wake hususani US ambae ni backup Yake.

Kumbuka aliye anzisha hii vuguvugu ni Israel mwenyewe Iran hujibu lakini ana harsh response kwa mara ya nyingne Response yake inasubiliwa Ili kuanzisha vita kamili.

Kumbuka US anachotaka ni Israel kufata matakwa yake sio kujiendea na kuipiga tu Iran na kukuza conflict ila alitaka response iwe ya kawaida kumpa Iran kujichanganya zaidi Ili kama vita vikiwa vikubwa US apate sababu ya kuingia mazima na allies kusaidia Israel, pengne Netanyau angefanya mangamizi makubwa kama kupiga nuclear facilities kupelekea kuonekana yeye ndio mchochezi zaidi na angekosa political support from west

Sasa naona Iran watashindwa wafanyeje hapa je wajibu kwa maguvu kama walivyoonya before au watulie tu wajipange maana ni mtego mkubwa let's see ila Kuna kila ishara ya WW3 kuanzia hapo tusishabikie vita na tusiombe hii itokee itagharim Sana ustawi wa Dunia ila kwa namna flan naona US ameprogram hii Vita itokee kwa utaratib flan Kuna kitu Pentagon wamejipanga muda mrefu na huy Benjamin Netanyau ni kama mshiriki wa huu mpango wao.

Kwa namna flan west interest Duniani imepungua sana na kwa kila namna watahitaj vita kuweka hii Dunia sawa that's my take ✌️
 
Habari za muda huu.......

Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq..........

====

Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan​

Israeli missiles have hit a site in Iran, the United States' ABC News has reported, citing a US official, days after Iran launched a drone strike on Israel in response to an attack at the Iranian embassy in Syria.

Iran's Fars news agency said an explosion was heard at an airport in the Iranian city of Isfahan but the cause was not immediately known.

Several Iranian nuclear sites are located in Isfahan province, including Natanz, the centrepiece of Iran's uranium enrichment program.
Several flights were diverted over Iranian airspace, CNN reported.

Over the weekend, Iran launched hundreds of drones and missiles in a retaliatory strike after a suspected Israeli strike on its embassy compound in Syria earlier in April.
Most of the drones and missiles were downed before reaching Israeli territory.

Iran told the United Nations Security Council on Thursday that Israel "must be compelled to stop any further military adventurism against our interests" as the UN secretary-general warned that the Middle East was in a "moment of maximum peril".

Israel had said it was going to retaliate against Iran's 13 April missile and drone attack.

Analysts and observers have been raising concerns about the risks of the Israel-Gaza war spreading into the rest of the region.

Israel's assault on Gaza began after Palestinian Islamist group Hamas attacked Israel on 7 Ocober, killing 1,200, according to Israeli tallies.
Israel's military offensive has killed over 33,000 Palestinians in Gaza, according to the local health ministry.

Iran-backed groups have declared support for Palestinians, launching attacks from Lebanon, Yemen and Iraq.

This is a developing story and this article will be updated.
Follow the latest from SBS News at
, or on the SBS News app available on

or
View attachment 2967853
Israel is bombing Iran, Syria and Iraq at the same time.
Mzee ulisema akisubutu amekwisha. Sasa kafanya kweli unasemaje tena.
 
Hamna vita hapo......Vita itaanza endapo Israel atashambulia Vinu vya Nyukilia .

Ndo maana amefanya "Limited strikes ".

China kawekeza sana Iran.
 
Mzee ulisema akisubutu amekwisha. Sasa kafanya kweli unasemaje tena.
😃😃😃😃😃😃😃😃😃
Ndio tupo hapa tunapanga mazishi kama tunazika au tunasafirisha..........

Joke aside

Hiii vita ni ngumu Sana......ngoja tuone itakavyokuwa......je Iran atayameza maneno yake au atayatimiza......
 
Waajemi na wayahudi, tuwaache wachapane. Hawa ni watu wa zama za biblia, wapenda vita wasiochoka. Namuona mmarekani akijifua kwa mbaaali, huku mrusi nae anapiga jaramba.
 
Wanaukumbi.

🇮🇱🇮🇷 Israel ilishambulia Isfahan ya Iran kwa kutumia ndege zisizo na rubani

Vyombo vya habari viliripoti hayo kwa kurejelea taarifa kutoka upande wa Iran. Mji muhimu kimkakati washambuliwa - kuna kambi ya Jeshi la Wanahewa la Irani karibu na Isfahan.

✖️ Kituo cha runinga cha serikali kiliripoti kuwa mifumo ya ulinzi wa anga ilizuia shambulio la angani. Hakuna majeruhi walioripotiwa. Vifaa vya nyuklia huko Isfahan pia ni salama kabisa.

❗️ Iran imesitisha safari za ndege katika baadhi ya miji, na safari za ndege za kimataifa zimeghairiwa katika uwanja wa ndege wa Tehran. Bei ya mafuta ya Brent ilipanda zaidi ya $90 kwa pipa baada ya shambulio la Israeli - Ostashko anaripoti

View: https://x.com/zlatti_71/status/1781191784665579724?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Lakini pia kumbuka mataifa mengi ya Africa bajeti zao zimeegemea kwenye msaada ya wakubwa......ambao muda wana hangaishwa na vita huko mashariki ya kati na lazima vipaumbele vyao zielekezwe huko..... unadhani tutasalimika kwenye hili

Kuna watu hawawezi kuelewa madhara mapana ya hii migogoro. Huku tunaweza tusiingie kwenye vita Moja Kwa Moja lakini athari zitatufikia tu Kwa namna Moja ama nyingine.

Kikubwa ni kuombea amani na utulivu tu.
 
Tuanze kuchangamkia magari ya gesi na umeme maana tunakoelekea lita ya petroli itakuwa haigusiki...
 
Wendawazimu wawili wamekutana na kila mmoja hayupo tayari kuishusha heshima yake mbele ya hadhira.

Amerika, Russia na China wanapaswa kuingilia kati kabla ya middle east haijaharibika.

Amerika asichochee vita hii bali awe msuluhishi bila ya kujali uhusiano wake na ISRAIL.
hao uliowataja ndo hawatakiwi kuingilia kwasababu wakiingia tu na wakashindwana tabia basi kitanuka na dunia itaingia matatani!..
hapo ziingie nchi ambazo hazina ukinzani tena kwa akili kubwa kwasababu mazwazwa ni mengi.
 
Kuna watu hawawezi kuelewa madhara mapana ya hii migogoro. Huku tunaweza tusiingie kwenye vita Moja Kwa Moja lakini athari zitatufikia tu Kwa namna Moja ama nyingine.

Kikubwa ni kuombea amani na utulivu tu.
Hakika ndugu yangu......

Dunia ya sasa imekuwa kijiji na nchi nyingi zinategemeana Sana kiuchumi.......mwanzo wa mgogoro huu ndio mwanzo wa maanguko ya kiuchumi Kwa baadhi ya nchi tegemezi..........

Kibaya zaidi mgogoro huu moja kwa moja inakwenda kuhusisha mataifa yenye nguvu kiuchumi ambapo Kwa namna moja au nyingine lazima uende kuathiri masoko ya fedha na uwekezaji.........

Pia viwango vya bajeti za fedha kiuwezeshaji vitapungua hivyo kudorora kwa baadhi ya activities za kiuchumi hasa NGOs baadhi ya miradi inayotegemea wafadhili..........

Mgogoro huu pia unapeleka kupanda kwa bei za mafuta kwa Irani ni mzalishaji mkubwa wa mafuta na hofu ya kiusalama inapelekea ugumu usafirishaji wa mafuta.......
Sehemu mbali mbali duniani...... kwa kifupi majanga ni mengi sana........
 
Back
Top Bottom