BINARY NO
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 2,151
- 2,162
Kwahiyo Israel ndo imejibu ivo? aha aha aha Aibu naona mimi...akijibu kwa kishindo naye anapigwa kwa kishindo mpaka ashike adabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Israel ndo imejibu ivo? aha aha aha Aibu naona mimi...akijibu kwa kishindo naye anapigwa kwa kishindo mpaka ashike adabu
😹😹😹tayari wangekua wa kwanza kutoa taarifa kama walivyo anza kutoa za kudungua drone ata kabla azija rushwaMpaka sasa Israel hata haijatoa taarifa rasmi ya hilo shambulio, waliopigwa na washuhudiaji wengine ndio wanatoa taarifa🤣
Israel hana uwezo wa kuichakaza Iran. Tupo hapa, muda utatupa majibu.Hakuna cha vita mbaya wala nini, Iran anakwenda kuchakazwa na dunia itaiomba Israel itulize mzuka.
Hata lile shambulizi la Iran haikuwa na lengo la uharibifu bali kutuma ujumbe kwenye ulimwengu wa kijeshi......walikuwa wanajua Israel na washirika wake hawawezi kuangalia hizo missiles zishuke Tel Aviv bila kuzipangua.......Kwahiyo Israel ndo imejibu ivo? aha aha aha Aibu naona mimi...
Tanzania tumeshaanziwa yetu Kongo huko, dunia sasa hivi haipo salama.Hawa Israel ni wacholozi sana. Kwa Nini bibi yetu hapeleki jeshi letu Bora kabisa la tpdf likamalize vita faster kabla haijaenea zaid.?Au makamanda wetu hawajasikiaa ?
Hebu tuletee takwimu za nguvu za kijeshi baina ya nchi hizi mbili tuweze kukadiiria ushindiIsrael hana uwezo wa kuichakaza Iran. Tupo hapa, muda utatupa majibu.
Aibu naona mimi! Tunaomba ata kavideo tu tuone hizo missile zilizo break airdefence system za Iran na kulipua maeneo ya Iran....kwa ujumbe huo iran ashike adabu na akae kimya kama hataki hiyo mitungi yake ilipuliwe, kaonywa
Uturuki iko NATOTanzania tumeshaanziwa yetu Kongo huko, dunia sasa hivi haipo salama.
Duniani sasa hivi ile dhanna ya "kutofungamana na upande wowote" hakuna tena, lazima kila mmoja ajulikane ukweli wake.
Aidha Mashariki au Magharibi.
zitapelekwa za kutosha mpaka iran ichanganyikiwe. Subiri iran ifanye shambulizi kubwa ndio utajua israe ni mbambe wa mashariki ya kati. Israel inajua imezungukwa na maadui na inajua namna ya kuwapiga wachanganyikiwe. Iran isitake aibu ya kupigwa mapigo ya ajabu dunia ikashangaaAha aha aha .,...Aibu naona mimi....Israel imejua kuwaabisha watu
Wadanganyika walidhania Iran ni Gaza au Syria bila kujua Iran ni lidude likubwa ambalo ata baba zao US hua wanakaa vikao kulijadili... Yani habar za Israel kufanya mashambulizi Iran zinatafutwa kwa lenzi mbinuko
aha aha aha.....Rudi darasan kijana... Leo Israel wamejua kuwaaibisha watu....Kwann wameogopa kupeleka radar evading jets? Siwana F-35 ambazo wanasema hazionekani kwenye Radar
Kwa wanaofahamu, "State television" ndio nini kwa Kiswahili ?The Iranian state television reported explosions in Isfahan.
Israel had promised to respond after Iran last Saturday launched a barrage of drones and missiles on the country.
The United States and a number of European countries have been calling on Israel not to respond.
More details to come …
Source Aljazeera
Wamedungua drones bwana,yaani Iran wategemee radar Iraq na Syria!?..Israel ameanza kupiga radars nchini Iraq na Syria na baada ya hapo akaenda kupiga Iran....hao Iran wameshindwa kutambua hata mashambulizi yanatoka wapi
Israel ipi,hio hip ambayo nishafika 2018? Mungu aibariki Tanzania, Israel itajijua.Imani yangu imenipa neema,wewe je?
Mungu ibariki Israel
Siasa vipi wakati majeshi yameanzishwa kwa mujibu wa katiba.Tanzania jeshi ni moja tu,au na wewe unaamini siasa kuwa mpaka uhamiaji,zimamoto,magereza,polisi,tanapa nayo ni majeshi?
Umeaminishwa huo upuuzi, jibariki mwenyewe...Israel laiti mngejua wanavobagua, mngeangalia means nyingine...Sasa upo itende huko inapiga kelele tu.Oooh!! Kumbe ili malezi yaonekani kukusaidia inabidi kuisema Israel vibaya?
Uturuki kiuhalisia haina upande.Inaangalia upepo tu.Uturuki iko NATO
Ndio tafsiri halisi ya jeshi boraJamaa kapiga sehemu tatu kwa mpigo Iran, Iraq na Syria.