Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Mpaka sasa Israel hata haijatoa taarifa rasmi ya hilo shambulio, waliopigwa na washuhudiaji wengine ndio wanatoa taarifa🤣
😹😹😹tayari wangekua wa kwanza kutoa taarifa kama walivyo anza kutoa za kudungua drone ata kabla azija rushwa
 
Kwahiyo Israel ndo imejibu ivo? aha aha aha Aibu naona mimi...
Hata lile shambulizi la Iran haikuwa na lengo la uharibifu bali kutuma ujumbe kwenye ulimwengu wa kijeshi......walikuwa wanajua Israel na washirika wake hawawezi kuangalia hizo missiles zishuke Tel Aviv bila kuzipangua.......

Vivo hivo kwa Israel na hili shambulizi lake.....Sana Sana limelenga kutuma ujumbe na sio maangamizi
 
Hawa Israel ni wacholozi sana. Kwa Nini bibi yetu hapeleki jeshi letu Bora kabisa la tpdf likamalize vita faster kabla haijaenea zaid.?Au makamanda wetu hawajasikiaa ?
Tanzania tumeshaanziwa yetu Kongo huko, dunia sasa hivi haipo salama.

Duniani sasa hivi ile dhanna ya "kutofungamana na upande wowote" hakuna tena, lazima kila mmoja ajulikane ukweli wake.

Aidha Mashariki au Magharibi.
 
Tanzania tumeshaanziwa yetu Kongo huko, dunia sasa hivi haipo salama.

Duniani sasa hivi ile dhanna ya "kutofungamana na upande wowote" hakuna tena, lazima kila mmoja ajulikane ukweli wake.

Aidha Mashariki au Magharibi.
Uturuki iko NATO
 
Aha aha aha .,...Aibu naona mimi....Israel imejua kuwaabisha watu
Wadanganyika walidhania Iran ni Gaza au Syria bila kujua Iran ni lidude likubwa ambalo ata baba zao US hua wanakaa vikao kulijadili... Yani habar za Israel kufanya mashambulizi Iran zinatafutwa kwa lenzi mbinuko

aha aha aha.....Rudi darasan kijana... Leo Israel wamejua kuwaaibisha watu....Kwann wameogopa kupeleka radar evading jets? Siwana F-35 ambazo wanasema hazionekani kwenye Radar
zitapelekwa za kutosha mpaka iran ichanganyikiwe. Subiri iran ifanye shambulizi kubwa ndio utajua israe ni mbambe wa mashariki ya kati. Israel inajua imezungukwa na maadui na inajua namna ya kuwapiga wachanganyikiwe. Iran isitake aibu ya kupigwa mapigo ya ajabu dunia ikashangaa
 
The Iranian state television reported explosions in Isfahan.

Israel had promised to respond after Iran last Saturday launched a barrage of drones and missiles on the country.

The United States and a number of European countries have been calling on Israel not to respond.

More details to come …


Source Aljazeera
Kwa wanaofahamu, "State television" ndio nini kwa Kiswahili ?
 
Kwa mtazamo wangu, Biden hakubali mpaka Saudi SArabiua iwe uwanja wa vita ili ikamwangukie roho yake ituwe.

Hiyo ni baada ya MBS kukataa kupeana mnokono alipotembelea Saudi Arabia.

Niliwahi kuandika hivi:


Bado nasimama katika muono (perception) yangu.
 
Tanzania jeshi ni moja tu,au na wewe unaamini siasa kuwa mpaka uhamiaji,zimamoto,magereza,polisi,tanapa nayo ni majeshi?
Siasa vipi wakati majeshi yameanzishwa kwa mujibu wa katiba.

Katiba inalitambua jeshi la polisi sasa utasemaje siasa?
 
Oooh!! Kumbe ili malezi yaonekani kukusaidia inabidi kuisema Israel vibaya?
Umeaminishwa huo upuuzi, jibariki mwenyewe...Israel laiti mngejua wanavobagua, mngeangalia means nyingine...Sasa upo itende huko inapiga kelele tu.
 
Uturuki iko NATO
Uturuki kiuhalisia haina upande.Inaangalia upepo tu.
Ni taifa la wajanja sana.
Wako NATO na wako na Urusi na wapo na waislamu wa Gaza na kila eneo anaingiza mguu kidogo.
 
Back
Top Bottom