Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Uzur Israel hajarusha mengi moja tu
 
Hayo ni maneno ya serikali ya Iran kujifariji na kuwatuliza raia wake, taarifa zisizoegamia upande wowote zinasema miji saba ya Iran imepokea kichapo cha makombora ya chap chap na miundo mbinu kuteketea.
Mbona hamjatuletea picha za uharibifu ?
 
Mbona hili shambulio limekanushwa asubuhi hii?
Limekanushwa na Nani.....???

Angalia BBC na aljazeera wako live wanalichambua.......na Israel wamekiri kuendesha shambulizi kama hatua moja wapo ya kulipa kisasi
 
Kuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
Hizo nchi za kiarabu ndo zizue WW III? Vita ya dunia ilikuwa inakadiriwa ingetokea baina ya Russia dhidi ya Ukraine sio hao Iran na Israel, kwa hesabu nyepesi tu, Israel atakuwa na upande wa washirika wenye nguvu sana sababu hata nchi nyingi za kiarabu hazifurahishwi na vitendo vya Iran.

Piga hesabu zako vyema, nambie mshirika gani wa maana atasimama upande wa Iran? Russia ambaye anavuja jasho huko Ukraine? China? Hayupo. Upande wa Israel huko hakushikiki ana watu wengi sana nyuma yake.
 
Uzur Israel hajarusha mengi moja tu
Nadhani kusudio lake halikuwa kuharibu bali kutuma ujumbe wa alichokifanya Iran na maneno aliyosema pale UN.........

Lakini pia shambulizi hili linatuma ujumbe kuwa Israel wako tayari Kwa vita na Iran.........ukirejea kauli ya Irani kuwa Israel akijibu na wao watajibu kwa nguvu
 
Limekanushwa na Nani.....???

Angalia BBC na aljazeera wako live wanalichambua.......na Israel wamekiri kuendesha shambulizi kama hatua moja wapo ya kulipa kisasi
Wa Iran wamesema hakuna shambulio kutoka nje ya nchi limetokea,

Au ni mpango tu wa wavaa vipedo kujifariji
 
Inawezekana ukawa sahihi hasa kwa uhalisia wa mambo yalivyo kwa sasa kwenye ukanda huo........

Lakini pia naona kama huu ndio muda ambao Israel alikuwa akiusubiria dhidi ya Iran...... kutokana na vitisho mbali mbali vya kuifuta kwenye ramani ya dunia.......
 
Kuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
Hii statement ina ji contradict yenyewe, vita ya tatu ya dunia itatokeaje wakati umesema Amerika kakaa kando? Ili vita ya tatu itokee si lazima hao allies wa Israel na Iran wawepo vitani?
 
Waajemi ni wajeuri na watu wasiokubali kushindwa kwa unyonge

Na Kwa huu mwendo wa piga nikupige, sioni mgogoro ukiisha kirahisi siku za karibuni.

Shida ni kwamba hao wote hakuna anaekubali kufa kinyonge.

Pili mataifa ambayo tulitegemea yahusike kwenye usuluhishi ili kutuliza hii hali na yenyewe Yana maslahi binafsi kwenye huu mgogoro. Ni kama hakuna mtu mwenye mamlaka na usafi wa kutoa muongozo kwenye hii vita.
 
Hahahaha watu kama hawa huwa wananikata stimu kinoma. Kun wenzako kama wew huwaga wanatoa maoni kama haya kwenye jumbe za matangazo ya radio DW swahili. Utasikia "naomba urusi isiue wasio na hatia" utazan hao urusi wanawasikiliza
 
Israel sijakuzoea hivi picha na video mpaka sasa zakutafuta kwa tochi.Peleka makombora Tehran tuone majivu.Vinginevyo naungana na wote wanaodai Iran ni maji ya shingo kwako.Mpaka itakapotangazwa vinginevyo.
Hii inaitwa save the face hutaona video wala clip
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…