Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Vita hii sio ya kuombea haswa sisi binadamu wa huku matakoni mwa dunia.
 
Kama ni kweli hyo inaitwa liwalo na liwe, mwanaume umezaliwa siku moja utakufa siku moja
 
Picha za mashambulizi na habari za iran zote tunwzo .tuna shangaa habari za wakuu wa propaganda hadi sasa hivi tuna zitafuta kwa tochi
 
hii gemu ingmfaa TRUMP
 
Sasa kama anaingia hasara wewe uanumia nini 🀣🀣
Acheni Pedo khamenei akatijafunie bikr 72 mujarabu
 
Kwa kweli hata mimi sikuiamini ilee kauli ya USA....lakini nilijua ni propaganda tu za kivita
 
Hata wafuasi wake kulike tu wameshindwa ujue wameona mtoa mada ametoa boko
Naona umekimbilia kum quote jamaa ili akupe support ya Like lakini kakupotezea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanao Control Amerika ni jews Mfano kama Rothschild na wengine kwahiyo ni ngumu kutoisaidia Israel hata Rais wa amerika lazima ale kiapo cha kuisaidia Israel.
Hizi ni official data au ni dark news.....???
 
Hayo maneno tu mkuu, Israel hawezi anzisha ugomvi bila kupata baraka ya West. Jana Cameroon alisema ni swala la muda tu Israel kujibu mashambulizi na yataescalate kadri siku ziendavyo mbele.....
Inawezekana ni mpango kabambe wa siku nyingi..... Iran anatakiwa kuwa makini katika hili
 
Israel shambulio pekee wanaloweza kuwafanyia Iran ni kuvizia mtoto mdogo wa miaka 6 wa Iran alie nje ya nchi wamuue kama wanavyofanya Palestine
Hilo ndio wanaloliweza. Kashambulio ka kushtukiza kamefanyika, lakini kametulizwa. Yani mpaka sasa dunia haijui hata kama kuna kashambulio kalifanyika Iran.
 
Kama enzi ya jiwe hakuna korona ila ilienda nae
Pole sana wenzako wanasifia mvua imewanyeshea
Iran hakuna kitu kimetokea , Israel anakuzwa tu uli aendelee kudanganya watu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Wairan jaribu kuangalia wanaendelea na ishu zao kule Gaza sawa.
 
Nimeipenda hii 😍😍😍

Hatutaki kelele za ety Israel anapiga watoto na wanawake wenu wa kigaidi, tulieni mle vyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…