Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Usipende kuishi kwa kujifariji iran imeshambuliwaAkajibu nimi sasa wakati Israel hakupiga Iran 😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipende kuishi kwa kujifariji iran imeshambuliwaAkajibu nimi sasa wakati Israel hakupiga Iran 😄
Israel hakupiga Iran wacheni ujinga, US anaomba Iran iwaruhusu Israel wakapige empty place ndani ya Iran na US amruhusu Iran akapige kwenye empty land kwenye nchi ya kiarabu 😄kwani picha na video ya sehemu israel imeshambuliwa uliipata?
According to Aljazeera, RT and CNN the so called strikes are nothing just like an act of sabotage. Air defense systems were activated against suspicious objects in the skies and three drones were intercepted and destroyed. It was not an attack to match the scale of Israel rhetoric and vows for retaliation.Habari za muda huu.......
Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq..........
====
Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan
Israeli missiles have hit a site in Iran, the United States' ABC News has reported, citing a US official, days after Iran launched a drone strike on Israel in response to an attack at the Iranian embassy in Syria.
Iran's Fars news agency said an explosion was heard at an airport in the Iranian city of Isfahan but the cause was not immediately known.
Several Iranian nuclear sites are located in Isfahan province, including Natanz, the centrepiece of Iran's uranium enrichment program.
Several flights were diverted over Iranian airspace, CNN reported.
Over the weekend, Iran launched hundreds of drones and missiles in a retaliatory strike after a suspected Israeli strike on its embassy compound in Syria earlier in April.
Most of the drones and missiles were downed before reaching Israeli territory.
Iran told the United Nations Security Council on Thursday that Israel "must be compelled to stop any further military adventurism against our interests" as the UN secretary-general warned that the Middle East was in a "moment of maximum peril".
Israel had said it was going to retaliate against Iran's 13 April missile and drone attack.
Analysts and observers have been raising concerns about the risks of the Israel-Gaza war spreading into the rest of the region.
Israel's assault on Gaza began after Palestinian Islamist group Hamas attacked Israel on 7 Ocober, killing 1,200, according to Israeli tallies.
Israel's military offensive has killed over 33,000 Palestinians in Gaza, according to the local health ministry.
Iran-backed groups have declared support for Palestinians, launching attacks from Lebanon, Yemen and Iraq.
This is a developing story and this article will be updated.
Follow the latest from SBS News at
, or on the SBS News app available on
or
View attachment 2967853
Israel is bombing Iran, Syria and Iraq at the same time.
Hamna lolote nyie wasikilizeni Israel na America tu na uwongo wao, hao wote waongo hakuna lolote alicho piga Israel ndani ya IranUsipende kuishi kwa kujifariji iran imeshambuliwa
Endelea kujifariji inarusiwaHamna lolote nyie wasikilizeni Israel na America tu na uwongo wao, hao wote waongo hakuna lolote alicho piga Israel ndani ya Iran
Amepigwa sasa Iran inafikiria kuchukua S 400 za UrusiAkajibu nimi sasa wakati Israel hakupiga Iran 😄
America inaongozwa na waisraelKuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
America [emoji631] play mind game tu kwenye hilo suala. Iran aingie kichwakichwa ndio utajua America anaingiaba au lahKuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
Kapiga wapi😅? Angalia tv huku Iran hawana wasiwasi ,mnapewa hope mnayeamini ni taifa la Mungyu.Pole sana mkuu nategemea Iran watajibu
Hayo maneno tu mkuu, Israel hawezi anzisha ugomvi bila kupata baraka ya West. Jana Cameroon alisema ni swala la muda tu Israel kujibu mashambulizi na yataescalate kadri siku ziendavyo mbele.....Kuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
Ukiona haieleweki ujue haikuhusu!Mada yenyewe hata haieleweki