wamekufa watu wangapi? au amejeruhiwa mtoto wa kikeVituo vyenye iyo mizinga vimechakzwa hatari watashambulia kwa kurusha mawe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamekufa watu wangapi? au amejeruhiwa mtoto wa kikeVituo vyenye iyo mizinga vimechakzwa hatari watashambulia kwa kurusha mawe
Kiingereza anakijua vizuri sana, ila mahaba tu yanamzuzua!Hata kusoma kiingereza hajui.
Habari inasema mlipuko umesikika KARIBIA AMA MAENEO KARIBU NA AIRBASE YA ISFAHAN.
Yeye anakwambia airbase imeshambuliwa.
Lugha ya malkia inamchanganya.
Kweli eeeh!?Vituo vyenye iyo mizinga vimechakzwa hatari watashambulia kwa kurusha mawe
Kuna chochote au hakuna kilichotokea?Dunia nzima imeripuka na taarifa na dhana kuwa Israel imejibu mapigo ya Iran.Wengine wakaenda mbali na kusema Israel imepiga Iraq,Syria na hiyo Iran.
Kwa mujibu wa vyo vya habari vya Iran wakionesha picha za moja kwa moja ni kwamba hakuna kibaya kilichotokea na shughuli zinaendelea kama kawaida.
Hata hivyo wamesema mifumo ya kiulinzi iliwashwa na kupiga vitu vilivyodhaniwa ni vibaya juu ya anga la Isfaham.
Wachunguzi wa mambo ya nyuklia wamethibitisha kuwa vituo vya nyuklia vya Iran viko salama na vinaendelea na kazi zake kama kawaida.
Mkuu hakuna kombora lolote lililo shambulia ndani ya Iran ,milipuko iliyo sikika ni mifumo ya ulinzi iliyo kuwa ina dungua drone zilizo kuwa zimeruka kwenye mji wa Isfahan nadhani Israel ilikuwa inataka kulipua kinu cha Nyuklia kilichoko eneo hilo shambulizi likafeli.Jamani mwenye picha au video ya sehemu iliyoshambuliwa na israeli huko Iran iwe ni mtaani au kwenye kambi ya jeshi bado nasubiri mbona kimya sanaa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]CCM Oyeeeee
Hakuna kituKuna chochote au hakuna kilichotokea?
Mifumo katika kipindi hiki cha vita muda wowote huwashwa halafu ikazimwa,Tukuelewe Vipi sasa, tulia uandike kitu cha kueleweka.
Hakuna kilichotokea mara mifumo sijui iliwashwa hivi ndivyo mnavyofundishwa madrasa?
Halafu video waliyoweka ni ya HIZBOLLAH KULIPUA KAMBI YA JESHI KASKAZINI ISRAEL ya Galilee juzi jumatano.Kama US imethibitisha basi jua ya kwamba ni kweli amepigwa,Iran huwaga hakubaligili mpaka maji yawe ya shingo, refer back matukio ya nyuma kulipuka korona nchi Iran ilikataa katakata ,kudungua ndege ya abiria ya ukrein iliokuwa inakuja Iran alikataa katukatu it is
just matter of time tutasikia mengine.
Hapo ndo wataelewa jamaa hatanii ni kibondo tu.Jamaa kapiga sehemu tatu kwa mpigo Iran, Iraq na Syria.
Iran Ndio wanazosema wameshambuliwaJamani mwenye picha au video ya sehemu iliyoshambuliwa na israeli huko Iran iwe ni mtaani au kwenye kambi ya jeshi bado nasubiri mbona kimya sanaa.
Kama mswahili anaona ajali mbele yake na anaielezea tofauti itakuwa ya mbali tena kwa mahabaDunia nzima imeripuka na taarifa na dhana kuwa Israel imejibu mapigo ya Iran.Wengine wakaenda mbali na kusema Israel imepiga Iraq,Syria na hiyo Iran.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Iran wakionesha picha za moja kwa moja ni kwamba hakuna kibaya kilichotokea na shughuli zinaendelea kama kawaida.
Hata hivyo wamesema mifumo ya kiulinzi iliwashwa na kupiga vitu vilivyodhaniwa ni vibaya juu ya anga la Isfaham.
Wachunguzi wa mambo ya nyuklia wamethibitisha kuwa vituo vya nyuklia vya Iran viko salama na vinaendelea na kazi zake kama kawaida.
Tangazo la kufungua anga kwa ndege za abiria za ndani tayari limeshatolewa
Mbona wanaktaa sasa?😅😅😅Marekani ndio wnatoa taarifa .Limekanushwa na Nani.....???
Angalia BBC na aljazeera wako live wanalichambua.......na Israel wamekiri kuendesha shambulizi kama hatua moja wapo ya kulipa kisasi
Sio sehemu tatu, yaani ni aliingia Syria akawaamsha, akaingia Iraq akawaamsha, akaingia na kwa Baba yao.Jamaa kapiga sehemu tatu kwa mpigo Iran, Iraq na Syria.