Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Israel karudisha heshima yetu... 🤣 🤣

Wavaa kobazi walianza kutamba sana...

Yaani Israel imenipunguzia muda wa kukaa online kufatilia lini watashambulia
 
Kuwa salama ni jambo lingine na kuwa wameshambuliwa ni jambo lingine
Hamna lolote America kaomba Iran iwaruhusu wapige Israel sehemu empty kati ya Iran na Iraq na Iran akapige sehemu empty kwenye visiwa vya kiarabu 😄

Hizo ni kelele tu America anataka kuikuza Israel kuwa ina ubavu wa kujibu, hio imekuwa film sasa.
 
Mkuu hakuna kombora lolote lililo shambulia ndani ya Iran ,milipuko iliyo sikika ni mifumo ya ulinzi iliyo kuwa ina dungua drone zilizo kuwa zimeruka kwenye mji wa Isfahan nadhani Israel ilikuwa inataka kulipua kinu cha Nyuklia kilichoko eneo hilo shambulizi likafeli.
Na mimi ndio ninavojua mkuu
 
Hahahah Kazi kweli kweli
20240419_095307.jpg

Israeli National Security Minister calls Israel's response ridiculous 😭
 
Back
Top Bottom