ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Mkuu hakuna shambulizi lolote la kombora ndani ya Iran bali ni shambulizi la drone na limezimwa.Iran Ndio wanazosema wameshambuliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hakuna shambulizi lolote la kombora ndani ya Iran bali ni shambulizi la drone na limezimwa.Iran Ndio wanazosema wameshambuliwa
Na wamezipeleka drone ndani ya Iran,Ila Israel ni mandina sana yaani unaishambulia Iran kwa drone tatu?,😀😀😀😀😀
Nyingi sana na kiongozi wao kasema ,kambi mbili zimepigwa na wanajeshi kadhaa wamfariki.kwani picha na video ya sehemu israel imeshambuliwa uliipata?
Na limefanyika ndani ya Iran, rada za Iran zililala😂😂😂Mkuu hakuna shambulizi lolote la kombora ndani ya Iran bali ni shambulizi la drone na limezimwa.
Tupe video au hata picha tu mkongwe!Jamaa kapiga sehemu tatu kwa mpigo Iran, Iraq na Syria.
Hawa wayahudi nao waache upumbavu, wanaanza kupiga piga mabomu hovyo mara Iraq sijui Syria mara Iran ili iwe nini sasa?CCM tena......we jamaa wewee.....msiba unanukia ndani Tel Aviv wewe unaitaja CCM .......😃😃😃😃
Hamna lolote America kaomba Iran iwaruhusu wapige Israel sehemu empty kati ya Iran na Iraq na Iran akapige sehemu empty kwenye visiwa vya kiarabu 😄Kuwa salama ni jambo lingine na kuwa wameshambuliwa ni jambo lingine
Na mimi ndio ninavojua mkuuMkuu hakuna kombora lolote lililo shambulia ndani ya Iran ,milipuko iliyo sikika ni mifumo ya ulinzi iliyo kuwa ina dungua drone zilizo kuwa zimeruka kwenye mji wa Isfahan nadhani Israel ilikuwa inataka kulipua kinu cha Nyuklia kilichoko eneo hilo shambulizi likafeli.
Una uhakika?Iran Ndio wanazosema wameshambuliwa
Akajibu nimi sasa wakati Israel hakupiga Iran 😄Pole sana mkuu nategemea Iran watajibu
Lete picha kama ile ya ubalozi wa Iran ulioshambuliwa hapo Syria vinginevyo huu ni uzushi.BREAKING: Syrian state media says that Israel conducted airstrikes on air defense and radar positions overnight
Kwa hiyo wale majeneral wa iran hawakufa sioLete picha kama ile ya ubalozi wa Iran ulioshambuliwa hapo Syria vinginevyo huu ni uzushi.