Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 829
- 1,564
Hatokaa kando huyo, anaweza kaa kando rais wa sasa uchaguzi ukipita akaingia wa mlengo wa pili akapata suport ya Senate na goma likaanzishwa upyaKuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
Wasubiri comeback ya Iran safari hii atachapwa bila taarifa.Hilo ndio wanaloliweza. Kashambulio ka kushtukiza kamefanyika, lakini kametulizwa. Yani mpaka sasa dunia haijui hata kama kuna kashambulio kalifanyika Iran.
Wayahudi wa kipogoro hao mkuu, ukute miguu imejaa vizaka, afu eti wana imani na wao watakuwa miongoni mwa yale makabila 12 ya waisrael πππNinyi wainjilisti Ninyi!!!!
Anajifariji tu any way huwa sipendi ubabe wa Wazayuni ila Iran imeshambuliwaKapiga wapiπ ? Angalia tv huku Iran hawana wasiwasi ,mnapewa hope mnayeamini ni taifa la Mungyu.
Mbona iran hakuna kituAnajifariji tu any way huwa sipendi ubabe wa Wazayuni ila Iran imeshambuliwa
Sasa SI Bora wao wamerusha vi3 na vimefika huyo Iran karusha drones mapolo kwa mapolo bado akarusha na zigo la ballistic missiles watu wanarekodi kwa simu kama vile fashi fashi za hepi nyui yia..Hahahaha yaaani hivi ni vichekrsho jamani isral imefanya vikao kwa siku 5 mfululizo anaishia kurusha vidrone vi3 na vyoe vimetunguliwa
Tena mikwara yote ile walituma drones tatu tu na zote zimetunguliwa. Kwa ufupi shambulizi la Iran dhidi ya Israel limeifilisi Israel. Iran ilitumia cheap drones na makombora ya zamani yenye gharama nafuu wakati Israel ilitumia takriban USD 3.5bn kutungua hizo drones na makombora na bado hizo drones na makombora yalipenya na kupiga malengo. Sasa jiulize ikiwa ndani ya sehemu tu ya usiku wametumia gharama hizo vipi ikiwa vita itachukua mwezi?Zimeangushwa zote hizo missiles zao cheza na Iran wewe
Hili la kwao si limepita kimya kimya bila dunia kujua. Sasa tusubiri respond uone dunia itavyopiga kelele kuwa Iran inataka kuwaangamiza waisrael πππWasubiri comeback ya Iran safari hii atachapwa bila taarifa.
PoleIran hakuna kitu kimetokea , Israel anakuzwa tu uli aendelee kudanganya watu π π π Wairan jaribu kuangalia wanaendelea na ishu zao kule Gaza sawa.
Umesahau kuwa vita vya panzi ni furaha kwa kunguru.Mmatumbi anapoombea vita itokee na wala haimuhusu...
Kwahy Iran yote n Hilo eneo tuu au
Sasa SI Bora wao wamerusha vi3 na vimefika huyo Iran karusha drones mapolo kwa mapolo bado akarusha na zigo la ballistic missiles watu wanarekodi kwa simu kama vile fashi fashi za hepi nyui yia..
Hata Iran wanajua vinu vya nyuklia vya Israel vilipo. Kwahiyo piga changu na mimi napiga chako.Lakini hapo zilipopigwa Iran kuna vinu vya nyuklia karibu.....huoni kwamba huo ni ujumbe mzito Kwa Tehran kujipima....???
Syria kasema nini hapa?Mbona syria kasema mwenyewe π π π
View: https://twitter.com/spectatorindex/status/1781208040416727174?s=19
Wanashambulia sites za kijeshiKwahy Iran yote n Hilo eneo tuu au