Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Kuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
Hatokaa kando huyo, anaweza kaa kando rais wa sasa uchaguzi ukipita akaingia wa mlengo wa pili akapata suport ya Senate na goma likaanzishwa upya
 
Hahahaha yaaani hivi ni vichekrsho jamani isral imefanya vikao kwa siku 5 mfululizo anaishia kurusha vidrone vi3 na vyoe vimetunguliwa
Sasa SI Bora wao wamerusha vi3 na vimefika huyo Iran karusha drones mapolo kwa mapolo bado akarusha na zigo la ballistic missiles watu wanarekodi kwa simu kama vile fashi fashi za hepi nyui yia..
 
Zimeangushwa zote hizo missiles zao cheza na Iran wewe
Tena mikwara yote ile walituma drones tatu tu na zote zimetunguliwa. Kwa ufupi shambulizi la Iran dhidi ya Israel limeifilisi Israel. Iran ilitumia cheap drones na makombora ya zamani yenye gharama nafuu wakati Israel ilitumia takriban USD 3.5bn kutungua hizo drones na makombora na bado hizo drones na makombora yalipenya na kupiga malengo. Sasa jiulize ikiwa ndani ya sehemu tu ya usiku wametumia gharama hizo vipi ikiwa vita itachukua mwezi?
 
Wasubiri comeback ya Iran safari hii atachapwa bila taarifa.
Hili la kwao si limepita kimya kimya bila dunia kujua. Sasa tusubiri respond uone dunia itavyopiga kelele kuwa Iran inataka kuwaangamiza waisrael 😂😂😂
 
Naona mnageuza hiyo vita uwanja wa taarabu, kazi yenu umbea tu.
 
Sasa SI Bora wao wamerusha vi3 na vimefika huyo Iran karusha drones mapolo kwa mapolo bado akarusha na zigo la ballistic missiles watu wanarekodi kwa simu kama vile fashi fashi za hepi nyui yia..

Lakini hapo zilipopigwa Iran kuna vinu vya nyuklia karibu.....huoni kwamba huo ni ujumbe mzito Kwa Tehran kujipima....???
Hata Iran wanajua vinu vya nyuklia vya Israel vilipo. Kwahiyo piga changu na mimi napiga chako.
 
Back
Top Bottom