Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Iranian media reports dismiss attack came from abroad​


While we still wait for official comments, Tasnim news agency has quoted “informed sources” as saying that “there are no reports of an attack from abroad against Isfahan or any other part of Iran”.
Separately, an Iranian analyst argued on state television that mini-drones were flown by “infiltrators from inside” the country.
As we previously reported, ABC News earlier quoted an anonymous senior US official as saying that Israel had launched a missile attack on a target in Iran. (ALJAZEERA)
 
Urusi hawezi kuiunga mkono Iran!; Kama alivyo waunga mkono domoni warabu ktk vita vyao zote na Yahudi lakini rohoni yupo na Yahudi!
Kihidtoria viwanda Silaha vyote vya urusi yupo Yahudi!
ktk vita zao zote na Yahudi!
Kihidtoria Anzia vita kuu ya Pili ya Dunia Yahudi wengi walikimbilia Rusia kukimbia kisago Cha Hitler.....
 
Hilo ndio wanaloliweza. Kashambulio ka kushtukiza kamefanyika, lakini kametulizwa. Yani mpaka sasa dunia haijui hata kama kuna kashambulio kalifanyika Iran.
Naona unatetea uzi wako. Umefungua uzi na unataka watu wajibu kwa kukufurahisha
 
Source?
 
Kajifunze kwanza kuandika ndipo uje kubishana na mimi. Kubishana na kilaza ni matumizi mabaya ya muda.
 
Iranian nuclear sites are very hard to hit. Zimejengwa underground kilometa kadhaa chini halafu juu kuna layers kibao za zege kali. Huku juu ni majengo tu lakini mitambo yenyewe haifikiki hata kwa bunker bursters za Marekani
 
Prove this claim kuwa Viwanda vyote vya urusi yupo yahudi. (Au unataka kutuchekesha? 🤣 🤣 🤣 )
 
Israel sio Iran haiitaji Makombora 500 wala baliistic missiles 150.

Israel kila silaha yake inathamani
Israel haina silaha yake bali ni silaha za Marekani kwenye mikono ya Israel. Iran inatengeneza silaha zake yenyewe tena silaha bora kabisa na nyingine anazitumia Urusi kule Ukraine mfano Shaheed 136 drones. Kwa teknolojia ya kijeshi Iran kaizidi Israel mbali sana. Kinachoisaidia Israel ni msaada wa Marekani na washirika wake.
 
Kuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
Amerika hawezi kukaa kando, yule ni mfanyabiashara kazi yake kuuza silaha. Hata vita vilivyopita vya dunia yeye ndio alikuwa msambazaji WA silaha. Mnafiki tu marekani na ndio fisadi No.1
 
Hakuna cha kujibu karusha to drone tu tatu na twenyewe tumeshushwa!
 
Hizi ni official data au ni dark news.....???
Unajua mambo mengi hayapo official nikama ilivyo wengi wanafikiri Rais wa nchi ndiyo kiongozi wao kumbe nyuma ya pazia kuna watu wana run kila kitu Rais ana kuwa ni kisemeo chao. Hii familia ya Rothschild unaweza kuingia deep na kuona namna walivyo ishika dunia.
 
Kuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
Mwisho wa Israel sio Leo wala Kesho bado Sana,hawa unaowaona wanaisaidia Israel wote wametajwa kwenye vitabu vya dini kuwa watasimama kwaajili ya kuitetea Israel na pia upo wakati ambao Israel atapigwa ila sio sasa mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…