Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Labda Israel ataishinda Iran kwa mara ya kwanza katika historia ya dunia hii.
Maana huko nyuma, Iran (by then Uajemi), wamewahi kuwa watawala wa Israel. Huenda historia ikajirudia au Israel akawa-prove wrong.
Anyway, anything can happen.
 
Marekani wanahangaishwa sana na mtoto wao wa kambo.........

Ningependa mdau mwenye uelewa mpana wa siasa na uchumi wa kimataifa atudadavulie kuwa Marekani anafaidika nini na Israel mpaka kuingia hasara na kuhatarisha usalama wa taifa lake kiasi hicho
 
We
Wenda wazimu wawili nani na nani hapo mwendawazimu ni mmoja tu Israeli Wacha wazimu wako huoni yeye ndio muanzishi wa mabalaa yote duniani na khasa Mashariki yakati??
 
Wacha Israel aonje kitamu na yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…