KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
- Thread starter
- #21
Na huo ndio wasi wasi wangu......dunia inakwenda kutumbukia kwenye ufukara mkubwa SanaHii vita ikitokea Lita moja tutanunua 10,000.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huo ndio wasi wasi wangu......dunia inakwenda kutumbukia kwenye ufukara mkubwa SanaHii vita ikitokea Lita moja tutanunua 10,000.
Hamna lolote waongo hao
Iran ipo normal kabisa Israel hawezi fanya lolote, hizo ni kelele tu ajionyeshe kalipa, mpa mda hu Iran ipo cool.Amka shekhe kumekucha😂😂😂
Zimeangushwa zote hizo missiles zao cheza na Iran weweIsrael wamesubiri birthday ya Ayatollah ifike ndo washambulie 😂😂😂
Nadhani labda na yeye kafanya kama kutuma ujumbe kuwa naweza kutuma MAKOMBORA ndani ya ardhi yako...... ngoja tuone vita kamili.....Iran ipo normal kabisa Israel hawezi fanya lolote, hizo ni kelele tu ajionyeshe kalipa, mpa mda hu Iran ipo cool.
USA hawezi muacha muisrael hizo ni war propaganda subiri uoneKuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
Labda lakini mpa mda hu hakuna alicho fanya zaidi yakuwapa Iran ushindi wa bure kabisa.Nadhani labda na yeye kafanya kama kutuma ujumbe kuwa naweza kutuma MAKOMBORA ndani ya ardhi yako...... ngoja tuone vita kamili.....
Wenda wazimu wawili nani na nani hapo mwendawazimu ni mmoja tu Israeli Wacha wazimu wako huoni yeye ndio muanzishi wa mabalaa yote duniani na khasa Mashariki yakati??Wendawazimu wawili wamekutana na kila mmoja hayupo tayari kuishusha heshima yake mbele ya hadhira.
Amerika, Russia na China wanapaswa kuingilia kati kabla ya middle east haijaharibika.
Amerika asichochee vita hii bali awe msuluhishi bila ya kujali uhusiano wake na ISRAIL.
Lakini naamini kwa Iran hili litakuwa jambo kubwa Sana na lazima litajibiwa kwa kishindoLabda lakini mpa mda hu hakuna alicho fanya zaidi yakuwapa Iran ushindi wa bure kabisa.
Wacha Israel aonje kitamu na yeyeWendawazimu wawili wamekutana na kila mmoja hayupo tayari kuishusha heshima yake mbele ya hadhira.
Amerika, Russia na China wanapaswa kuingilia kati kabla ya middle east haijaharibika.
Amerika asichochee vita hii bali awe msuluhishi bila ya kujali uhusiano wake na ISRAIL.
America kukaa kando ni ndoto !! Ni kama mjomba kukwambia kuwa mama yako sio dada yangu !!!Kuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
kwenye uchumi wa dunia hichi ndio tulichochagua......kushabikiaBara Giza ndo chakula Chao hicho mkuu kumtenganisha MTU mweusi na ujingq ni kutaka kumuua.
Hamna cha maana ,kule israel kakubali kwamba kambi zake mbili zimelipuliwa na wanajeshi kdhaa wamekufaNgoja tuone walichokiandaa Tehran baada ya Israel kujibu mapigo......inaogopesha lakini dunia ndio imefikia hapa
Ulimuamini aliposema atakaa kando? Askari 20,000 aliopeleka huko wameenda picnic?Kuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
Najua USA alikuwa anacheza na maneno lakini kiuhalisia hakuwa siriaziAmerica kukaa kando ni ndoto !! Ni kama mjomba kukwambia kuwa mama yako sio dada yangu !!!