Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Kwan Israel hajasema kwamba ameshalia yeyote uwo unaousikia ni udadisi wa watu
israel wamesema amepiga, UK wamesema amepiga, wewe ni nani upinge. ila kipigo cha kupangusa tu, iran bado ameonekana mshindi na boss kwenye hili. aibu kwetu.
 
Acha ufala Iran ina silaha zake alizounda 100% pasi na kusaidiwa.
Hata Khordak mfano ile ni 100% Iranian made.
akili hiyo bado hana mzee.. marekani na urusi zenyewe pamoja na ujanja wao wote waliiba wanasayansi wa ujerumani, na ndio maana wana teknolojia nzuri za kijeshi hadi sasa ndo wanaongoza dunia.. hakuna aliyekua anaikuta ujerumani kwa tech. iran vijana wake wote inapeleka kuwasomesha urusi ndo wanaleta technology ya urusi nyumbani ndo sasa wanapambana na hivo vidrone, technologia ya makombora bado anajifunza mfano haya makombora aliyoyarusha juzi kwenda israel nusu yake yote yalianguka yenyewe bila kutunguliwa yaliishiwa tu nguvu.

nchi pekee inayoweza kukupiga na kombora popote ulipo na likakufikia na likaleta maafa ni urusi akifuatiwa na marekani. irani kwa sasa bado mchumba tuuu
 
Missile za mazayuni zinadondoshwa bila kupigwa👇🏾👇🏾👇🏾


View: https://youtu.be/px2oIjUOWWg?si=iVWqzvi3YLP1hXh8
Wanaona haya kutangaza, wanafahamu zinadondoshwa vipi.
 
Hizo Propaganda na tena US ndiye baba wa propaganda na habari za uzushi, halafu kwenye vita kila mtu anavutia kwake. Iran alipiga kambi ya US Iraq,US akasema hamna aliye umia, juzi Iran kashambulia na maroketi kibao wakadai hamna aliye poteza maisha,Iran jana kashambuliwa nae anasema kwako pako salama.Hata siku moja ngumu kusikia nchi iliyopigwa ikikili kupigwa tena kama US mzushi mzushi.
 
Muongo Amerika hawezi kukaa kando anaisaidia israil kwa njia ya siri Waingereza pia wanaisaidia israil kwa njia ya siri.
Mtaalamu.....tangu mwanzo sikuwa na imani na kamwe sitakuwa na imani na USA hasa kwenye mambo yanahusisha Israel moja kwa moja.........

Israel ni mfano wa tembo mtoto anayemchezea Simba akitegemea back up ya tembo wakubwa walio nyuma yake.........
 
israel wamesema amepiga, UK wamesema amepiga, wewe ni nani upinge. ila kipigo cha kupangusa tu, iran bado ameonekana mshindi na boss kwenye hili. aibu kwetu.
Official statement haijatoka Israeli kama unayo iweke
 
Ni karibia masaa 24 tangu kuripotiwa kwa milipuko kadhaa huko nchini Iran eneo la Ishfaan........

Milipuko inayodhaniwa kuwa ni majibu ya Israel kwa Iran kwa kilichotokea masiku kadhaa nyuma.........

Iran iliyoahidi kuwa baada ya shambulio lake la mvua ya drones na missiles kuelekea Israel.....majibu yoyote ya Israel yatajibiwa kwa mapigo makubwa ambayo yataleta majuto makubwa sio tu kwa Israel bali hata kwa washirika wake..........

Ukimya wa serikali ya Tehran majibu ya Israel unamaanisha nini......??

Je wameingiwa na hofu kinyume na matarajio Yao au hawakutarajia Israel kujibu......???

Tuendelee kutoa muda tujue kitakachotoka jikoni mwa mpishi Tehran........
 
Huezi kaa tu ukaangalia dem wako akipigwa hata kama ulimwambia apunguze mdomo na ukorofi kwa jirani zake
Hahahaha!!
Mfano wako umenichekesha Sana lakini ndio uhalisia wenyewe.......ni kama mzazi anayekuruhusu umuadhibu mtoto wake mtukutu alafu baadae anakununia.....
 
Hivi hata kama ni wewe utajibu shambulizi la drone 3 za kupigia picha harusini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…