Necromancer
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 3,187
- 3,138
Tupe ushahidiTakataka zote zilizorushwa na Israeli zimetunguliwa kudadeki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe ushahidiTakataka zote zilizorushwa na Israeli zimetunguliwa kudadeki
israel wamesema amepiga, UK wamesema amepiga, wewe ni nani upinge. ila kipigo cha kupangusa tu, iran bado ameonekana mshindi na boss kwenye hili. aibu kwetu.Kwan Israel hajasema kwamba ameshalia yeyote uwo unaousikia ni udadisi wa watu
akili hiyo bado hana mzee.. marekani na urusi zenyewe pamoja na ujanja wao wote waliiba wanasayansi wa ujerumani, na ndio maana wana teknolojia nzuri za kijeshi hadi sasa ndo wanaongoza dunia.. hakuna aliyekua anaikuta ujerumani kwa tech. iran vijana wake wote inapeleka kuwasomesha urusi ndo wanaleta technology ya urusi nyumbani ndo sasa wanapambana na hivo vidrone, technologia ya makombora bado anajifunza mfano haya makombora aliyoyarusha juzi kwenda israel nusu yake yote yalianguka yenyewe bila kutunguliwa yaliishiwa tu nguvu.Acha ufala Iran ina silaha zake alizounda 100% pasi na kusaidiwa.
Hata Khordak mfano ile ni 100% Iranian made.
Missile za mazayuni zinadondoshwa bila kupigwa👇🏾👇🏾👇🏾Israel wameanza kupiga Kwanza rada zilizopo Iraq na Syria huku ndege zingine zikipiga site 7 za Iran pia kulikuwa na cyber attack nchini Iran ili iwe rahisi kupiga..inaonekana mawasilianao ya kuchunguza hatari hayakufanya kazi
Israel news channel wanasema target zao zimefanikiwa Kwa 99% na Iran wanasema hakuna kilchofanyika ndani ya nchi Yao.
Hizo Propaganda na tena US ndiye baba wa propaganda na habari za uzushi, halafu kwenye vita kila mtu anavutia kwake. Iran alipiga kambi ya US Iraq,US akasema hamna aliye umia, juzi Iran kashambulia na maroketi kibao wakadai hamna aliye poteza maisha,Iran jana kashambuliwa nae anasema kwako pako salama.Hata siku moja ngumu kusikia nchi iliyopigwa ikikili kupigwa tena kama US mzushi mzushi.Kama US imethibitisha basi jua ya kwamba ni kweli amepigwa,Iran huwaga hakubaligili mpaka maji yawe ya shingo, refer back matukio ya nyuma kulipuka korona nchi Iran ilikataa katakata ,kudungua ndege ya abiria ya ukrein iliokuwa inakuja Iran alikataa katukatu it is
just matter of time tutasikia mengine.
Upo mahakamaTupe ushahidi
Muongo Amerika hawezi kukaa kando anaisaidia israil kwa njia ya siri Waingereza pia wanaisaidia israil kwa njia ya siri.Kuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi na mwisho wa Israel unakaribia, kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando.
Mtaalamu.....tangu mwanzo sikuwa na imani na kamwe sitakuwa na imani na USA hasa kwenye mambo yanahusisha Israel moja kwa moja.........Muongo Amerika hawezi kukaa kando anaisaidia israil kwa njia ya siri Waingereza pia wanaisaidia israil kwa njia ya siri.
Huezi kaa tu ukaangalia dem wako akipigwa hata kama ulimwambia apunguze mdomo na ukorofi kwa jirani zakeKuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi na mwisho wa Israel unakaribia, kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando.
Official statement haijatoka Israeli kama unayo iwekeisrael wamesema amepiga, UK wamesema amepiga, wewe ni nani upinge. ila kipigo cha kupangusa tu, iran bado ameonekana mshindi na boss kwenye hili. aibu kwetu.
Na ukaamini USA atakaa kando?Kuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi na mwisho wa Israel unakaribia, kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando.
Hahahaha!!Huezi kaa tu ukaangalia dem wako akipigwa hata kama ulimwambia apunguze mdomo na ukorofi kwa jirani zake
Nikiwa na akili timamu siwezi kuamini propaganda nyepesi kama hiyo ya USA...... isipokuwa niliweka kama kachumbari kwenye mjadalaNa ukaamini USA atakaa kando?
MbusiiWee umbwaaa hao mbusii wako salama sisini?
Nyau weweee
Hivi hata kama ni wewe utajibu shambulizi la drone 3 za kupigia picha harusini?Ni karibia masaa 24 tangu kuripotiwa kwa milipuko kadhaa huko nchini Iran eneo la Ishfaan........
Milipuko inayodhaniwa kuwa ni majibu ya Israel kwa Iran kwa kilichotokea masiku kadhaa nyuma.........
Iran iliyoahidi kuwa baada ya shambulio lake la mvua ya drones na missiles kuelekea Israel.....majibu yoyote ya Israel yatajibiwa kwa mapigo makubwa ambayo yataleta majuto makubwa sio tu kwa Israel bali hata kwa washirika wake..........
Ukimya wa serikali ya Tehran majibu ya Israel unamaanisha nini......??
Je wameingiwa na hofu kinyume na matarajio Yao au hawakutarajia Israel kujibu......???
Tuendelee kutoa muda tujue kitakachotoka jikoni mwa mpishi Tehran........