KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
- Thread starter
-
- #41
Lakini hapo zilipopigwa Iran kuna vinu vya nyuklia karibu.....huoni kwamba huo ni ujumbe mzito Kwa Tehran kujipima....???Hamna cha maana ,kule israel kakubali kwamba kambi zake mbili zimelipuliwa na wanajeshi kdhaa wamekufa
Sikuwahi kuwaamini USA hasa linapokuja suala linalohusisha IsraelUlimuamini aliposema atakaa kando? Askari 20,000 aliopeleka huko wameenda picnic?
Nadhani wanaoripoti wamezingatia Sana yaliyoripuka ndani ya Iran ukizingatia mvutano uliopo Kati Yao ili ku make headlinesKwenye taarifa yako hakuonyeshi Syria na Iraq!
Maeneo ambapo milipuko ilisikika ni Isfahan na Teheran nchini Iran
Kuwa salama ni jambo lingine na kuwa wameshambuliwa ni jambo lingineBreaking News Iran ni salama kabisa hizo ni propoganda za Israel, UK na America
Al Mayadeen TV mpaa mda hu.
Hahahahahhaa!!!!Mama anamiliki watoto wazuri acha nijisogeze naweza kudaka mmojaπ€£
Lakini nyasi tutaumia ndugu yangu.....si umeona bei za mafuta z
Haitakuwa vita kubwa sana hao wote n wababe wanaheshimiana labda machawa wao waingilieLakini nyasi tutaumia ndugu yangu.....si umeona bei za mafuta zimeshapanda......
Nadhani hii itakuwa vita kubwa kwa kuwa kila mmoja anataka heshima kwenye ukanda huo na kila mmoja anamuona mwenzie kuwa ni threat kwake.......pia maslahi ya mabwana wakubwa( China , Russia , USA) yataguswa moja kwa moja........Haitakuwa vita kubwa sana hao wote n wababe wanaheshimiana labda machawa wao waingilie
Hii vita inakwenda kuwa vita mbaya sana na yenye umwagaji mwingi wa damu..... Mungu aepushe mbaliGod Bless Israel
Mapambio nitaimba wiki 2, nikimnasa Batuli ninastaafu uchawaπ€£π€£Hahahahahhaa!!!!
Lakini utaweza kuimba mapambio muda wote kama kasuku......ππππ
Wale wapo kimkakati unaweza kuchoka kuimba kabla hujakamalisha mission ππππMapambio nitaimba wiki 2, nikimnasa Batuli ninastaafu uchawaπ€£π€£
Mbona waoga hivi?
Aljazera wameandika piaBBC nao
Mbona kama Iran hajapigwa vile?π ,watuchezea hawa
Nadhani bado hujaelewa propaganda za kivita na jeshi kwa ujumla wake....hilo shambulio liwe limefanikiwa au la lakini lina ujumbe mkubwa kwa Iran...... naamini mpaka muda huu watakuaa wanaendesha kikao kizito.....BBC nao
Mbona kama Iran hajapigwa vile?π ,watuchezea hawa
Hakuna kitu kama hichoKuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia
Hizo ni porojo tu.kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
Unawajua vizuri waMarekani? Una amini wanachokisema?Kuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......