LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
akijibu anakula za uso mbaya sanaHao wote n wazee wa jino kwa jino Iran nae atajibu tu kwa kishindo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akijibu anakula za uso mbaya sanaHao wote n wazee wa jino kwa jino Iran nae atajibu tu kwa kishindo
Vyovyote itakavyokuwa lakini vita hii inakwenda kuacha machungu na makovu makubwa kwa pande zote mbiliwacha iwe mbaya tumemchoka iran kusaidia makundi ya kigaidi kuishambulia israel imnyuke mpaka aombe amani huyo iran
Hata hivyo sikuamini ile kauli ya USA dhidi ya swahiba wake Israel.........Wishful thinking. America has got ironclad support for Israel. Both kimaadili na kisheria.
Ndio ijibu Sasa tuone movie inavyoenda huku tunakula popcornkwani kipi kitamzui kujibu
Nyakati zimebadilika ndugu na technology imekuwa haiwezi kuwa rahisi bila ya msaada wa Baba yake wa kambo UShata kama amerika akikaa kando israel itazichakaza nchi maadui zake kipigo cha ajabu kuliko kile cha six days war
Hakuna cha maana ambacho marekani anakipata kutoka israel isipokuwa kitu ambacho wengi hawakijuiMarekani wanahangaishwa sana na mtoto wao wa kambo.........
Ningependa mdau mwenye uelewa mpana wa siasa na uchumi wa kimataifa atudadavulie kuwa Marekani anafaidika nini na Israel mpaka kuingia hasara na kuhatarisha usalama wa taifa lake kiasi hicho
Na mshindi wa Vita hii ni nani Israel? Maana Bible inasema yoyote atakaemgusa atalia na kusaga MenoAmini nakuambia inakwenda kuwa vita mbaya sana hiii......
Angepiga nne kwa mpigo na kule lebanon kwa hezbollahJamaa kapiga sehemu tatu kwa mpigo Iran, Iraq na Syria.
Naogopa kuliweka hapa hili la kiimani Kwa kuwa litazalisha mjadala wa kidini na hasira za kidini........naomba tujadili hivi hivi kupitia fikra zetu na vyanzo mbali mbaliNa mshindi wa Vita hii ni nani Israel? Maana Bible inasema yoyote atakaemgusa atalia na kusaga Meno
Wale wanajuana. Hawakukutana barabarani.Hata hivyo sikuamini ile kauli ya USA dhidi ya swahiba wake Israel.........
🤣🤣 ikowapi mbona hatuoni ?Safi sana piga, halafu ya Israel haijadunguliwa, imepiga haswa...
Poleni wavaa dera brazaj
Yoyote atakaemgusa Israel kilio chake ni kikubwa zaidi ya anavyofikiri, kwa hio Iran ali-test Israel hakopeshi, wavaa kobazi mtoa roho wanamuita Israel jiulize kwanini?Naogopa kuliweka hapa hili la kiimani Kwa kuwa litazalisha mjadala wa kidini na hasira za kidini........naomba tujadili hivi hivi kupitia fikra zetu na vyanzo mbali mbali
Keep dreaming...US na Islael watengane. Jana tu US kapiga kura yake ya VETO kuzuia kuundwa kwa taifa la Parestina katika Umoja wa Mataifa kitu ambacho kimekuwa PIGO jipya kwa magaidi wa HAMAS.Kuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
Mkuu nisaidie kavideo kidogo ka shambulizi na mimi nijionee.Wayahud lazima wangejibu tu hao n wazee wa jino kwa jino
Yep, tunasubiri Iran ajibu tena kama yeye kweli ni kidume. Technology ya Islael kwa makombola ya kutungua na kujilinda ni kubwa.Yoyote atakaemgusa Israel kilio chake ni kikubwa zaidi ya anavyofikiri, kwa hio Iran ali-test Israel hakopeshi, wavaa kobazi mtoa roho wanamuita Israel jiulize kwanini?
Hapo lazima wachangikiwe kabla hawajafikiria kujibu wanapigwa tena zingine, hawajafikiria kujibu hizo wanapigwa tena zingine, kabla hawajafikiria kujibu wanapigwa tena zingine, mpaka hapo washaanza kua na magofu na Ile death count down inaanza kuandikwa, hawajafukiria kujibu wanashushiwa tena kitu kizito, mpaka hapo wanaanza kuomba POO, hawajafikiria kujibu wanapigwa tena zingine za kutosha, Israel akianza hua hamalizi mpaka usemecheki hii kenge msukule ya waarabu. Iran imetandikwa miji saba (7) lakini pia Iraq na Syria same time zote kimenuka kma miji zaidi ya 12. Kenge anakuja kusema mji moja. Maislamu bhana hua maongo maongo tu majinga majinga tu.
View attachment 2967882
Hapo lazima wachangikiwe kabla hawajafikiria kujibu wanapigwa tena zingine, hawajafikiria kujibu hizo wanapigwa tena zingine, kabla hawajafikiria kujibu wanapigwa tena zingine, mpaka hapo washaanza kua na magofu na Ile death count down inaanza kuandikwa, hawajafukiria kujibu wanashushiwa tena kitu kizito, mpaka hapo wanaanza kuomba POO, hawajafikiria kujibu wanapigwa tena zingine za kutosha, Israel akianza hua hamalizi mpaka usemeYep, tunasubiri Iran ajibu tena kama yeye kweli ni kidume. Technology ya Islael kwa makombola ya kutungua na kujilinda ni kubwa.
Hapa kajaribiwa tu immune system yake.