Christopher krugger
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 215
- 392
Kama Itatokea vita Iran hawezi shinda wengi wanamtamani....atakula kichapo mpaka aombe poo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NATO na Israel wapi na wapi?Israel ni mbwa koko tu wasiojiweza. Ukiwaondolea NATO hao hawawezi kupambana hata na panya road
Saaa hapa waislamu wanahusikaje , mimi ni mkristo KKT ila naona umetumia akili ndogo mno kufikiria au ni shetani kakuongoza kuandika hapacheki hii kenge msukule ya waarabu. Iran imetandikwa miji saba (7) lakini pia Iraq na Syria same time zote kimenuka kma miji zaidi ya 12. Kenge anakuja kusema mji moja. Maislamu bhana hua maongo maongo tu majinga majinga tu.
View attachment 2967882
Nadhani huu unaenda kuwa mwanzo wa vita mbaya kuwahi kutokea ulimwenguni......tuombe Mungu aepushe mbali balaa hili🤣🤣🤣🤣 asante mkuu aisee haya madhara ni makubwa sana sijui kama hili jengo wataweza kulikarabati tena.
Hapo lazima wachangikiwe kabla hawajafikiria kujibu wanapigwa tena zingine, hawajafikiria kujibu hizo wanapigwa tena zingine, kabla hawajafikiria kujibu wanapigwa tena zingine, mpaka hapo washaanza kua na magofu na Ile death count down inaanza kuandikwa, hawajafukiria kujibu wanashushiwa tena kitu kizito, mpaka hapo wanaanza kuomba POO, hawajafikiria kujibu wanapigwa tena zingine za kutosha, Israel akianza hua hamalizi mpaka usemeMnatia aibu, Israel kawapa nini mmutukuze hivo? Mtu mweusi kwa Israel ni uchafu...watu wa ajabu Sana ninyi na Imani zenu za kinaskini.
Tafadhali ndugu.....usiliweke kwenye mlango wa dini.......italeta vita ya maneno hapa jamvini.....si unajua watu walivyo na mapenzi na imani zaoninaamini mkuu kua dini ya mashetani inakwenda kutoweka na wapumbavvwao wote kupelekwa mji wa bikra 72
akijibu kwa kishindo naye anapigwa kwa kishindo mpaka ashike adabuLakini naamini kwa Iran hili litakuwa jambo kubwa Sana na lazima litajibiwa kwa kishindo
Hakuna mtu hapa anamtukuza Israel lakini tunasema ukweli dhidi ya propaganda za waarabu weusi wa Buza.Mnatia aibu, Israel kawapa nini mmutukuze hivo? Mtu mweusi kwa Israel ni uchafu...watu wa ajabu Sana ninyi na Imani zenu za kinaskini.
Hakuna WW3 ya aina hiyo. Ninyi hata M23 walipoanza uasi wai mlisema WW3 inanukia, alipokufa mwendazake mkasema hivyohivyo.Kuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
Hakuna cha vita mbaya wala nini, Iran anakwenda kuchakazwa na dunia itaiomba Israel itulize mzuka.Nadhani huu unaenda kuwa mwanzo wa vita mbaya kuwahi kutokea ulimwenguni......tuombe Mungu aepushe mbali balaa hili
Kusema kilichotokea ndio kuitukuza Israel??Mnatia aibu, Israel kawapa nini mmutukuze hivo? Mtu mweusi kwa Israel ni uchafu...watu wa ajabu Sana ninyi na Imani zenu za kinaskini.
kwa ujumbe huo iran ashike adabu na akae kimya kama hataki hiyo mitungi yake ilipuliwe, kaonywaLakini hapo zilipopigwa Iran kuna vinu vya nyuklia karibu.....huoni kwamba huo ni ujumbe mzito Kwa Tehran kujipima....???
Hakuna kukaa kinyonge, mambo ya ukipigwa shavu la kushoto uwageuzie na la kulia wao hawana.Wayahud lazima wangejibu tu hao n wazee wa jino kwa jino
Hata mimi nadhani lilikuwa shambulizi la kutuma ujumbe zaidi kuliko uharibifu.......kwa ujumbe huo iran ashike adabu na akae kimya kama hataki hiyo mitungi yake ilipuliwe, kaonywa
Israel hana muda wa kupoteza na vidroni, kapeleka ndege kapiga kutokea Iraq.Tayari Israel imejibu shambulio lililofanywa na Iran dhidi yake takriban wiki iliyopita.
Miripuko imesikiaka kwenye mji wa Isfahan ambapo Iran imekiri kutokea kwa shambulio hilo
Shirika la habari la nchi hiyo Fars limesema milipuko iliyosikika karibu na uwanja wa ndege wa Isfahan ni kutokana na droni za Israel zilizodondoshwa huko
Hakuna ka video mkuu?Tayari Israel imejibu shambulio lililofanywa na Iran dhidi yake takriban wiki iliyopita.
Miripuko imesikiaka kwenye mji wa Isfahan ambapo Iran imekiri kutokea kwa shambulio hilo
Shirika la habari la nchi hiyo Fars limesema milipuko iliyosikika karibu na uwanja wa ndege wa Isfahan ni kutokana na droni za Israel zilizodondoshwa huko