Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

wacha iwe mbaya tumemchoka iran kusaidia makundi ya kigaidi kuishambulia israel imnyuke mpaka aombe amani huyo iran
Vyovyote itakavyokuwa lakini vita hii inakwenda kuacha machungu na makovu makubwa kwa pande zote mbili
 
hata kama amerika akikaa kando israel itazichakaza nchi maadui zake kipigo cha ajabu kuliko kile cha six days war
Nyakati zimebadilika ndugu na technology imekuwa haiwezi kuwa rahisi bila ya msaada wa Baba yake wa kambo US
 
Marekani wanahangaishwa sana na mtoto wao wa kambo.........

Ningependa mdau mwenye uelewa mpana wa siasa na uchumi wa kimataifa atudadavulie kuwa Marekani anafaidika nini na Israel mpaka kuingia hasara na kuhatarisha usalama wa taifa lake kiasi hicho
Hakuna cha maana ambacho marekani anakipata kutoka israel isipokuwa kitu ambacho wengi hawakijui

Ni kwamba 60%+ ya viongozi wengi wa marekani ni waisrael au wanamchanganyiko na israel na kama unavyojua hao mabwana hata kama wanakaa mar's ukiigusa tu nchi yao lazma warudi au watoe mchango wowote.

Na hyo spirit waliipata baada ya hitler kuwaangamiza wengi so ule upweke na kutengwa kwao kuliwafanya watengeneze bond moja kubwa sana ya kupendana na kushirikiana na wengi wakasambaa dunia nzma hasa bara la ulaya.

Walipopewa nchi ya israel wachache walirudi nyumbani na wengi waliendelea kusambaa na kushika uchumi/nguvu wa nchi nyingine kwa manufaa ya israel ndo maana unakuta kwenye ile G8 viongozi wengi top leader wana asili ya israel.

Na ndo maana unakuta israel sehemu kubwa ni jangwa lakini wanauchumi mkubwa mno kushinda mataifa mengi yote hyo ni kutokana na nguvu kubwa ya source ya income kutoka nje
 
Na mshindi wa Vita hii ni nani Israel? Maana Bible inasema yoyote atakaemgusa atalia na kusaga Meno
Naogopa kuliweka hapa hili la kiimani Kwa kuwa litazalisha mjadala wa kidini na hasira za kidini........naomba tujadili hivi hivi kupitia fikra zetu na vyanzo mbali mbali
 
Naogopa kuliweka hapa hili la kiimani Kwa kuwa litazalisha mjadala wa kidini na hasira za kidini........naomba tujadili hivi hivi kupitia fikra zetu na vyanzo mbali mbali
Yoyote atakaemgusa Israel kilio chake ni kikubwa zaidi ya anavyofikiri, kwa hio Iran ali-test Israel hakopeshi, wavaa kobazi mtoa roho wanamuita Israel jiulize kwanini?
 
Kuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
Keep dreaming...US na Islael watengane. Jana tu US kapiga kura yake ya VETO kuzuia kuundwa kwa taifa la Parestina katika Umoja wa Mataifa kitu ambacho kimekuwa PIGO jipya kwa magaidi wa HAMAS.
 
Iranian state television has been reporting more details on the situation around Isfahan.

It says that at “around 12:30am GMT”, three drones were seen in the sky over Isfahan, air defence systems were activated and they “destroyed these drones in the sky”.
 
Yoyote atakaemgusa Israel kilio chake ni kikubwa zaidi ya anavyofikiri, kwa hio Iran ali-test Israel hakopeshi, wavaa kobazi mtoa roho wanamuita Israel jiulize kwanini?
Yep, tunasubiri Iran ajibu tena kama yeye kweli ni kidume. Technology ya Islael kwa makombola ya kutungua na kujilinda ni kubwa.

Hapa kajaribiwa tu immune system yake.
 
cheki hii kenge msukule ya waarabu. Iran imetandikwa miji saba (7) lakini pia Iraq na Syria same time zote kimenuka kma miji zaidi ya 12. Kenge anakuja kusema mji moja. Maislamu bhana hua maongo maongo tu majinga majinga tu.
View attachment 2967882
Hapo lazima wachangikiwe kabla hawajafikiria kujibu wanapigwa tena zingine, hawajafikiria kujibu hizo wanapigwa tena zingine, kabla hawajafikiria kujibu wanapigwa tena zingine, mpaka hapo washaanza kua na magofu na Ile death count down inaanza kuandikwa, hawajafukiria kujibu wanashushiwa tena kitu kizito, mpaka hapo wanaanza kuomba POO, hawajafikiria kujibu wanapigwa tena zingine za kutosha, Israel akianza hua hamalizi mpaka useme
 
Back
Top Bottom