George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Tufanye amerusha moja tu!Uzur Israel hajarusha mengi moja tu
Kwahiyo! Unataka kumaanisha nini yaani!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tufanye amerusha moja tu!Uzur Israel hajarusha mengi moja tu
Wakafunga safari wakaja kwako kukwambia kuwa wanakiri😂😂?Duh! kwan lile shambulizi walilofanya ni dogo? US mwenye ana kili kua km US,UK,France na Jordan wasingemsaidia kitoto chao basi lile shambulizi lingefanya uharibifu mkubwa na hivo viwanja vya majeshi yao ya ulinzi yangeharibiwa kabisa na ndege vita zote zingeka ni flying coffin! Km Ka drone tu kakirushwa toka GaZa kwenda Israel, The way Israel watakavojibu ni balaa sasa jiulize vipi ivo ndo wamejibu au
Hii statement ina ji contradict yenyewe, vita ya tatu ya dunia itatokeaje wakati umesema Amerika kakaa kando? Ili vita ya tatu itokee si lazima hao allies wa Israel na Iran wawepo vitani?
Mpira wameachiwa Iran sasaMbona hili shambulio limekanushwa asubuhi hii?
Tuoneshe picha ya hizo rada zilizopigwa kama walivyotuonesha walivyopiga ubalozi wa Iran hapo Syria.Israel wameanza kupiga Kwanza rada zilizopo Iraq na Syria huku ndege zingine zikipiga site 7 za Iran pia kulikuwa na cyber attack nchini Iran ili iwe rahisi kupiga..inaonekana mawasilianao ya kuchunguza hatari hayakufanya kazi
Israel news channel wanasema target zao zimefanikiwa Kwa 99% na Iran wanasema hakuna kilchofanyika ndani ya nchi Yao.
IRAN imekuwa mfupa mgumu kwa wakubwa wa dunia kwenye ukanda ule......na uzuri Iran anajua namna gani anachukiwa.....anachokifanya ni kuhakikisha ule ukanda unakosa utulivu ili maadui zake wapate kazi za kufanya....ndio maana anafadhili vikundi mbali mbali vya wapiganaji.......lakini inavyoonekana tayari vikundi vyake vimeanza kujulikana na ameamua kujitokeza mwenyewe hadharani kupigana.......Na Kwa huu mwendo wa piga nikupige, sioni mgogoro ukiisha kirahisi siku za karibuni.
Shida ni kwamba hao wote hakuna anaekubali kufa kinyonge.
Pili mataifa ambayo tulitegemea yahusike kwenye usuluhishi ili kutuliza hii hali na yenyewe Yana maslahi binafsi kwenye huu mgogoro. Ni kama hakuna mtu mwenye mamlaka na usafi wa kutoa muongozo kwenye hii vita.
Yeah ni ujumbe wa waz WA vita ukizingatia Israel inaongozwa na wanajeshi wasingevumiliaNadhani kusudio lake halikuwa kuharibu bali kutuma ujumbe wa alichokifanya Iran na maneno aliyosema pale UN.........
Lakini pia shambulizi hili linatuma ujumbe kuwa Israel wako tayari Kwa vita na Iran.........ukirejea kauli ya Irani kuwa Israel akijibu na wao watajibu kwa nguvu
Wewe ulimwamini Biden? 🐼Kuna kila dalili WWW3 inakwenda kuanza rasmi........na mwisho wa Israel unakaribia........kumbuka Amerika ameshasema yeye anakaa kando......
Imetandikwa kwenye ramani 🤣. Mbona shambulio la ubalozi kule Syria picha zilitolewa hapo Iran vipi?cheki hii kenge msukule ya waarabu. Iran imetandikwa miji saba (7) lakini pia Iraq na Syria same time zote kimenuka kma miji zaidi ya 12. Kenge anakuja kusema mji moja. Maislamu bhana hua maongo maongo tu majinga majinga tu.
View attachment 2967882
Tufanye amerusha moja tu!
Kwahiyo! Unataka kumaanisha nini yaani!?
Hamna kaka kwa hapa naweza sema Israel ndio muoga kwasababu kafanya shambulizi dogo na la kitoto sana,drone zilizorushwa zimetunguliwa zilikua tatu pia makombora ni idadi ndogo ukilinganisha na aliyorusha Iran.Hii vita inapiganwa kijanja na kwa kuogopana Sana
Mkuu hata mtoto wa darasa la kwanza hawezi kumuamini BIDEN.......maneno yake nilimuachia mwenyewe pale paleWewe ulimwamini Biden? 🐼
Kwani Iran alivyorusha mabomu kuipiga Israel ilikuwa ni ujumbe kuwa hataki vita ila anataka urafiki na Israel!?Namaanisha Israel kasema anataka vita hatishiii,unajua ukituma mengi unatishia mwenzako asirudie
Bado upo chini kwenye kuelewa propaganda za kivita ndugu yangu......kwa watu wenye uelewa na mambo ya kivita hapo Iran kichwa kinamuuma na kuna maswali kibao anajiuliza.........Hamna kaka kwa hapa naweza sema Israel ndio muoga kwasababu kafanya shambulizi dogo na la kitoto sana,drone zilizorushwa zimetunguliwa zilikua tatu pia makombora ni idadi ndogo ukilinganisha na aliyorusha Iran.
Inavyoonekana alilenga kushambulia ama kulipua Iran nuclear facility hapo Isfahan ila shambulio limefeli.
Israel sio Iran haiitaji Makombora 500 wala baliistic missiles 150.Hamna kaka kwa hapa naweza sema Israel ndio muoga kwasababu kafanya shambulizi dogo na la kitoto sana,drone zilizorushwa zimetunguliwa zilikua tatu pia makombora ni idadi ndogo ukilinganisha na aliyorusha Iran.
Inavyoonekana alilenga kushambulia ama kulipua Iran nuclear facility hapo Isfahan ila shambulio limefeli.
Sikuwa na maana hiyo uliofikiria, wanapaswa waingilie kwa sura ya usuluhishi.hao uliowataja ndo hawatakiwi kuingilia kwasababu wakiingia tu na wakashindwana tabia basi kitanuka na dunia itaingia matatani!..
hapo ziingie nchi ambazo hazina ukinzani tena kwa akili kubwa kwasababu mazwazwa ni mengi.