Israel yamuua Kamanda Mkuu wa operations za Hezblollah Jijini Beirut

Wazee wa kushambulia nyasi mna tuharibia UOTO wa asili nyie jamaa kwani hamjui pa kulenga shabaha?
 
Vema.Wewe endelea kujiita hivyo kwa sababu umeridhika.Usiwaite wengine hivyo.
Kuna kipi kinapungua adui akikuita jina baya, ama akutukane?

Ukichukia si ndio anakua amepata silaha ya kukupiga?

Usiruhusu maisha yako yaendeshwe na hisia.
 
Kuna kipi kinapungua adui akikuita jina baya, ama akutukane?

Ukichukia si ndio anakua amepata silaha ya kukupiga?

Usiruhusu maisha yako yaendeshwe na hisia.
Kuchukia kwa mtu si lazima akuoneshe uso wake ulivyokunjamana.Wewe elewa na uzoee kuwaita wengine kiungwana.
 
Mtu ana tetesi tangu mwaka 83 , ni mzee sana mpaka leo aliua sana wazungu .
 
Hii hadithi ya wakristo wa bunyokwa kufurahi Lebanon πŸ‡±πŸ‡§ ikipigwa na Israel inafurahisha sana , cha kushangaza Lebanon kuna wakristo wengi na ndio taifa peke mashariki ya kati wakristo wana haki sawa na waislamu.
Lebanon haina tatizo ila Hizbula na nchi ilikuwa ya wakristo dini nyingine ikaamia kwa wingi na kuzaliana kwa wingi na kuwafanyia ugaidi wazawa .
 
Vita haina ufundi ndio nafuatilia hapa naona balaa tu πŸ˜€ πŸ˜€ .....Ngoja tuone aisee maana watu wako live ....Kuua viongozi sioni kama inatija labda kuwakata spirit kabisa ila jamaa ni watu wamejitoa kabisa .

Mwisho wa siku wakipiga mahesabu wote ni loser ...Sema ushabiki wa huku ndio tatizo wanafuata itikadi za kidini .
 
Lebanon haina tatizo ila Hizbula na nchi ilikuwa ya wakristo dini nyingine ikaamia kwa wingi na kuzaliana kwa wingi na kuwafanyia ugaidi wazawa .
Acha uomgo wewe , lebanon wanaishi kwa pamoja ...Tatizo hujui chochote kwamba Asia ukristo unafutika kabisa kuanzia hapo israel .
 
Lebanon haina tatizo ila Hizbula na nchi ilikuwa ya wakristo dini nyingine ikaamia kwa wingi na kuzaliana kwa wingi na kuwafanyia ugaidi wazawa .
Ukitaka kuua mbwa mpe jina baya , hao wazayuni ndio wavamizi na magaidi kwenye nchi ya watu, fuatilia taratibu bila hisia za kidini .
 
Sema marekani wakapata habari,wakaamuru kambi yao ya kijeshi ishambulie
 
Watakuambia, "Usitupangie, vita ni mkakati"..😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…