Israel yamuua Kamanda Mkuu wa operations za Hezblollah Jijini Beirut

Nchi yoyote iliyoshirikiana na Hii Iran imekuwa failed state hili jambo linabidi lifanyiwe utafiti.

Watu wanaongea kuhusu Lebanon na Hezbollah Ila hawajui kuwa hiyo nchi uchumi wake umeanguka.

Ushia wa Iran uchunguzwe
 
Ukitaka kuua mbwa mpe jina baya , hao wazayuni ndio wavamizi na magaidi kwenye nchi ya watu, fuatilia taratibu bila hisia za kidini .
Bora useme ukweli , ukifuatilia nyuzi humu unaweza kucheka ...Utaona ushabiki maandazi , kama sisi sote ni watanzania lakini mawazo yetu yapo tofuati sio kosa kuwa upande fulani ila pia tuangalie na ukweli uko wapi .

Hii vita inapigana pale lakini naona wanaokejeliwa waislamu wengine kama ni jambo la ushabiki , kuna vita ya Russia na ukraine hawa wote ni wakristo ila Russia ni wakristo hasaa ...Lakini huoni watu wakiongelea vbaya ukristo kwa sababu Russia anaua watu wa ukraine ambao wote kiimani ni ndgu .

Zipo page za watu wanawakosoa na kuunga mkono pande moja wap na watu hao ni miongoni mwa waislamu, wakristo , hata jewish baadhi wanapiga kitendo cha israel .Tanzania ni ubishani maandazi wala hatujui chochote .


Tufike wakati tusisambaze chuki tubaki ukweli hata kama usem israel ni powerful ila hiyo vita wanagawana madhara na haijaanza leo , wengi humu ni wadogo vita wameikuta .​

Mbaya zaidi hatuna uhakika wa kihistoria kamili maana kila mtu anadai pale ni kwake . Pia. swali la kujiuliza Palestine na israel wamefikaje pale mpaka wakawa na miji yao ?
 
Umeongea ukweli kabisa mkuu ,kweli bongo sie ni mashabiki maandazi😅
 
Umeongea ukweli kabisa mkuu ,kweli bongo sie ni mashabiki maandazi😅
Unajua ukifuatilia media unaweza kushangaa sana na wtu wanachoongea huku , wajaribu kuangalia na kule ukraine watu wanavyokufa hao wote ni wakristo ila wameacha wamehamia kushambulia waislamu .

Hapo palestine wapo wakristo ten mpaka makanisa yao yamelipuliwa , hata lebanon wapo pia .
 
Sahv atakuwa..amejimilikisha Masuria 70 wenye macho kama prezdaa..nimwendo wa kasusu na mbususu no kubughuziwa ni dozi 3*3 milele Amen
 
Kwa taarifa tu, Lebanon ilikuwa nchi ya kikristu, ilivyokaribisha tu wanamgambo wa Palestina, ndio wamezaliwa Hezbollah, mengine imebaki hidtoria.
Usipoteze muda kumuelimisha huyu min -me mjinga. Mjibu mpumbavu sawa sawa na upumbavu wake.. hawa watoto shida wanajivika ujuaji mnoo mpaka unaona kero.
CHakula cha watoto usiwape mbwa, wala usitupe dhahabu yako katikati ya nguruwe
 
Hivi mnajua Insrael ana Nuke
 
Hiyo ni kawaida kutokana na jamii ya utaratibu wa kiislamu lazima idadi yao ingekuja kuwa kubwa,hata huku tuendako mataifa mengi yenye wakristo wengi yatakua na idadi kubwa zaidi ya waislamu.
FUll kujichanganya..
Kule juu unasema wakristo ndio wengi lebanon, hapa unasema wakristo ni wachache.?
Have you gone insane young chick??
 
Lebanon hapo nyuma ilikua nchi ya kikristo kabisa waislamu pale wamevamia
 
Kwa hiyo putin nae ni myahudi?
Achana na wajinga wajinga hao mkuu, hawajui lilote kuhusu uyahudi na mtawanyiko wa wayahudi.
Kwakifupi tu ni kwamba, population ya wayahud (pure jewish blood) mpaka sasa inakadiriwa kuwa above 14M. Na karibia nusu ya hao wako Nyumban Israel, karibu nusu wako USA (new york) na the rest (approximatelly around 13%) wako nchi nyingine.
Vitu kama hiv hawawez kuelewa hawa Gen Z akina min -me
 
Lebanon nchi nzuri inakwenda kuharibika sababu ya mabifu ya hesbolah (iran) na israel... walebanon halisi wenyewe ni watu wa kula goodtym na ku-vibe tu
Pia Ufaransa ana ushawishi sana Lebanon....Lakini Haya mambo yataisha lini???
 
Nchi yoyote iliyoshirikiana na Hii Iran imekuwa failed state hili jambo linabidi lifanyiwe utafiti.

Watu wanaongea kuhusu Lebanon na Hezbollah Ila hawajui kuwa hiyo nchi uchumi wake umeanguka.

Ushia wa Iran uchunguzwe
Mimi nakuambia, mpaka waje washstuke kuwa pale Iran penyewe panaendeshwa na Myahudi watakua wameshachelewa sanaaaaaa...
Ni kama vikaragisi vinavyochezeshwa gwaride bila kupenda. Myahudi ka settle pale iran kwenye inner circles zote na ndio ana influence haya maamuzi ya kipuuzi kipuuzi wanayofanya halaf wao hawashtuki, hawana akili hawa wavaa kobazi.
IMagine rais wa nchi anauawa ndani ya ardhi yake..kimyaaaa...
Jews are super intelligent ever
 
Sema marekani wakapata habari,wakaamuru kambi yao ya kijeshi ishambulie

Mkuu iwe Marekani iwe Israel la msingi huyo gaidi kashambuliwa na kuuwa.....mbona hujiulizi Balozi wa Iran kapofushwa jicho na Pager, balozi mzima na Pager! Wapi na wapi.....Bila oxygen ya Iran hata Hezbolah wasingekua hapo...! Houth wasingekuwa hapo.....Kila mtu ana washirika wake Mkuu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…