Israel yamuua Kamanda Mkuu wa operations za Hezblollah Jijini Beirut

Ila tukubali tukatae Lebanon kuna wakristo karibu nusu ya raia wote ,pia madhara ya kivita yanawapata wote .
Kwenye Lebanese civil war iliyopita Israel iliwasaidia Wanamgambo wa Kikristo na sasa huenda ikawasaidia ili kuyaondoa Magaidi ya Hezbola na kupunguza nguvu zao wanazozipata kutoka kwenye Islamic Government ya Iran.

Huenda tukashuhudia Lebanon Civil war part 2.
 
Unajisikiaje unapo mpiga mtu bit alafu ndio anakupa kichapo kitakatifu...
 
This year uwenda wakamuindoa just speculation
 
Mambo ya Israel kuhusu ukaribu wao na wakristo ukiacha historia yao kuhusu chimbuko la ukristo na siasa, ila hakuna nchi wakristo wanadharaulika mashariki yakati kama Israel
 
Eti Ndugu Ibrahim Aqil 🙂
 
Mambo ya Israel kuhusu ukaribu wao na wakristo ukiacha historia yao kuhusu chimbuko la ukristo na siasa, ila hakuna nchi wakristo wanadharaulika mashariki yakati kama Israel
Dini+hulka ya Mwanaamu ya "Us and them" kwa mfano Nchi za Kishia kama Iran nk. Sunni wanadharaulika sana kama taka taka na hivyo hivyo Nchi za Kisunni Shia wanaitwa kuwa ni Makafiri maadui wa Allah na hao ni Waisilamu imagine.

Radicalism na Extremism ziko pande zote za Dini.
 
Dah!...hii ndio inaitwa 'escalation'.
 
Hii hadithi ya wakristo wa bunyokwa kufurahi Lebanon 🇱🇧 ikipigwa na Israel inafurahisha sana , cha kushangaza Lebanon kuna wakristo wengi na ndio taifa peke mashariki ya kati wakristo wana haki sawa na waislamu.
Who told you so??

Wakristo haohao unaosema wana haki sawa na waislamu wanahama nchi yao na kwa sababu ya makosa waliyofanya ya kukubali kupokea waislamu, sasa hivi hawana amani, Islamization of Lebanon is very pitiful, they had peace, now they have nothing.



Hiki kitabu cha huyu mwanamama mlebanon aliyehamia USA kinakupinga, experience aliyopitia yeye ni tofauti na alichosema wewe hapo.
 
Imeshindwaje kumlenga Jemedari wao Nasrala ili ugomvi ufikie mwisho,
?
Wanajua alipo ila lengo sio kumuua, lengo ni Lebanon ifanywe kama iilivyo Gaza.

Hassan Nasrallah lives in an underground facility equipped with all sports facilities, recreation, emergency electricity and drinking water at a depth of about 60 meters from the ground in southern Lebanon, with 3 car exits leaving the ground at a distance of 2 kilometers.

In different directions on its face is a dense apartment complex of Hezbollah members and their families, which is considered a kind of human shield for his hiding place. Israel's attacks in recent times are designed to cause the people living in the human shield layer of Nasrallah's hideout to flee, so that they will find him in the next step and hunt down the Niyya in the middle of Tehran to Nasrallah will not dare to flee to Tehran to seek refuge there. Hassan Nasrallah was not injured in the explosion of the radios, but several of his associates from the closed circle were seriously injured, the organization received a fatal blow , and Israel has not yet activated its master plan: the goal was to protect the northern settlements
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…