Israel yamuua Kamanda Mkuu wa operations za Hezblollah Jijini Beirut

Mmoja mmoja ndio mpango subiri wazike mwengine atafuata
 
Ila tukubali tukatae Lebanon kuna wakristo karibu nusu ya raia wote ,pia madhara ya kivita yanawapata wote .
Hii sio vita ya kidini mkuu,halafu israeli dini kuu ni uyahudi kwahiyo mambo ya ukristo wao hawana habari nayo
 
Lebanon wasipokuwa makini, beirut itabadilika na kuwa kama Gaza..
Myahudi anahakikisha anakuvuruga...

Naogopa sana.
Namkumbuka Benjamin Netanyahuh baada ya shambulizi la 7.10.2023, alisema wao wanapigana kulinda nchi na ardhi yao, na maadui ( waarabu) wanapigana kuhakikisha wanaondoka hapo walipo. Anqyepambana kukutoa kwako uta deal naye kwa hasira zote, na gharama zozote
 
Hizi wiki 4 zimekuwa mbaya sana kwa Hezbollah na washirika wake, naona Israel kasema liwalo na liwe
 
Inasemekana kuwa makamanda zaidi ya 20 wameuawa pamoja naye kwa kutumia mabomu 4
 
Bado Seyyid Nasrallah. Kupigana na Jews People inahitaji uwe na akili kama za nyumbu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…