Israel yapiga kura na kukubali kusitisha mapigo kwa siku tano ili HAMAS waachie mateka 50

Ngoja tuone hizo siku 5 zikiisha ila naona deal kama linawavimbisha vichwa zaid Hamas.
Kipindi mnaambiwa kuwa vita sio kucheza sindimba si mlikuwa mnajifanya vichwa ngumu.
 
Kakubali masharti yote ya Hamasi

1 Hakuna kurusha ndege zake

2 Awachie kila kitu kingie Gaza chakula, mafuta, dawa, yani kila kitu 😄

3 vifaru vyao visitingishike

4 marekwa 150 kwa 50

5 ndege zao ziruke North Gaza only kwa saa sita sio South

6 Asimguse Mpalestine yoyote yule katika hizo siku 4 akimgusa Hamasi anawachapa

Hi aibu mtaificha wapi taifa la kishoga
😂 Migambo wa Israel JF kila mmoja anaropoka kivyake.
 
Wanasiasa bhana....wamepigana mpaka watu 12000 wamekufa ndio wanatafuta njia ya kumaliza Vita Tena kwa muda tu.

Hao sio wansiasa wa kawaida, ni Wayahudi ambao dini imetoa maagizo wauawe wote.....hivyo lazima wajilinde

sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
 
Katandikwa October 7,,,,,kaamrishwa asitishe mapigano misaada iende Gaza,,,,kaambiwa aachie mateka, Israel inatekeleza matakwa ya Hamas.

Hamas wapewe maua Yao.
Ila wanamumyamungu mna ushabiki wa kipumbavu sana aisee
 
HAMAS wameachiwa unafuu wa mapumziko ya kipigo kwa siku nne, nayo itaachia mateka 50 wa Israel na imeambiwa itaongezewa siku moja kwa kila ikiachia mateka kumi kwa siku, ila baada ya hapo kipondo kitaendelea, na pia hamna cha wafungwa kuachiwa kutoka kwa Israel.

Pia haijaelezwa mateka wasio raia wa Israel vipi hatima yao, humo kuna Mtanzania, labda kila nchi ipambane kutetea wa kwao.

===========

Israel believes Hamas could potentially locate some 30 more mothers and children and that the 4-day halt could be extended by extra day per each 10 Israeli hostages freed

In an unprecedented vote early Wednesday morning, Israel’s cabinet approved an agreement to secure the release of roughly 50 hostages who were abducted into Gaza during the October 7 terror onslaught.

A government statement announcing the result of the vote did not specify how ministers voted. Despite expressing earlier opposition to the agreement, the far-right Religious Zionism party voted in favor, with only members of National Security Minister Itamar Ben Gvir’s ultranationalist Otzma Yehudit faction voting against, according to Hebrew media.

Not all details of the agreement have been formally released to the public, but an Israeli government official briefing reporters on Tuesday said the deal is expected to see the release of 50 living Israeli citizens, mostly women and children, in groups of 12-13 people per day.

Times of Israel
Hii ni baada ya
1.gaza kugeuzwa magofu,
2.wapalestina around 12,000 kufyekelewa mbali.
3.wapalestina kibao kufurushwa kwenye makazi yao na hivyo wamekuwa wakimbizi na hawana pa kurudi
4.gaza kuwa chini ya udhibiti mkamilifu wa wayahudi na hakuna mpango wa kuwarudishia panyarodi hamas
5.wapalestina kukosa huduma za kibinadamu kiasi cha wanawake wa kipalestina kushindwa kupata hata maji kidogo tu ya kujisafisha uchafu wa hedhi.
6. vifaa vya kijeshi/miundo mbinu ya kijeshi ya vipanyarodi vya hamas kuteketezwa na wayahudi.
 
hongereni sn idf mzidishieni moto mwarab ...netanyahu ameshasema lile eneo litabaki tambararee
 
Hii ni baada ya
1.gaza kugeuzwa magofu,
2.wapalestina around 12,000 kufyekelewa mbali.
3.wapalestina kibao kufurushwa kwenye makazi yao na hivyo wamekuwa wakimbizi na hawana pa kurudi
4.gaza kuwa chini ya udhibiti mkamilifu wa wayahudi na hakuna mpango wa kuwarudishia panyarodi hamas
5.wapalestina kukosa huduma za kibinadamu kiasi cha wanawake wa kipalestina kushindwa kupata hata maji kidogo tu ya kujisafisha uchafu wa hedhi.
6. vifaa vya kijeshi/miundo mbinu ya kijeshi ya vipanyarodi vya hamas kuteketezwa na wayahudi.
dogo magazeti ya Israel yanasema wanacho ongea Israel akisema 4 basi piga mara nne.

Sa Israel kasema watu wake 3865 wamekufa sa watakuwa wangapi 😄

Majumba walio vunja Hamasi pia ni mengi huko Israel

Sa siwalijidai hakuna kusimamisha vita ilikuwaje tena 😄
 
Kwa ufupi israel kashindwa kuwaokoa mateka wake zile movie zinadanganya sana ,kakubali matakwa ya hamas ya kuwaachia wafungwa 150 israel and netanyahu have failed miserably
HAMAS wameachiwa unafuu wa mapumziko ya kipigo kwa siku nne, nayo itaachia mateka 50 wa Israel na imeambiwa itaongezewa siku moja kwa kila ikiachia mateka kumi kwa siku, ila baada ya hapo kipondo kitaendelea, na pia hamna cha wafungwa kuachiwa kutoka kwa Israel.

Pia haijaelezwa mateka wasio raia wa Israel vipi hatima yao, humo kuna Mtanzania, labda kila nchi ipambane kutetea wa kwao.

===========

Israel believes Hamas could potentially locate some 30 more mothers and children and that the 4-day halt could be extended by extra day per each 10 Israeli hostages freed

In an unprecedented vote early Wednesday morning, Israel’s cabinet approved an agreement to secure the release of roughly 50 hostages who were abducted into Gaza during the October 7 terror onslaught.

A government statement announcing the result of the vote did not specify how ministers voted. Despite expressing earlier opposition to the agreement, the far-right Religious Zionism party voted in favor, with only members of National Security Minister Itamar Ben Gvir’s ultranationalist Otzma Yehudit faction voting against, according to Hebrew media.

Not all details of the agreement have been formally released to the public, but an Israeli government official briefing reporters on Tuesday said the deal is expected to see the release of 50 living Israeli citizens, mostly women and children, in groups of 12-13 people per day.

Times of Israel
 
HAMAS wameachiwa unafuu wa mapumziko ya kipigo kwa siku nne, nayo itaachia mateka 50 wa Israel na imeambiwa itaongezewa siku moja kwa kila ikiachia mateka kumi kwa siku, ila baada ya hapo kipondo kitaendelea, na pia hamna cha wafungwa kuachiwa kutoka kwa Israel.

Pia haijaelezwa mateka wasio raia wa Israel vipi hatima yao, humo kuna Mtanzania, labda kila nchi ipambane kutetea wa kwao.

===========

Israel believes Hamas could potentially locate some 30 more mothers and children and that the 4-day halt could be extended by extra day per each 10 Israeli hostages freed

In an unprecedented vote early Wednesday morning, Israel’s cabinet approved an agreement to secure the release of roughly 50 hostages who were abducted into Gaza during the October 7 terror onslaught.

A government statement announcing the result of the vote did not specify how ministers voted. Despite expressing earlier opposition to the agreement, the far-right Religious Zionism party voted in favor, with only members of National Security Minister Itamar Ben Gvir’s ultranationalist Otzma Yehudit faction voting against, according to Hebrew media.

Not all details of the agreement have been formally released to the public, but an Israeli government official briefing reporters on Tuesday said the deal is expected to see the release of 50 living Israeli citizens, mostly women and children, in groups of 12-13 people per day.

Times of Israel
Si mmesema gaza imeashaanda kwa hiyo mmeshindwa kuwaokoa hawa mateka
 
haijaelezwa mateka wasio raia wa Israel vipi hatima yao, humo kuna Mtanzania, labda kila nchi ipambane kutetea wa kwao.[emoji3064][emoji3064][emoji2827][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa pro Israel ila kwa hili Hamas kashinda
Na hata idadi ya vifo inayoripoti Israel wanapunguza sifuri so raia pia wamechoka vita,,, hii ni piga nikupige si Hamas pekee wanaopigwa ila kuna propaganda nyingi juu ya idadi rasmi ya vifo vya Israel
 
dogo magazeti ya Israel yanasema wanacho ongea Israel akisema 4 basi piga mara nne.

Sa Israel kasema watu wake 3865 wamekufa sa watakuwa wangapi 😄

Majumba walio vunja Hamasi pia ni mengi huko Israel

Sa siwalijidai hakuna kusimamisha vita ilikuwaje tena 😄
Kwa mujibu wa media yenu pendwa ya kiarabu kiislamu aljazeera wapalestina 14,100 wameshauwawa na jeshi la Israel.
 
haijaelezwa mateka wasio raia wa Israel vipi hatima yao, humo kuna Mtanzania, labda kila nchi ipambane kutetea wa kwao.[emoji3064][emoji3064][emoji2827][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mbongo bora apelekwe akasafishe vyoo sasa pale Masjid wa Al Aqsa alienda fanya nini kwenye camp za jeshi la Israel? Afu mnasema alienda kusoma au alikuwa mpishi wa jeshi la Israel
 
Kwa mujibu wa media yenu pendwa ya kiarabu kiislamu aljazeera wapalestina 14,100 wameshauwawa na jeshi la Israel.
Waulize wa Israel watakuambia wao wamekufa kuliko 15,000 sio fox news uliza gazeti la Israel na baadhi ya TV za Israel ndio wanasema ukweli
 
Kwa mujibu wa media yenu pendwa ya kiarabu kiislamu aljazeera wapalestina 14,100 wameshauwawa na jeshi la Israel.
Kama kuuwa watu hovyo ndo kushinda mbona mpaka sasa huo ushindi hawajaupata wapo gaza wanajinyeanyea tu?
Hivi hapa duniani kuna jeshi lisilo weza kuuwa watu ?
Kwani hata JWTZ wakiamuwa kuingia jijini dar na kuanza kurusha hovyo mabomu kutoka angani,mizinga,kupiga risasi siwanaweza kuliangamiza jiji zima ndani ya wiki tu?

Jeshi bora na lenye weledi linapo enda vitani huwa linaenda kutimiza kitu kilicho wapeleka vitani na sio kuuwa watu hovyo na kubomoa majengo maana hizo ni sifa za kichaa.
Sasa wao wametumwa kuiangamiza hamas na kukomboa mateka lakini cha kushangaza wao wanaenda kuvamia hospital na kuuwa vichanga na wanawake.
 
HAMAS wameachiwa unafuu wa mapumziko ya kipigo kwa siku nne, nayo itaachia mateka 50 wa Israel na imeambiwa itaongezewa siku moja kwa kila ikiachia mateka kumi kwa siku, ila baada ya hapo kipondo kitaendelea, na pia hamna cha wafungwa kuachiwa kutoka kwa Israel.

Pia haijaelezwa mateka wasio raia wa Israel vipi hatima yao, humo kuna Mtanzania, labda kila nchi ipambane kutetea wa kwao.

===========

Israel believes Hamas could potentially locate some 30 more mothers and children and that the 4-day halt could be extended by extra day per each 10 Israeli hostages freed

In an unprecedented vote early Wednesday morning, Israel’s cabinet approved an agreement to secure the release of roughly 50 hostages who were abducted into Gaza during the October 7 terror onslaught.

A government statement announcing the result of the vote did not specify how ministers voted. Despite expressing earlier opposition to the agreement, the far-right Religious Zionism party voted in favor, with only members of National Security Minister Itamar Ben Gvir’s ultranationalist Otzma Yehudit faction voting against, according to Hebrew media.

Not all details of the agreement have been formally released to the public, but an Israeli government official briefing reporters on Tuesday said the deal is expected to see the release of 50 living Israeli citizens, mostly women and children, in groups of 12-13 people per day.

Times of Israel
Kipondo chenu hamsemi
Screenshot_20231122-233747.jpg
 
Kwa ufupi israel kashindwa kuwaokoa mateka wake zile movie zinadanganya sana ,kakubali matakwa ya hamas ya kuwaachia wafungwa 150 israel and netanyahu have failed miserably

Dhumuni kuu sio kuokoa mateka ila kuisambaratisha Gaza na kuwapa mazombi ya dini yenu elimu ya kutowashobokea Israel siku nyingine.
In fact nashangaa bado kuna mateka wako hai.
 
Back
Top Bottom