Israel yapiga kura na kukubali kusitisha mapigo kwa siku tano ili HAMAS waachie mateka 50

Ngoja tuone hizo siku 5 zikiisha ila naona deal kama linawavimbisha vichwa zaid Hamas.
Itakuwa ni mtego huo. Israel inataka waachiwe mateka wao 50 then baada ya hapo inalianzisha tena. Na wao wakishawaachia mateka wa Kipalestina ninavyowajua Wayahudi watahakikisha wanawafuatilia na kuwamaliza.

Narudia kusema HUU NI MTEGO
 
🤣🤣🤣
 
Unatumia Infinix [emoji23]

Muisrael mweusi wa Makete kakasirika
Israel uwezo wa kuifuta Gaza alikuwa nao na Hamas wangetorokea misri, Jordan,syria, Lebanon ila kelele za jumuia ya watu wanaojifanya haki za binadamu zili zidi kwa kuwa Hamas walijua kuwatumia watoto na wazee vilivyo kama ngao na kutafuta huruma ya kimataifa

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
wewe punguani kweli wanawatumia kama ngao kwa hiyo mabomu yakirushwa yanachagua Watoto na Wazee yanawaacha Hamas? Hivi huko shule mlikuwa mnaenda kusoma ujinga? Nchi gani ambayo imefungua mipaka yake na Palestina?
 
Dhumuni kuu sio kuokoa mateka ila kuisambaratisha Gaza na kuwapa mazombi ya dini yenu elimu ya kutowashobokea Israel siku nyingine.
In fact nashangaa bado kuna mateka wako hai.
waliokaa kwenye meza ya majadiliano wana experience na mambo haya sio kama wewe, hadi wameingia makubaliano hayo hayo yote wameshajiridhisha, the only worry ni kwamba israel kashindwa kujua kwa miezi miwili mateka wapo wapi anaweza akatumia mtego huu kutaka kujua walipo au kuona wanatokea wapi ili aende kuwaokoa ili kuithibitishia dunia kwamba imtelligence yake ipo imara maana so far kwa mzozo huu imeprove failure na ngumu kuaminiwa tena
 
Wamesambaratisha majengo 56,000 na kuua mazombi yenu zaidi ya 15,000 ndani ya muda mfupi huo, na bado wameapa kuendelea, hilo ni fundisho tosha mtemane na Wayahudi, muendelee shobo zenu kwa Wakristo ila muepuke shobo kwa Wayahudi, Wachina, Warusi hizo ni baadhi ya jamii zinazofahamika kupiga waislamu hadi wanakaa LIVE - Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS
 
wewe punguani kweli wanawatumia kama ngao kwa hiyo mabomu yakirushwa yanachagua Watoto na Wazee yanawaacha Hamas? Hivi huko shule mlikuwa mnaenda kusoma ujinga? Nchi gani ambayo imefungua mipaka yake na Palestina?
Sasa hizo tunnels Hamas huko shuleni,misikitini na hospital zilikuwa za nini Sasa na silaha zinahifadhiwa misikitini

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Wamesambaratisha majengo 56,000 na kuua mazombi yenu zaidi ya 15,000 ndani ya muda mfupi huo, na bado wameapa kuendelea, hilo ni fundisho tosha mtemane na Wayahudi, muendelee shobo zenu kwa Wakristo ila muepuke shobo kwa Wayahudi, Wachina, Warusi hizo ni baadhi ya jamii zinazofahamika kupiga waislamu hadi wanakaa LIVE - Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS
At the end they lost the war hayo majengo yatajengwa ndani ya muda mfupi kama ilivyojengwa dubai,hamas wamekuwepo na wataendelea kuwepo, na ni aibu kubwa israel kaipata kushindwa kuwaokoa mateka kwa miezi miwili hadi kukaa mezani na hamas kubadilishana wafungwa
 
Wanasiasa bhana....wamepigana mpaka watu 12000 wamekufa ndio wanatafuta njia ya kumaliza Vita Tena kwa muda tu.
Wanasiasa wapuuzi sana, kitu pekee wanachokijali kwa uhakika ni usalama wao na familia zao. Mliobaki hata mfe kwa halaiki wao wanapata usingizi mzuri sana tu.

Huu ujinga ulifanya nikatae fursa ya kujiunga na jeshi, siku inatokea ccm wameshiba biriani, wamechoka kunywa damu za wapinzani na walalahoi wa bongo wanataka waonje damu za kimataifa, au wamelikoroga humuhumu ndani eti mimi ndo niende nikarisk uhai wangu na wa wapendwa wangu kupigania ccm kwa jina la uzalendo! Upuuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
At the end they lost the war hayo majengo yatajengwa ndani ya muda mfupi kama ilivyojengwa dubai,hamas wamekuwepo na wataendelea kuwepo, na ni aibu kubwa israel kaipata kushindwa kuwaokoa mateka kwa miezi miwili hadi kukaa mezani na hamas kubadilishana wafungwa

hehehe huwa mnaaminishana pumba sana mpaka nacheka tu na mikanzu yenu hiyo, yaani sitotaka nijikute kwenye ugomvi na Israel, sio kwa kilichofanywa pale Gaza, waerudishwa nyuma zaidi ya miaka kumi, halafu kichapo bado kiko pale pale, sijui mwisho wake, mtaisha sana.
Siku nyingine msifanye shobo kwa Wayahudi, yafanyeni kwa Wakristo ila kaa mbali na Wayahudi, Wachina na Warusi, hawana huruma wale.
 
Mwisho wa siku unaomba kukaa mezani na hao magaidi kama sio uboya nini? Hakuna taifa la kiarabu lenye shida ya hela gaza itajengwa kwa dakika sifuri ila aibu aliyopata israel haitikuja kufutika kwenye historia
 
HAMAS wameachiwa unafuu wa mapumziko ya kipigo kwa siku nne, nayo itaachia mateka 50 wa Israel na imeambiwa itaongezewa siku moja kwa kila ikiachia mateka kumi kwa siku, ila baada ya hapo kipondo kitaendelea, na pia hamna cha wafungwa kuachiwa kutoka kwa Israel.

Pia haijaelezwa mateka wasio raia wa Israel vipi hatima yao, humo kuna Mtanzania, labda kila nchi ipambane kutetea wa kwao.

===========

Israel believes Hamas could potentially locate some 30 more mothers and children and that the 4-day halt could be extended by extra day per each 10 Israeli hostages freed

In an unprecedented vote early Wednesday morning, Israel’s cabinet approved an agreement to secure the release of roughly 50 hostages who were abducted into Gaza during the October 7 terror onslaught.

A government statement announcing the result of the vote did not specify how ministers voted. Despite expressing earlier opposition to the agreement, the far-right Religious Zionism party voted in favor, with only members of National Security Minister Itamar Ben Gvir’s ultranationalist Otzma Yehudit faction voting against, according to Hebrew media.

Not all details of the agreement have been formally released to the public, but an Israeli government official briefing reporters on Tuesday said the deal is expected to see the release of 50 living Israeli citizens, mostly women and children, in groups of 12-13 people per day.

Times of Israel
Israel imeamua kuwacha hao raia wa mataifa ambayo wanajidai kuwapenda hamas
 
Katandikwa October 7,,,,,kaamrishwa asitishe mapigano misaada iende Gaza,,,,kaambiwa aachie mateka, Israel inatekeleza matakwa ya Hamas.

Hamas wapewe maua Yao.
ndo furaha iliyobakia ?
 
Mwisho wa siku unaomba kukaa mezani na hao magaidi kama sio uboya nini? Hakuna taifa la kiarabu lenye shida ya hela gaza itajengwa kwa dakika sifuri ila aibu aliyopata israel haitikuja kufutika kwenye historia

Israel wamekubali kuwapa hizo siku nne baada ya makelele ya dunia, kwamba watoto wenu walikua wanakosa chakula, maji na madawa na hii ilikua inasababisha chuki dhidi ya Israel, hivyo pumzikeni hizo siku nne, ila kipodo kitarudi pale pale na raundi hii hata yule huwa mnaita akbar akbar hatawasaidia kitu maana Mungu wa Israel ni mkuu kuzidi wenu muarabu ambaye huongozwa na chuki za kigaidi.
 
Kijana acha upofu mungu ni mmoja na ni wa wote umeshalishwa matango pori na hao waisrael waongo waongo ambao wameshindwa kuwaokoa ndugu zao kutoka kwa mgambo kwa miezi miwili hadi kukubali kukaa mezani nao ili ndugu zao waachiwe
 
Mnayemuabudu ni nyie mnamjua tu maana amejawa na maukatili anapenda mambo ya ngono sana, mara mabikira 72 mara pombe, maupumbavu ya hovyo, kuna sehemu nilisoma eti aliumba binadamu kwa kutumia manii yaani sperms, alizitoa wapi kapiga nyeto au vipi, ukizingatia huyo mohammed alikua anagegeda katoto ka miaka 9 huku akifanya mauchafu kama haya
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245:
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
 
Achana na story za kusadikika mnazojitungia na wazungu wenu quran ndio muongozo wa waislamu haujawahi kubadilika na hautobadilika na waliojaribu kuubadilisha na kuutafuta kasoro waliishia kubadili dini, na kuhusu qurN niletee binaadamu yoyote ukiwemo weww mwenyewe aliyeumbwa bila ya manii tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom