Israel yapoteza Wanajeshi wake 350 ndani ya siku mbili

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Video hiyo inaonyesha jeshi la Israel likikimbia na kupoteza wanajeshi wake wengi kutoka maeneo ya Gaza baada ya kupata uharibifu mkubwa wa rasilimali zao za mapigano, huku vifaru na magari ya kivita yakiharibiwa na wapiganaji wa Palestina.

Licha ya kuingia katika maeneo mengi katika eneo la Gaza, vikosi vya Israel mpaka sasa bado havijapata ushindi wowote mkubwa zaidi ya kuuwa wagonjwa na watoto mahospitalini.


View: https://youtu.be/HaKn878izls?si=H1lI6dSB8xIzGEEC
 
No cease-fire. Lazima tuwamalize Wazayuni.
 
Mpaka sasa idadi ya waisraeli waliokufa toka October,7th ni 10% ya idadi ya magaidi na familia zao waliouwawa huko Gaza.Sababu kubwa ya familia za magaidi wakiwemo wanawake na watoto kuuwawa ni kuwa eneo la vita pamoja na ndugu zao magaidi(Hamasi).Walionywa waondoke lakini wamekaidi ili kupata huruma za dunia πŸ™„
 
Hii Taarifa na video husika mbona vinaacha maswali mengi bila majibu? Kwa mfano;
1. Maeneo ya Gaza hayana majina? i.e. Taja mtaa,kijiji, Mji au .....kwa sababu hata Kusini bado ni Gaza ile ile.
2.Vifaru na magari ya kivita sio Raslimali za mapigano? Chanzo cha Taarifa hii ni kipi?
3. Mbona safari hii hatajwi gaidi HAMAS ila anayetajwa ni Palestina?
4. Ushindi mkubwa unatakiwa uweje ndo uitwe ni ushindi mkubwa? i.e. huwa ni wa kiwango gani?
5. Mbona HAMAS ndiye anayewalengesha wagonjwa na watoto kwenye mapigano i.e. anawatumia kama ngao kujikinga dhidi ya kichapo kutoka kwa IDF na Hospitali + Mshule HAMAS kavigeuza kuwa ngome zake?
BTW:
IDF nawashauri msiangalie makunyanzi wala kusikiliza makelele ya magaidi.
Nyie IDF kazi yenu ni moja tuu; Twanga magaidi hadi watwangike bara'bara. Maswali ni baadaye.
 
Bibi Tarabushi unaweza kuja huku kujibu hizi hoja? FaizaFoxy
 
FAIZA MY LOV UPO😍😍😍😍
 
Hamasi wana nguvu sana.
 
Watu wamefika mpaka al shifa,ndanindani gaza,mara ghafla madege yanaanza kubomoa tena majumba...ni dhahiri hali mbaya,maana yake hamas wanatokea kila pande so solution ni kukimbia na kutumia ndege kupiga hilo eneo
 
Tusubiri Gaza itarudi kwa PA.......Hamas tupa kule itabakia mioyoni tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…