Israel yapoteza Wanajeshi wake 350 ndani ya siku mbili

Screenshot_20231118_173036_Instagram.jpg
 
Idadi ya watoto wa kiume walio pigwa mabomu hao ndo wangekuwa khamas wa kesho.
Yah huu ni ushindi Kwa is real
Na kimsingi ghorofa na nyumba nyingi Gaza Centre ni za Hamas, ndiyo wenye nguvu kwani wanaongoza eneo la Paslestina. Ni kama kulinganisha Msasani na Viongozi w CCM
 
Video hiyo inaonyesha jeshi la Israel likikimbia na kupoteza wanajeshi wake wengi kutoka maeneo ya Gaza baada ya kupata uharibifu mkubwa wa rasilimali zao za mapigano, huku vifaru na magari ya kivita yakiharibiwa na wapiganaji wa Palestina. Licha ya kuingia katika maeneo mengi katika eneo la Gaza, vikosi vya Israel mpaka sasa bado havijapata ushindi wowote mkubwa zaidi ya kuuwa wagonjwa na watoto mahospitalini.

View: https://youtu.be/HaKn878izls?si=H1lI6dSB8xIzGEEC

Biden: Kutakuwa hakuna tena Hamas Milele
 
Mpaka sasa idadi ya waisraeli waliokufa toka October,7th ni 10% ya idadi ya magaidi na familia zao waliouwawa huko Gaza.Sababu kubwa ya familia za magaidi wakiwemo wanawake na watoto kuuwawa ni kuwa eneo la vita pamoja na ndugu zao magaidi(Hamasi).Walionywa waondoke lakini wamekaidi ili kupata huruma za dunia 🙄
Mazayuni wameingizwa kichwa kichwa, sasa tazama kimbembe wanachoshushiwa mitaani:

View: https://youtu.be/L-apt6xhElw?si=hQnEOp7lSd_DpiKe
 
Unajifariji tu hapa JF.
Kiuhalisia dunia yote inajua Hamas kwa sasa imepoteza udhibiti wa maeneo yote ya Gaza, haijulikani hata wako wapi, wamekufa au kukimbia wote.
Kila siku Israel ina tangaza wanajeshi wake kuuawa, leo tu wametangaza 10 kwenye mapambano sasa hamas kama wamekimbia na hawajulikani wako wapi hao wanao pambana na wanajeshi wa Israel ni majini au?
 
Wakatwekatwe vipande iwe chakula ya nguruwe
 
Video hiyo inaonyesha jeshi la Israel likikimbia na kupoteza wanajeshi wake wengi kutoka maeneo ya Gaza baada ya kupata uharibifu mkubwa wa rasilimali zao za mapigano, huku vifaru na magari ya kivita yakiharibiwa na wapiganaji wa Palestina. Licha ya kuingia katika maeneo mengi katika eneo la Gaza, vikosi vya Israel mpaka sasa bado havijapata ushindi wowote mkubwa zaidi ya kuuwa wagonjwa na watoto mahospitalini.

View: https://youtu.be/HaKn878izls?si=H1lI6dSB8xIzGEEC

Kiarabu ni kiarabu tu mpaka raha kumsikiliza anavyo ongea 😍

Hao Israel vita ya chini hawawezi hata kidogo, na watakufa sana
 
Video hiyo inaonyesha jeshi la Israel likikimbia na kupoteza wanajeshi wake wengi kutoka maeneo ya Gaza baada ya kupata uharibifu mkubwa wa rasilimali zao za mapigano, huku vifaru na magari ya kivita yakiharibiwa na wapiganaji wa Palestina. Licha ya kuingia katika maeneo mengi katika eneo la Gaza, vikosi vya Israel mpaka sasa bado havijapata ushindi wowote mkubwa zaidi ya kuuwa wagonjwa na watoto mahospitalini.

View: https://youtu.be/HaKn878izls?si=H1lI6dSB8xIzGEEC

Maamuma katika ubora wako. Tena ninyi hata ahadi za mudy hamna maana wenzenu wanawahi mabikra 72 na mito ya ulevi huko Jannah ninyi bila bila.
 
Back
Top Bottom