Israel yapoteza Wanajeshi wake 350 ndani ya siku mbili

Kwa iyo mnataka kusema Izrael inauwa wagonjwa na sio Hamas Soldiers eeh.?
 
Hii Taarifa na video husika mbona vinaacha maswali mengi bila majibu? Kwa mfano;
1. Maeneo ya Gaza hayana majina? i.e. Taja mtaa,kijiji, Mji au .....kwa sababu hata Kusini bado ni Gaza ile ile.
2.Vifaru na magari ya kivita sio Raslimali za mapigano? Chanzo cha Taarifa hii ni kipi?
3. Mbona safari hii hatajwi gaidi HAMAS ila anayetajwa ni Palestina?
4. Ushindi mkubwa unatakiwa uweje ndo uitwe ni ushindi mkubwa? i.e. huwa ni wa kiwango gani?
5. Mbona HAMAS ndiye anayewalengesha wagonjwa na watoto kwenye mapigano i.e. anawatumia kama ngao kujikinga dhidi ya kichapo kutoka kwa IDF na Hospitali + Mshule HAMAS kavigeuza kuwa ngome zake?
BTW:
IDF nawashauri msiangalie makunyanzi wala kusikiliza makelele ya magaidi.
Nyie IDF kazi yenu ni moja tuu; Twanga magaidi hadi watwangike bara'bara. Maswali ni baadaye.
1. Blah blah blah
 
Video hiyo inaonyesha jeshi la Israel likikimbia na kupoteza wanajeshi wake wengi kutoka maeneo ya Gaza baada ya kupata uharibifu mkubwa wa rasilimali zao za mapigano, huku vifaru na magari ya kivita yakiharibiwa na wapiganaji wa Palestina. Licha ya kuingia katika maeneo mengi katika eneo la Gaza, vikosi vya Israel mpaka sasa bado havijapata ushindi wowote mkubwa zaidi ya kuuwa wagonjwa na watoto mahospitalini.

View: https://youtu.be/HaKn878izls?si=H1lI6dSB8xIzGEEC

Siyo kweli. Hii video nimeiona kitambo sana. In actual sense, magari mengi na vifaru viliingizwa gaza kati kama mbinu ya kuwatoa Hamas waliko. Vifaru vingi ni robotic. Ujinga wa Hamas wakaingia kingi. Wanachomoka wanapiga kifaru kinaendeshwa na roboti na kurudi kwenye migorofa huku satelite za Wazayuni zikinasa. Wameshushuwa kipondo ndani ya magorofa na familia zao. Wanajeshi wa Israel waliokufa wengi ni wale snipers ambao lazima watembee na kukabiliana ana kwa ana.
Faizy, wake up. Video nyingi za Hamas ni za mchongo za kubembeleza wakubwa zao watoe zaidi.
 
Yeye Bibi Tashbura FaizaFoxy hawaiti Hamas anawaita Palestina 🤪
 
Siyo kweli. Hii video nimeiona kitambo sana. In actual sense, magari mengi na vifaru viliingizwa gaza kati kama mbinu ya kuwatoa Hamas waliko. Vifaru vingi ni robotic. Ujinga wa Hamas wakaingia kingi. Wanachomoka wanapiga kifaru kinaendeshwa na roboti na kurudi kwenye migorofa huku satelite za Wazayuni zikinasa. Wameshushuwa kipondo ndani ya magorofa na familia zao. Wanajeshi wa Israel waliokufa wengi ni wale snipers ambao lazima watembee na kukabiliana ana kwa ana.
Faizy, wake up. Video nyingi za Hamas ni za mchongo za kubembeleza wakubwa zao watoe zaidi.
Kwahiyo za hawa Wayahudi ndio sio za mchongo?
 
Sina maana hiyo. Actually kama umewahi kufuatilia kwa karibu vita za nchi za kiarabu hasa hawa vikundi vya kigaidi extremists, wanapenda sana kutumia mashimo ya ardhini kujificha. Na main reason hawana guarrila fighters kwa vile maeneo yao ni Jangwa. No forests for hiding and combat.
 
Back
Top Bottom