Israel yapoteza Wanajeshi wake 350 ndani ya siku mbili

Kwa iyo mnataka kusema Izrael inauwa wagonjwa na sio Hamas Soldiers eeh.?
 
1. Blah blah blah
 
Siyo kweli. Hii video nimeiona kitambo sana. In actual sense, magari mengi na vifaru viliingizwa gaza kati kama mbinu ya kuwatoa Hamas waliko. Vifaru vingi ni robotic. Ujinga wa Hamas wakaingia kingi. Wanachomoka wanapiga kifaru kinaendeshwa na roboti na kurudi kwenye migorofa huku satelite za Wazayuni zikinasa. Wameshushuwa kipondo ndani ya magorofa na familia zao. Wanajeshi wa Israel waliokufa wengi ni wale snipers ambao lazima watembee na kukabiliana ana kwa ana.
Faizy, wake up. Video nyingi za Hamas ni za mchongo za kubembeleza wakubwa zao watoe zaidi.
 
Yeye Bibi Tashbura FaizaFoxy hawaiti Hamas anawaita Palestina 🤪
 
Kwahiyo za hawa Wayahudi ndio sio za mchongo?
 
Kwahiyo za hawa Wayahudi ndio sio za mchongo?
Sina maana hiyo. Actually kama umewahi kufuatilia kwa karibu vita za nchi za kiarabu hasa hawa vikundi vya kigaidi extremists, wanapenda sana kutumia mashimo ya ardhini kujificha. Na main reason hawana guarrila fighters kwa vile maeneo yao ni Jangwa. No forests for hiding and combat.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…