Israel yapoteza Wanajeshi wake 350 ndani ya siku mbili

Idadi ya watoto wa kiume walio pigwa mabomu hao ndo wangekuwa khamas wa kesho.
Yah huu ni ushindi Kwa is real
Na kimsingi ghorofa na nyumba nyingi Gaza Centre ni za Hamas, ndiyo wenye nguvu kwani wanaongoza eneo la Paslestina. Ni kama kulinganisha Msasani na Viongozi w CCM
 
Biden: Kutakuwa hakuna tena Hamas Milele
 
Mazayuni wameingizwa kichwa kichwa, sasa tazama kimbembe wanachoshushiwa mitaani:


View: https://youtu.be/L-apt6xhElw?si=hQnEOp7lSd_DpiKe
 
Unajifariji tu hapa JF.
Kiuhalisia dunia yote inajua Hamas kwa sasa imepoteza udhibiti wa maeneo yote ya Gaza, haijulikani hata wako wapi, wamekufa au kukimbia wote.
Kila siku Israel ina tangaza wanajeshi wake kuuawa, leo tu wametangaza 10 kwenye mapambano sasa hamas kama wamekimbia na hawajulikani wako wapi hao wanao pambana na wanajeshi wa Israel ni majini au?
 
Wakatwekatwe vipande iwe chakula ya nguruwe
 
Kiarabu ni kiarabu tu mpaka raha kumsikiliza anavyo ongea 😍

Hao Israel vita ya chini hawawezi hata kidogo, na watakufa sana
 
Maamuma katika ubora wako. Tena ninyi hata ahadi za mudy hamna maana wenzenu wanawahi mabikra 72 na mito ya ulevi huko Jannah ninyi bila bila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…