Israel yarudisha majeshi nyuma kutoka Rafah na katikati ya Gaza. Hii ina maana gani

Ikiwa ni miezi sita kamili tangu vita vianze baina ya Hamas na Israel,na baada ya vifo vingi vya raia na askari wa Israel,na baada ya Israel kuwaudhi washirika wake, hatimae leo jeshi hilo limeamua kurudisha nyuma vikosi vyake kutoka kusini ya Gaza na Rafah.

Baadhi ya taarifa zinaeleza kuwa maelfu ya askari wanaorudi nyuma ni wale ambao wameamua kukimbia vita kurudi nyumbani.

Katika maelezo yake Israel kupitia redio ya channel 2 , imesema inarudisha nyuma jeshi kutokana na kukamilisha majukumu yao na kwamba Gaza nzima imeachwa na brigedi moja tu ambayo kazi yake kubwa itakuwa ni kuangalia uzio ambao umewekwa ili kuzuia wapalestina waliokimbilia kusini wasirudi tena kaskazini ya Gaza.

Itakumbukwa kuwa waziri mkuu wa Israel.Benjamin Netanyahu mwanzoni alisema lazima mateka wapatikane kabla ya Ramadhani ama sivyo hakuna kingemzuia kuingia Rafah.Hata hivyo mwezi umeisha na Hamas hakurudisha hata mateka mmoja.

Na vile vile wakati mwezi wa Ramadhani ukikaribia kuisha idadi ya vifo vya askari wa IDF kwenye maeneo yale yale Israel iliyojitangazia ushindi vimekuwa vikiongezeka sana kutokana na kuongezeka kwa mapigano.

Kurudishwa kwa vikosi hivyo kumeleta sherehe kwa wapalestina na pia kuleta kuchanganyikiwa kwa baadhi ya wafuatiliaji wa vita hivyo.

Chanzo: Aljazeera.
Nadhani ndita za mzee Biden zimesaidia.

Always UTU unashinda UNASABA na ITIKADI
 
Muislam hapotezi kitu. Akikua au akiuliwa kwake ni faraja akiwa anatetea mali yake au ardhi yake.
Sasa kama ni hivyo mbona wanaandamana kutaka Israel isitishe vita. Acha upunguan wewe au kwasababu upo huko tandale kwa mfuga mbwa unaona raha kuzungumza wakati watoto wa wenzio wanalia huko.
 
Summbukumu ummuyun wafahulauuminu
Unadhani wale wangalikua wakiristo mngalikaa kimya? Mbona Ukrain mnapiga kelele?
Nasema kama muislam kufa ni raha kwanini mnaandamana wakati watu wanapata raha wacha wafe.
 
1. Kwani walichopeana na wale washirika wa WCK nacho kilikuwa maumivu?

2. Nasema waendelee kutoa starehe hata Kwa washirika wao hasa wale kindaki ndaki.
 
Yaani nyie kobazi mnavituko sana! Mkilegezewa kidogo tu mnaanza kutamba ooohh wamekimbia vita, mkikaziwa mnaanza oooohh wanawake na watoto wanateketezwa gaza!😅
Yani ni kama ile ukinipiga umenionea uniniacha umeniogopa
Wacha upuuzi wewe.Hii hali sio kobaz walioisababisha.Israel wenyewe wanajua zaidi kuliko wewe.
Na hata mayahudi wenyewe na Marekani wanaona faida yake.
Sasa wewe kama nani unayelazimisha watu wapigane tu bila faida yoyote hata kama hali ya vita inataka visimame.
 
Brigedi zote kama zilishindwa kuleta ushindi.Huwezi kupatikana kwa brigedi moja.Eti iangalie watu wasirudi jijini Gaza upande wa kaskazini.
Uhakika ni kuwa Israel inaondoa majeshi yote.Hiyo ni kauli kama iliyotolewa na Japan siku iliposhindwa vita.
Habari zilizopo ni kuwa uamuzi wa kurudi nyuma ni kutokana na askari wenyewe wamechoka kupigana bila kujua malengo halisi ya vita.
Dunia iache kulialia kutaka Ceasefire Natanyahu apewe muda hadi December Nchi za Kiarabu na Kiislamu zikae kimya hadi Hammas wamalizwe.
 
Dunia haina watu wengi wapumbavu kama wewe.
Tunashukuru Mungu.
 
IDF haiwezi shindwa na Magaidi wa Hammas IDF ikiamua inaweza kwenda mpaka Saudi Arabia kwa Mabwana zenu.
 
Ikiwa ni miezi sita kamili tangu vita vianze baina ya Hamas na Israel,na baada ya vifo vingi vya raia na askari wa Israel,na baada ya Israel kuwaudhi washirika wake, hatimae leo jeshi hilo limeamua kurudisha nyuma vikosi vyake kutoka kusini ya Gaza na Rafah.

Baadhi ya taarifa zinaeleza kuwa maelfu ya askari wanaorudi nyuma ni wale ambao wameamua kukimbia vita kurudi nyumbani.

Katika maelezo yake Israel kupitia redio ya channel 2 , imesema inarudisha nyuma jeshi kutokana na kukamilisha majukumu yao na kwamba Gaza nzima imeachwa na brigedi moja tu ambayo kazi yake kubwa itakuwa ni kuangalia uzio ambao umewekwa ili kuzuia wapalestina waliokimbilia kusini wasirudi tena kaskazini ya Gaza.

Itakumbukwa kuwa waziri mkuu wa Israel.Benjamin Netanyahu mwanzoni alisema lazima mateka wapatikane kabla ya Ramadhani ama sivyo hakuna kingemzuia kuingia Rafah.Hata hivyo mwezi umeisha na Hamas hakurudisha hata mateka mmoja.

Na vile vile wakati mwezi wa Ramadhani ukikaribia kuisha idadi ya vifo vya askari wa IDF kwenye maeneo yale yale Israel iliyojitangazia ushindi vimekuwa vikiongezeka sana kutokana na kuongezeka kwa mapigano.

Kurudishwa kwa vikosi hivyo kumeleta sherehe kwa wapalestina na pia kuleta kuchanganyikiwa kwa baadhi ya wafuatiliaji wa vita hivyo.

Chanzo: Aljazeera.
Uzi wa magaidi....mnafarijiana 😀
 
Wakanani walikuwa wakiongea Kikanani Wahibru wanaongea Kihibru mpaka leo Waarabu ni wavamizi wa hilo eneo.

Waarabu walivamia Iberian Peninsula (Spain&Portuga) wakatolewa na hapo wanatolewa mdogo mdogo.
 
IDF haiwezi shindwa na Magaidi wa Hammas IDF ikiamua inaweza kwenda mpaka Saudi Arabia kwa Mabwana zenu.
Huu ni ushindi wa kiaina na hautokani na wingi wa silaha na ukubwa wa jeshi.
Ushindi wa aina hii ni wa kunyong'onyea tu.Kwani hujawahi kuona mtu mkubwa mwenye nguvu akidondoka tu bila hata kupigwa.
 
Huu ni ushindi wa kiaina na hautokani na wingi wa silaha na ukubwa wa jeshi.
Ni ujinga kuamini ni ushindi vita bado vinaendelea baada ya IDF kuua kwa bahati mbaya wafanyakazi wa World Kitchen wanazuga halafu kipigo kiko pale pale.
 
Akili yako ndiyo imekupeleka huko
 
Ni furaha kubwa kuonkoka kwao na ni mipango ya Allah subhaanahu wataala
Hapo kama ni Vita wanapigana Miungu wawili Yahweh na Allah kiukweli kabisa Allah kapigwa vibaya hadi aibu😁
 
Back
Top Bottom