Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,809
- 11,825
Sababu ni watumwa wa MohammadMuislam hapotezi kitu. Akikua au akiuliwa kwake ni faraja akiwa anatetea mali yake au ardhi yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu ni watumwa wa MohammadMuislam hapotezi kitu. Akikua au akiuliwa kwake ni faraja akiwa anatetea mali yake au ardhi yake.
Hata wewe ulitakiwa uwe hivyo. Lkn umekuwa kafiri hujui utendaloSababu ni watumwa wa Mohammad
Hamna lolote kashindwa vita, vita inataka pumzi kubwa, vita si kubomoaa Hospital. Shule, Masijidi, Makanisa, Majumba.anaenda kujiandaa na vita dhidi ya Iran! middle east patachafuka this time.
Israel ilikua lazma a-withdraw kikosi Gaza kujiweka sawa kwa vita kubwa ambayo ipo mbele yake vita ambayo itabadilisha taswira ya middle East (Kama ikitokea)Hii maana yake lengo la kuwamaliza Hamas na kuwakomboa mateka limefeli. Ngoma bado mbichi wanaume wamekomaa
Mtego wa panyaIkiwa ni miezi sita kamili tangu vita vianze baina ya Hamas na Israel,na baada ya vifo vingi vya raia na askari wa Israel,na baada ya Israel kuwaudhi washirika wake, hatimae leo jeshi hilo limeamua kurudisha nyuma vikosi vyake kutoka kusini ya Gaza na Rafah.
Baadhi ya taarifa zinaeleza kuwa maelfu ya askari wanaorudi nyuma ni wale ambao wameamua kukimbia vita kurudi nyumbani.
Katika maelezo yake Israel kupitia redio ya channel 2 , imesema inarudisha nyuma jeshi kutokana na kukamilisha majukumu yao na kwamba Gaza nzima imeachwa na brigedi moja tu ambayo kazi yake kubwa itakuwa ni kuangalia uzio ambao umewekwa ili kuzuia wapalestina waliokimbilia kusini wasirudi tena kaskazini ya Gaza.
Itakumbukwa kuwa waziri mkuu wa Israel.Benjamin Netanyahu mwanzoni alisema lazima mateka wapatikane kabla ya Ramadhani ama sivyo hakuna kingemzuia kuingia Rafah.Hata hivyo mwezi umeisha na Hamas hakurudisha hata mateka mmoja.
Na vile vile wakati mwezi wa Ramadhani ukikaribia kuisha idadi ya vifo vya askari wa IDF kwenye maeneo yale yale Israel iliyojitangazia ushindi vimekuwa vikiongezeka sana kutokana na kuongezeka kwa mapigano.
Kurudishwa kwa vikosi hivyo kumeleta sherehe kwa wapalestina na pia kuleta kuchanganyikiwa kwa baadhi ya wafuatiliaji wa vita hivyo.
Chanzo: Aljazeera.
Hawaondoi Majeshi yote wamebakiza Brigade moja na sasa wanaanza Missions za kuwashambulia Hammas huko kwenye mashimo kwa kurumia Intelligence.Wanaondoa majeshi kwa ridhaa yao maana wamewadhibiti magaidi ya Hamas vilivyo.
Kuna kitu kinaitwa international pressure. Even supporter wao mkubwa ameonya wao ku stop baada ya lile shambulizi. I dont see why wasinge stop. Is not about mateka, wangeweza kufanya hivi for almost mwaka mzima if wangetaka,lakini international support hairaki tenaHii maana yake lengo la kuwamaliza Hamas na kuwakomboa mateka limefeli. Ngoma bado mbichi wanaume wamekomaa
Hivi malaria kuna kitu waga unawaza tofauti na uislamu??Hata wewe ulitakiwa uwe hivyo. Lkn umekuwa kafiri hujui utendalo
Kafiri kafiri tu. Hata ufahamushwe vipi kafiri kafiri tuHivi malaria kuna kitu waga unawaza tofauti na uislamu??
maana huna tofauti na mrokole anae nunua mafuta ya upako wote mshakua Religion psychopath mnampigania Mungu mpaka unajiuliza huyo Mungu hana uwezo mpaka anapiganiwa hivyo na wanadamu?
psychopath 😂😂😂Kafiri kafiri tu. Hata ufahamushwe vipi kafiri kafiri tu
Walijua ni Mateka wa Idd Amin Kule Entebe. Miaka hii hakuna mbabe wa kudumuHii maana yake lengo la kuwamaliza Hamas na kuwakomboa mateka limefeli. Ngoma bado mbichi wanaume wamekomaa
Hakika aliyeweka hiyo scenery alifikilia mbali sana, nadhani hii nayo ni kati kitu cha ajabu duniani, safi sana.Muislam hapotezi kitu. Akikua au akiuliwa kwake ni faraja akiwa anatetea mali yake au ardhi yake.
Brigedi zote kama zilishindwa kuleta ushindi.Huwezi kupatikana kwa brigedi moja.Eti iangalie watu wasirudi jijini Gaza upande wa kaskazini.Hawaondoi Majeshi yote wamebakiza Brigade moja na sasa wanaanza Missions za kuwashambulia Hammas huko kwenye mashimo kwa kurumia Intelligence.
Yaani nyie kobazi mnavituko sana! Mkilegezewa kidogo tu mnaanza kutamba ooohh wamekimbia vita, mkikaziwa mnaanza oooohh wanawake na watoto wanateketezwa gaza!😅Ikiwa ni miezi sita kamili tangu vita vianze baina ya Hamas na Israel,na baada ya vifo vingi vya raia na askari wa Israel,na baada ya Israel kuwaudhi washirika wake, hatimae leo jeshi hilo limeamua kurudisha nyuma vikosi vyake kutoka kusini ya Gaza na Rafah.
Baadhi ya taarifa zinaeleza kuwa maelfu ya askari wanaorudi nyuma ni wale ambao wameamua kukimbia vita kurudi nyumbani.
Katika maelezo yake Israel kupitia redio ya channel 2 , imesema inarudisha nyuma jeshi kutokana na kukamilisha majukumu yao na kwamba Gaza nzima imeachwa na brigedi moja tu ambayo kazi yake kubwa itakuwa ni kuangalia uzio ambao umewekwa ili kuzuia wapalestina waliokimbilia kusini wasirudi tena kaskazini ya Gaza.
Itakumbukwa kuwa waziri mkuu wa Israel.Benjamin Netanyahu mwanzoni alisema lazima mateka wapatikane kabla ya Ramadhani ama sivyo hakuna kingemzuia kuingia Rafah.Hata hivyo mwezi umeisha na Hamas hakurudisha hata mateka mmoja.
Na vile vile wakati mwezi wa Ramadhani ukikaribia kuisha idadi ya vifo vya askari wa IDF kwenye maeneo yale yale Israel iliyojitangazia ushindi vimekuwa vikiongezeka sana kutokana na kuongezeka kwa mapigano.
Kurudishwa kwa vikosi hivyo kumeleta sherehe kwa wapalestina na pia kuleta kuchanganyikiwa kwa baadhi ya wafuatiliaji wa vita hivyo.
Chanzo: Aljazeera.
Ni vigumu sana kuwatabiri hao viumbeIkiwa ni miezi sita kamili tangu vita vianze baina ya Hamas na Israel,na baada ya vifo vingi vya raia na askari wa Israel,na baada ya Israel kuwaudhi washirika wake, hatimae leo jeshi hilo limeamua kurudisha nyuma vikosi vyake kutoka kusini ya Gaza na Rafah.