Israel yarudisha majeshi nyuma kutoka Rafah na katikati ya Gaza. Hii ina maana gani

Trap hiyo kama al shifa.. Hasam lazima waingizwe king tena... IDF wamekaa tu ila kikosi kimoja kimeachwa like chambo.

News kutoka kwa IDF preparation now ya Rafah inaanza Hamas kaeni mkao wa kwenda choo
Inachekesha sana
 
anaenda kujiandaa na vita dhidi ya Iran! middle east patachafuka this time.
Hamna lolote kashindwa vita, vita inataka pumzi kubwa, vita si kubomoaa Hospital. Shule, Masijidi, Makanisa, Majumba.

Kuwauwa watoto, wanawake, vizee n.k

Hamasi wanaume walishamwambia tokea mwanzo hukomboi hata mateka mmoja na kuivunja Hamasi ni ndoto tu 😄
 
Hii maana yake lengo la kuwamaliza Hamas na kuwakomboa mateka limefeli. Ngoma bado mbichi wanaume wamekomaa
Israel ilikua lazma a-withdraw kikosi Gaza kujiweka sawa kwa vita kubwa ambayo ipo mbele yake vita ambayo itabadilisha taswira ya middle East (Kama ikitokea)

Israel hawezi kupiga hii vita pekeake bila kaka yake kuingilia kati atafanywa kitu haijawai tokea so he needs as many Men as he can to fight against death shadow

Iran, Syria,iraq, Lebanon, Yemen wote wapotayali na morari upo juu wanasubili D day
 
Ikiwa ni miezi sita kamili tangu vita vianze baina ya Hamas na Israel,na baada ya vifo vingi vya raia na askari wa Israel,na baada ya Israel kuwaudhi washirika wake, hatimae leo jeshi hilo limeamua kurudisha nyuma vikosi vyake kutoka kusini ya Gaza na Rafah.

Baadhi ya taarifa zinaeleza kuwa maelfu ya askari wanaorudi nyuma ni wale ambao wameamua kukimbia vita kurudi nyumbani.

Katika maelezo yake Israel kupitia redio ya channel 2 , imesema inarudisha nyuma jeshi kutokana na kukamilisha majukumu yao na kwamba Gaza nzima imeachwa na brigedi moja tu ambayo kazi yake kubwa itakuwa ni kuangalia uzio ambao umewekwa ili kuzuia wapalestina waliokimbilia kusini wasirudi tena kaskazini ya Gaza.

Itakumbukwa kuwa waziri mkuu wa Israel.Benjamin Netanyahu mwanzoni alisema lazima mateka wapatikane kabla ya Ramadhani ama sivyo hakuna kingemzuia kuingia Rafah.Hata hivyo mwezi umeisha na Hamas hakurudisha hata mateka mmoja.

Na vile vile wakati mwezi wa Ramadhani ukikaribia kuisha idadi ya vifo vya askari wa IDF kwenye maeneo yale yale Israel iliyojitangazia ushindi vimekuwa vikiongezeka sana kutokana na kuongezeka kwa mapigano.

Kurudishwa kwa vikosi hivyo kumeleta sherehe kwa wapalestina na pia kuleta kuchanganyikiwa kwa baadhi ya wafuatiliaji wa vita hivyo.

Chanzo: Aljazeera.
Mtego wa panya
 
Hii maana yake lengo la kuwamaliza Hamas na kuwakomboa mateka limefeli. Ngoma bado mbichi wanaume wamekomaa
Kuna kitu kinaitwa international pressure. Even supporter wao mkubwa ameonya wao ku stop baada ya lile shambulizi. I dont see why wasinge stop. Is not about mateka, wangeweza kufanya hivi for almost mwaka mzima if wangetaka,lakini international support hairaki tena
 
Hata wewe ulitakiwa uwe hivyo. Lkn umekuwa kafiri hujui utendalo
Hivi malaria kuna kitu waga unawaza tofauti na uislamu??

maana huna tofauti na mrokole anae nunua mafuta ya upako wote mshakua Religion psychopath mnampigania Mungu mpaka unajiuliza huyo Mungu hana uwezo mpaka anapiganiwa hivyo na wanadamu?
 
Hawaondoi Majeshi yote wamebakiza Brigade moja na sasa wanaanza Missions za kuwashambulia Hammas huko kwenye mashimo kwa kurumia Intelligence.
Ni furaha kubwa kuonkoka kwao na ni mipango ya Allah subhaanahu wataala
 
Hivi malaria kuna kitu waga unawaza tofauti na uislamu??

maana huna tofauti na mrokole anae nunua mafuta ya upako wote mshakua Religion psychopath mnampigania Mungu mpaka unajiuliza huyo Mungu hana uwezo mpaka anapiganiwa hivyo na wanadamu?
Kafiri kafiri tu. Hata ufahamushwe vipi kafiri kafiri tu
 
psychopath 😂😂😂
IMG_195906_4424.jpeg
 
Ujui mbinu za kijeshi.kurudi nyuma Pana maana nyingi huwa mnavutwa ili mjae kwenye target ili mpigwe counter attack moja matata
 
Inaonekana mateka wa Israel awapo Gaza... unaweza kuta tayari wapo ata huko Iran au Sirya. Maana Hamas ana network zake na Iran wanawasaidia kwa all components za Kupigana Vita(millitary Inteligency and stategics,Weapons etc) na pengine Kwa kificho na mataifa makubwa ya Warabu kwani Mwislam nduguye ni Mwislam....So Israel mpaka wameenda kuuwa Wa Iran kwenye ubalozi wake wa Sirya maana kila kukicha wanapata Intel mpya za tukio la 7th October... kutoka kwa Hamas wanaowakamata na vielelezo toka kwenye majengo(kambi) za Hamas wanazozifikia kote huko Palestina.Kwenye vita yeyote cha kwanza ni kujua adui yako ni nani na ana silaha gani na ana support zipi! Ukijua haya ulazima wa kubadili mwelekeo na tactics za mapambano ufanywa ili kutimiza lengo la kushinda Vita.So the Boys will make it! Awanaga papara... lets wait and see
 
Muislam hapotezi kitu. Akikua au akiuliwa kwake ni faraja akiwa anatetea mali yake au ardhi yake.
Hakika aliyeweka hiyo scenery alifikilia mbali sana, nadhani hii nayo ni kati kitu cha ajabu duniani, safi sana.
 
Ujui mbinu za kijeshi.kurudi nyuma Pana maana nyingi huwa mnavutwa ili mjae kwenye target ili mpigwe counter attack moja matata
Mbinu hizo Sio kwa Gaza.
Wamewafuata mpaka kwenye mahandaki na hawakuwaona.
 
Hawaondoi Majeshi yote wamebakiza Brigade moja na sasa wanaanza Missions za kuwashambulia Hammas huko kwenye mashimo kwa kurumia Intelligence.
Brigedi zote kama zilishindwa kuleta ushindi.Huwezi kupatikana kwa brigedi moja.Eti iangalie watu wasirudi jijini Gaza upande wa kaskazini.
Uhakika ni kuwa Israel inaondoa majeshi yote.Hiyo ni kauli kama iliyotolewa na Japan siku iliposhindwa vita.
Habari zilizopo ni kuwa uamuzi wa kurudi nyuma ni kutokana na askari wenyewe wamechoka kupigana bila kujua malengo halisi ya vita.
 
Ikiwa ni miezi sita kamili tangu vita vianze baina ya Hamas na Israel,na baada ya vifo vingi vya raia na askari wa Israel,na baada ya Israel kuwaudhi washirika wake, hatimae leo jeshi hilo limeamua kurudisha nyuma vikosi vyake kutoka kusini ya Gaza na Rafah.

Baadhi ya taarifa zinaeleza kuwa maelfu ya askari wanaorudi nyuma ni wale ambao wameamua kukimbia vita kurudi nyumbani.

Katika maelezo yake Israel kupitia redio ya channel 2 , imesema inarudisha nyuma jeshi kutokana na kukamilisha majukumu yao na kwamba Gaza nzima imeachwa na brigedi moja tu ambayo kazi yake kubwa itakuwa ni kuangalia uzio ambao umewekwa ili kuzuia wapalestina waliokimbilia kusini wasirudi tena kaskazini ya Gaza.

Itakumbukwa kuwa waziri mkuu wa Israel.Benjamin Netanyahu mwanzoni alisema lazima mateka wapatikane kabla ya Ramadhani ama sivyo hakuna kingemzuia kuingia Rafah.Hata hivyo mwezi umeisha na Hamas hakurudisha hata mateka mmoja.

Na vile vile wakati mwezi wa Ramadhani ukikaribia kuisha idadi ya vifo vya askari wa IDF kwenye maeneo yale yale Israel iliyojitangazia ushindi vimekuwa vikiongezeka sana kutokana na kuongezeka kwa mapigano.

Kurudishwa kwa vikosi hivyo kumeleta sherehe kwa wapalestina na pia kuleta kuchanganyikiwa kwa baadhi ya wafuatiliaji wa vita hivyo.

Chanzo: Aljazeera.
Yaani nyie kobazi mnavituko sana! Mkilegezewa kidogo tu mnaanza kutamba ooohh wamekimbia vita, mkikaziwa mnaanza oooohh wanawake na watoto wanateketezwa gaza!😅
Yani ni kama ile ukinipiga umenionea uniniacha umeniogopa
 
Ikiwa ni miezi sita kamili tangu vita vianze baina ya Hamas na Israel,na baada ya vifo vingi vya raia na askari wa Israel,na baada ya Israel kuwaudhi washirika wake, hatimae leo jeshi hilo limeamua kurudisha nyuma vikosi vyake kutoka kusini ya Gaza na Rafah.

Baadhi ya taarifa zinaeleza kuwa maelfu ya askari wanaorudi nyuma ni wale ambao wameamua kukimbia vita kurudi nyumbani.

Katika maelezo yake Israel kupitia redio ya channel 2 , imesema inarudisha nyuma jeshi kutokana na kukamilisha majukumu yao na kwamba Gaza nzima imeachwa na brigedi moja tu ambayo kazi yake kubwa itakuwa ni kuangalia uzio ambao umewekwa ili kuzuia wapalestina waliokimbilia kusini wasirudi tena kaskazini ya Gaza.

Itakumbukwa kuwa waziri mkuu wa Israel.Benjamin Netanyahu mwanzoni alisema lazima mateka wapatikane kabla ya Ramadhani ama sivyo hakuna kingemzuia kuingia Rafah.Hata hivyo mwezi umeisha na Hamas hakurudisha hata mateka mmoja.

Na vile vile wakati mwezi wa Ramadhani ukikaribia kuisha idadi ya vifo vya askari wa IDF kwenye maeneo yale yale Israel iliyojitangazia ushindi vimekuwa vikiongezeka sana kutokana na kuongezeka kwa mapigano.

Kurudishwa kwa vikosi hivyo kumeleta sherehe kwa wapalestina na pia kuleta kuchanganyikiwa kwa baadhi ya wafuatiliaji wa vita hivyo.

Chanzo: Aljazeera.
Ni vigumu sana kuwatabiri hao viumbe
 
Back
Top Bottom