Israel yarudisha majeshi nyuma kutoka Rafah na katikati ya Gaza. Hii ina maana gani

Israel yarudisha majeshi nyuma kutoka Rafah na katikati ya Gaza. Hii ina maana gani

Hapo kama ni Vita wanapigana Miungu wawili Yahweh na Allah kiukweli kabisa Allah kapigwa vibaya hadi aibu😁
Mungu ni mmoja tu kwa wote naye ni Allah.ukipenda unaweza kumuita Yahweh au Mwenyezi Mungu.
Kwa kiarabu tu ana majina 99
 
Mungu ni mmoja tu kwa wote naye ni Allah.ukipenda unaweza kumuita Yahweh au Mwenyezi Mungu.
Kwa kiarabu tu ana majina 99
Ni Miungu wawili tofauti kabisa angalia sifa za Yahweh na Allah kama hujui Historia ya Miungu hii ya kale nenda kasome kuanzia Baal miungu ya Wakanani.

Qurani imetengenezwa miaka 1400 iliyopita baada ya Waarabu kudump masanamu yao na kudandia miungu ya levant na hatimae kuja kuwadanganya ninyi Waswahili wenzangu.
 
Ni Miungu wawili tofauti kabisa angalia sifa za Yahweh na Allah kama hujui Historia ya Miungu hii ya kale nenda kasome kuanzia Baal miungu ya Wakanani.
Achana na maandishi ya kiyahudi wanaopenda kutia chumvi na kujitukuza.Mungu ni mmoja tu.
 
1712564439457.png
 
Ni ujinga kuamini ni ushindi vita bado vinaendelea baada ya IDF kuua kwa bahati mbaya wafanyakazi wa World Kitchen wanazuga halafu kipigo kiko pale pale.

Kwani ndivyo walivyokwambia ndugu?
 
BREAKING:

[emoji1130][emoji1258] This explains why today Israel announced a complete withdrawal from Gaza.

Iran has reportedly communicated to the United States through the Sultanate of Oman, that the Islamic Republic intends to directly strike Israel, unless the U.S. guarantees an immediate permanent ceasefire in Gaza & no Israeli ground invasion of Rafah – Exclusive sources to Jadeh Iran

So basically Iran has given the U.S. a choice: You can avoid a direct attack on Israel, by signing a permanent ceasefire in Gaza & an official guarantee of no Rafah operation.

@Middle_East_Spectator
 
Ni jambo jema na la hekima la Iran.
Kama tunavyojua Iran ikitumia Syria kutoka milima ya Golan Israel hana ujanja kabisa.Anapiga Tel Aviv moja kwa moja hata kwa RPG wachilia mbali makombora ya masafa marefu yanayoweza kurushwa kutoka Iran.
sasa Tel Aviv ikiwaka moto Israel itabakiwa na nini.
 
Kwani ndivyo walivyokwambia ndugu?
Hivi nikikuuliza eneo kama lile la Gaza la urefu wa kilometa 20 na upana kilomota kumi unaweza kulishinda Jeshi kubwa kama la IDF pale na wewe unwaamini Propaganda?
 
Back
Top Bottom