Israel yasema shambulio la Yemen ni onyo kwa maadui zake wote wa mashariki ya kati

Wewe sio tu punguani we mpumbavu KABISA.
Kuniita kwako mimi mfia dini haiondoi kuwa wewe ni punguani tena sio tu punguani bali mpumbavu asiyejua anayejifanya anajua kabisa.
Usikute ninaongea na mtu HAJUI HATA KIIGEREZA.
 
Mie huwa sibishani bali huwa nazungumza nachokifahamu na kukihakikisha.
Ila wewe ndio umeleta ubishi kiasi unaniita mimi mfia dini na muongo.
Wadhani utabadilisha ukweli!??
Aya wasome na hao hapo FRANCE 24.
Na hapo nilipoweka alama nyekundu panasema ving'ora vya anga vililia kwasababu ya uwezekano wa mabaki ya roketi kuangukia ndani.Na kama yameangukia ndani ya Eilat basi kuna uwezekano kuna lililopenya ndani.
 
Wewe Mohammed ni nani? Kwa kiboko ya wachawo wamejaa waislamu, kwa mamposa wamejaaa waislamu? Mnahangajika sanaa. Masheikh wamejaa uganga na majini
Mtume Muhammad ni kipenzi changu na Waislam wote. Achana na story uchawi upo kila sehemu uwe Mkristo, Mhindu, Mbhudas na hata wanao jiita Waislam.

Waislam ni mbali na mbali na hayo ulio yaongea.

Kunavwachawi kama wakristo? Nenda Sumbawanga ukawaone jama zako.

Hao masheikh unao ongelea hao machizi tu ukiona wanavaa kanzu usidhani wote ni waislam, hao ni kama nyie wakristo.
 
Mpwa mesejibza mtandaoni unapanik hivi ,serious keyboard inakupanikisha
Vipi mngekutana uso kwa uso hehehehe
 
Aisee!
 
Endelea kujivua nguo kwa chuki zako za kifia dini ndugu yangu.
Inawezekana kweli sijui kiingereza,inawezekana kweli mimi ni mpumbavu na punguwani kama unavyodhibirisha chuki yako kwa wanaopishana na wewe mtazamo lakini haindoi ukweli kwamba umeongopa kwa kusema kuwa mji wa eillat ulilipuliwa.
Naweza nikawa sijui kiingereza lakini si mjinga wa kudanganywa kuwa mji ulipigwa.
Wapi hapo katika mabandiko yako huo mji umepigwa.
Kunitukana kwako hakuondoi ukweli kwamba dini yako imekufanya kuwa lizushi,lijuaji,liongo na lipuuzi.
 
Soma tena kwa umakini.
Hao ni France 24 au nao FRANCE 24 ni waongo,wajuaji na wapuuzi na wafia dini!??
Maana hii habari imetoka kwao.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Daaah ujinga mzigo mdogo ila UPUMBAVU ni furushi kubwa sana.
Embu soma kwa umakini nilipozungushia alama nyekundu.
Shrapnel ama mabaki/vyuma vya roketi ama makombora vimetokea wapi kama sio shambulizi!?
Nahisi ninaongea na kichaa.
Kuwa na aibu hata kidogo basi.
Acha ubishani wa kipumbavu.
 
Rejea post yako #60 ujifanyie assessment mwenyewe.
 
Rejea post yako #60 ujifanyie assessment mwenyewe.
Nikisema wewe kuwa una tatizo la uelewa ninakosea!?
Je Houthi hawajashambulia Eilat!?
Je Israel Air defence system zao zimedungua nini angani kama Houthi hawajashambulia!?
Aya niambie nimedanganya wapi!?
Tttttttttt
Fanya assessement wewe sasa wapi nimedanganya.
 
Kama hicho ndo kisasi cha Houthi basi najifanyia assessment mimi mwenyewe!
 
Kama Rusia anasaidiwa na Iran Korea ,hivyo hakuna tatizo kwa Israel kusaidiwa na hao sawala na ushindi
Na kunyimwa msaada kwa Hamas nako jee itakuwa sawa ?
 
Aliye waambia mumchokoze Yahudi nani?? Huku mnajua MUNGU wao Amewaamrisha!;
👇👇
Torati.19:20-21
[19]Na watakaosalia watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.
[21]Wala jicho lako lisiwe na huruma; uzima kwa uzima, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.
Kambishie muham mad aka allah aliye waambia kwamba!;
👇👇
۞ لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُم مَّوَدَّةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَىٰ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانًا وَأَنَّهُمْ لَا يَسْتَكْبِرُونَ

[ AL - MAIDA - 82 ]
Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Wakristo. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao Wasomi na wacha Mungu na kwa sababu wao hawafanyi kiburi.
 
Qur'an hakuwahi hata siku moja kupoint wanafunzi wa Paulo, ilikuwa inawapoint wale wanafunzi wa Yesu ambao walifundisha mafunzo ya Yesu sio huyo bwege wenu aliye ota kalala chini ya mti.

Kuhusu israel kipigo kinakuja nyie tegeni masikio kuanzia leo mpaa hizi siku tatu we tega sikio utaona Yahudi anavyo sambaratishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…