Wewe sio tu punguani we mpumbavu KABISA.Wewe ndo umeanzisha mada ya kubishana.
Base yangu kuongelea dini ni kusimama katika ukweli kuwa kama ufia dini wako unakufanya kuwa liongo,lizushi na libishi basi hiyo dini haikufai.
Kama gt nimejipa muda kusoma na kuangalia kweli kama hiyo link inaongelea eillat kulipuliwa na houth na nikajiridhisha beyond reasonable doubt kama umeongopa.
Nakutahadhalisha kuwa usijisahau tunakusoma jinsi ulivyo either positively or negatively kupitia mabandiko yako.
Usipoteze credibility ukajivua nguo mbele ya waungwana kwa sababu ya ufia dini.
Wasalaam
Kuniita punguani ni dalili ya kutumia nguvu kujibu hoja badala ya kutoa hoja ya nguvu
Kuniita kwako mimi mfia dini haiondoi kuwa wewe ni punguani tena sio tu punguani bali mpumbavu asiyejua anayejifanya anajua kabisa.
Usikute ninaongea na mtu HAJUI HATA KIIGEREZA.