Nimemaanisha kupigana vita rasmi, sio mashambulizi ya drone ambayo ni ya kushtukiza, yoyote akiwahiwa anapigwa. Kuwe na taarifa rasmi kuwa sasa tunapambana. Anaweza yapiga hayo mataifa?Saudia si alikua na ugomvi na houthi juzi tu,houthi wakapiga miundombinu yake ya mafuta kwa drone, saudia akaomba majadiliano na ugomvi ukaisha,shida ya houthi hawana Cha kupoteza,fikiria washushe makombora Cairo
F35 Ni za Israel, tangu israel imeshambulia houthi wameshambulia wali ndani Israel?F 35 siyo za Israel Bali marekani,houthi nao wameibonda mbaya Israel
Houthi jumba la miti, Egypt la vioo,vigae, unadhani houthi akirusha mawe Egypt nani ataumiaKwa hiyo houthi wana nguvu kuliko Egypt?
Wakati saudia anapigana na houthi Vita kamili hukuwa mfuatiliaji wa mambo eeh!?..si juzi tu hapa,Hadi ulinzi wa marekani saudia ukaonekana wa kidwanzi, patriot sijui zile, Putin akajisigeza kwa mbsNimemaanisha kupigana vita rasmi, sio mashambulizi ya drone ambayo ni ya kushtukiza, yoyote akiwahiwa anapigwa. Kuwe na taarifa rasmi kuwa sasa tunapambana. Anaweza yapiga hayo mataifa?
Wamepiga makombora ya kutosha tu,f 35 ni za USAF35 Ni za Israel, tangu israel imeshambulia houthi wameshambulia wali ndani Israel?
Kwamba ww una technical knowledge kuliko israel airforce ? Dude plsIsreal ni bla bla nyingi kwanza hizo F35 mpaa zifike Yemen wanazo two option wapunguze uzito, wa maboom ndio zitafika Yemen, kama wakitumia njia ya Red Se.
Hao mimi na kwenda na wale walio sema hizo ndege zilizo piga ni za US, UK, Egypt na Saud Arabia. Israel bila kupewa green light watumie Air space ya Egypt na Saud Arabia ni vigumu kufika huko ndege zao bila kuwa refuel, na hizo ndege tulizo onyeshwa zina refuel sio za Israel eti zipo Red Sea, ni video zipo kwenye archive zao.
Option ya pili walitumia UAE kwenda ku attacked Yemen.
Huku na huku warabu wameshiriki kama kawaida zao wameruhusu ndege za Israel kutumia anga ya Jordani, Saud Arabia na Egypt Warabu na wafrica si watu wakuwamini,wakiona ngozi ya pink.
R.I.P commander wangu Robert Mgabe huyu ni katika wale wakristo 10% naheshimu misimamo yao, sio hivi vikristo njaa vinavyo amini bibilia ya Paulo na taifa teule lake
Hi video nzuri kwa waimba kwaya watazame vipi Mungu wa bibilia zaio.ni Racist 😄
View: https://youtu.be/kQI7WWCi-eQ?si=RG6Ku8g3825pzy2U
Wamepiga makombora ya kutosha tu,f 35 ni za USA
Mkuu unakosea sana.Mfanano upo lakini indirectly kwa sababu Makundi tajwa yapo kwenye nchi na nchi hizo zinayakumbatia na kwa jinsi hiyo nchi yote inajumuishwa kama ndo inashambulia. e.g. HAMAS Wapo Palestina(Gaza) lakini Palestina haiwakatai, Houthi wapo Yemen na Yemen haiwakatai; kwa mantiki hiyo Yemen inajumuishwa kwamba ni Adui na inapigwa.
Iran ni mjanja anawasakizia Waarabu wenzake yeye katulia zake anaangalia ngoma inavyochezwa. Kutoa silaha au materials nyingine za kivita sio hoja sana kwani silaha na vitu bila Watu-Wapambanaji ni kazi bure. Iran anatoa mafunzo/anawafundisha mbinu lakini wanaofundishwa watafundishwa zaidi na IDF kwenye uwanja wa vita halisi.
Anao kwasababu alishafanya kwa Saudi Arabia na alifanikiwa kumpiga Saudi Arabia miaka ya 2017-2020.Unaamini Houthi ana uwezo wa kumpiga Misri au Saudia?
Israel huwa hawamtishi mtu awaye yote.Huwa wanatuma taarifa tu.Kwamba,nitakupiga huku tayari kakukung'unta unalialia.Israel ilifanya shambulio lake la mwanzo kwa Yemen na kuiharibu vibaya bandari ya Hodeida nchini humo kwenye eneo linalodhitiwa na Houth.
Waziri wa ulinzi wa Israel,Yoav Gallant amesema shambulio hilo si kwa Houth pekee bali ni onyo kwa wote wenye uadui na Israel.Akaongeza kusema kuwa moto unaowaka Hodeada unashuhudiwa na watu wote wa mashariki ya kati.
Kinachoshangaza ni jinsi mataifa hayo ya mashariki ya kati wanavyochukulia kuwa shambulio hilo ni kwa Houth pekee wakati mayahudi wanakusudia kuwatisha wote.
Israel imeanza Gaza na ukingo wa magharibi,imeingia Yemen na itafanya kwengine kwa ubabe bila hao watawala wa mashariki ya kati kuzinduka.
Hata hivyo kauli hiyo inaweza kuleta mabadiliko kwenye akili za watawala hao na kutamkwa kwake ni kipimo cha kibri cha Israel ikikaribia kuangamia kama ilivyotokea kwa firauni wakati alipozidi uadui na Mungu muda mfupi kabla ya kushikwa na kuangamizwa.
Baadhi ya wachambuzi wenye kufuatilia mizozo ya mashariki ya kati wamesema maamuzi ya Israel kuishambulia Yemen yanaweza kuwa sababu ya kuyapa nguvu makundi yanayopingana nayo na si kinyume chake.
Yemen's Houthi rebels vow open battle with Israel and the U.S., as fears rise of Mideast war
Lipo labda wewe ndio hujui.Hakuna kitu kama hicho hakuna sehemu yoyote ndani ya Israel limetua kombora lolote la houthi tangu Israel Ishambulie
Hata kwa Hizbollah mlisema vivyo hivyo.Nikwambie kitu......,
Kwa Myahudi houthi wameyakanyaga.
Kwani ulikua hujui kama Houthi na Yemeni walipigana vita rasmi!?Nimemaanisha kupigana vita rasmi, sio mashambulizi ya drone ambayo ni ya kushtukiza, yoyote akiwahiwa anapigwa. Kuwe na taarifa rasmi kuwa sasa tunapambana. Anaweza yapiga hayo mataifa?
Siyo kweli hakuna sehemu yoyote ndani Eilat iliuoshambuliwa na hata idf walikataa.Lipo labda wewe ndio hujui.
Eilat ilishambuliwa na imeshambulika.
Naona wametuma taarifa na Hizbollah kiasi Hizbollah imewahamisha mikoa ya kaskazini.Israel huwa hawamtishi mtu awaye yote.Huwa wanatuma taarifa tu.Kwamba,nitakupiga huku tayari kakukung'unta unalialia.
IDF kukataa kawaida yao.Siyo kweli hakuna sehemu yoyote ndani Eilat iliuoshambuliwa na hata idf walikataa.
Houthi ni chama cha kisiasa kihistoria unasemaje wanahifadhiwa hapo Yemeni!?Mmmmm! Naona sasa Houthi amechanganyikiwa mazima.Eti atazitwanga nchi zote za kiarabu na Marekani? -Hahaha Houth wapo hapo kwa Mjomba wao Yemen. Kwa maneno rahisi ni kwamba wamejihifadhi hapo na wanaletewa mahitaji na Iran. Wamejisahau siku Yemen akisema " Funga mguu -Ondokeni" hawana pa kwenda vinginevyo waliamshe dhidi ya Yemen (nchi yao wenyewe) na watahesabika kama kundi la Waasi wa kiHouthi linaloungwa mkono na Iran.
Ok. Vipi kwa Misri?Anao kwasababu alishafanya kwa Saudi Arabia na alifanikiwa kumpiga Saudi Arabia miaka ya 2017-2020.
Unapopigana na Houthi jua tu unapigana na Iran revolutionary guards corps.
Ndiyo wajue kujitambua ni muhimu.Wanapiga domo halafu vichaa wa Kiizraeli wanafanya kweli.Naona wametuma taarifa na Hizbollah kiasi Hizbollah imewahamisha mikoa ya kaskazini.
Kwa Misri hawakuwahi kupigana.Ok. Vipi kwa Misri?
Yote hayo nayafahamu, swali langu lililenga kupata maoni ya huyo niliemuuliza. Asante mawazo yako pia.Kwani ulikua hujui kama Houthi na Yemeni walipigana vita rasmi!?
Tokea 2017 mpaka 2020 Saudi Arabia ilituma jeshi kamili ikiwa na vifaa vyote hitajika.
Nia yao wakomboe miji yote iliyoshikiliwa na Houthi ili wairudishe kwenye utawala wa Mansour ambaye hakutakiwa na raia wa Yemeni.
Ila cha ajabu Saudi alipoteza askari na hata mji mkuu aliosema wa Sana'a ataulinda akapokonywa vile vile.
Msichokijua ninyi Houthi akipigana jua kuna askari wa Iran wapo mule ndani.