Israel yasema shambulio la Yemen ni onyo kwa maadui zake wote wa mashariki ya kati

Israel yasema shambulio la Yemen ni onyo kwa maadui zake wote wa mashariki ya kati

Saudia si alikua na ugomvi na houthi juzi tu,houthi wakapiga miundombinu yake ya mafuta kwa drone, saudia akaomba majadiliano na ugomvi ukaisha,shida ya houthi hawana Cha kupoteza,fikiria washushe makombora Cairo
Nimemaanisha kupigana vita rasmi, sio mashambulizi ya drone ambayo ni ya kushtukiza, yoyote akiwahiwa anapigwa. Kuwe na taarifa rasmi kuwa sasa tunapambana. Anaweza yapiga hayo mataifa?
 
Kwa hiyo houthi wana nguvu kuliko Egypt?
Houthi jumba la miti, Egypt la vioo,vigae, unadhani houthi akirusha mawe Egypt nani ataumia
Nimemaanisha kupigana vita rasmi, sio mashambulizi ya drone ambayo ni ya kushtukiza, yoyote akiwahiwa anapigwa. Kuwe na taarifa rasmi kuwa sasa tunapambana. Anaweza yapiga hayo mataifa?
Wakati saudia anapigana na houthi Vita kamili hukuwa mfuatiliaji wa mambo eeh!?..si juzi tu hapa,Hadi ulinzi wa marekani saudia ukaonekana wa kidwanzi, patriot sijui zile, Putin akajisigeza kwa mbs
 
Isreal ni bla bla nyingi kwanza hizo F35 mpaa zifike Yemen wanazo two option wapunguze uzito, wa maboom ndio zitafika Yemen, kama wakitumia njia ya Red Se.

Hao mimi na kwenda na wale walio sema hizo ndege zilizo piga ni za US, UK, Egypt na Saud Arabia. Israel bila kupewa green light watumie Air space ya Egypt na Saud Arabia ni vigumu kufika huko ndege zao bila kuwa refuel, na hizo ndege tulizo onyeshwa zina refuel sio za Israel eti zipo Red Sea, ni video zipo kwenye archive zao.

Option ya pili walitumia UAE kwenda ku attacked Yemen.

Huku na huku warabu wameshiriki kama kawaida zao wameruhusu ndege za Israel kutumia anga ya Jordani, Saud Arabia na Egypt Warabu na wafrica si watu wakuwamini,wakiona ngozi ya pink.

R.I.P commander wangu Robert Mgabe huyu ni katika wale wakristo 10% naheshimu misimamo yao, sio hivi vikristo njaa vinavyo amini bibilia ya Paulo na taifa teule lake

Hi video nzuri kwa waimba kwaya watazame vipi Mungu wa bibilia zaio.ni Racist 😄


View: https://youtu.be/kQI7WWCi-eQ?si=RG6Ku8g3825pzy2U

Kwamba ww una technical knowledge kuliko israel airforce ? Dude pls
kwanza F-35 wanazotumia F-35 ni modified kwa matumizi yao tu, wamechuku airframes waka install mifumo yao according to their needs. And hawana tu F-35 wana fleet kubwa ya ndege nyingine, so kwenye flight sortie hawa fly ndege aina moja.

Sisem israel is the best, but dont under estimate them na experience waliyo gain of all years
 
Mfanano upo lakini indirectly kwa sababu Makundi tajwa yapo kwenye nchi na nchi hizo zinayakumbatia na kwa jinsi hiyo nchi yote inajumuishwa kama ndo inashambulia. e.g. HAMAS Wapo Palestina(Gaza) lakini Palestina haiwakatai, Houthi wapo Yemen na Yemen haiwakatai; kwa mantiki hiyo Yemen inajumuishwa kwamba ni Adui na inapigwa.
Iran ni mjanja anawasakizia Waarabu wenzake yeye katulia zake anaangalia ngoma inavyochezwa. Kutoa silaha au materials nyingine za kivita sio hoja sana kwani silaha na vitu bila Watu-Wapambanaji ni kazi bure. Iran anatoa mafunzo/anawafundisha mbinu lakini wanaofundishwa watafundishwa zaidi na IDF kwenye uwanja wa vita halisi.
Mkuu unakosea sana.
Kwanza hayo makundi ni non-state actors.
Tofauti na USA na UK serikali zao ndizo zinazoisapoti Israel directly.
Usifananishe sovereign government na non-state actors armed groups kaka.
Pia Iran hatoi tu msaada wa fedha na silaha na mafunzo,bali pia hata wanajeshi anatoa.
Umeshasahau kama Qassem Soleiman kamanda wa jeshi la Iran aliuawa Syria?
Je alikua anafanya nini kule!?
Usisahau juwa Syria kuna jeshi la Iran tena Iran pale Syria kapoteza wanajeshi wengi sana akimsaidia Bashar Assad asitolewe madarakani ni vikundi vya kiasi ambavyo vingi vina muunganiko na Israel.
-Bila Iran basi Lebanon ilikua inapoteza eneo lake lote la Kusini pamoja na mpaka wa bahari wenye utajiri wa gesi na mafuta.
-Bila Iran Syria ilikua ishapotea nje ya mikono ya Assad.
-Bila Iran Yemeni ingekuwa haina msimamo mmoja na ingekuwa ina vikundi vya kiasi kila eneo kama Iraq.

Iran haijapoteza tu pesa na silaha bali imezika wanajeshi wake wa IRGC maeneo mengi tu hususan Syria,Yemeni na Lebanon.
Na mind you,hayo makundi vita pia zimekua nyepesi kwao kwasababu ya nguvu ya wanajeshi wa Iran kupigana nao pamoja.
Nadhani unajua historia ya Iran kivita ni kubwa kuliko ya Israel.
Iran ambayo ilimudu vita ya miaka 8 ikiwa na jeshi la mapinduzi tu ambalo bado halikutengemaa.
 
Unaamini Houthi ana uwezo wa kumpiga Misri au Saudia?
Anao kwasababu alishafanya kwa Saudi Arabia na alifanikiwa kumpiga Saudi Arabia miaka ya 2017-2020.
Unapopigana na Houthi jua tu unapigana na Iran revolutionary guards corps.
 
Israel ilifanya shambulio lake la mwanzo kwa Yemen na kuiharibu vibaya bandari ya Hodeida nchini humo kwenye eneo linalodhitiwa na Houth.

Waziri wa ulinzi wa Israel,Yoav Gallant amesema shambulio hilo si kwa Houth pekee bali ni onyo kwa wote wenye uadui na Israel.Akaongeza kusema kuwa moto unaowaka Hodeada unashuhudiwa na watu wote wa mashariki ya kati.

Kinachoshangaza ni jinsi mataifa hayo ya mashariki ya kati wanavyochukulia kuwa shambulio hilo ni kwa Houth pekee wakati mayahudi wanakusudia kuwatisha wote.

Israel imeanza Gaza na ukingo wa magharibi,imeingia Yemen na itafanya kwengine kwa ubabe bila hao watawala wa mashariki ya kati kuzinduka.

Hata hivyo kauli hiyo inaweza kuleta mabadiliko kwenye akili za watawala hao na kutamkwa kwake ni kipimo cha kibri cha Israel ikikaribia kuangamia kama ilivyotokea kwa firauni wakati alipozidi uadui na Mungu muda mfupi kabla ya kushikwa na kuangamizwa.

Baadhi ya wachambuzi wenye kufuatilia mizozo ya mashariki ya kati wamesema maamuzi ya Israel kuishambulia Yemen yanaweza kuwa sababu ya kuyapa nguvu makundi yanayopingana nayo na si kinyume chake.

Yemen's Houthi rebels vow open battle with Israel and the U.S., as fears rise of Mideast war

Israel huwa hawamtishi mtu awaye yote.Huwa wanatuma taarifa tu.Kwamba,nitakupiga huku tayari kakukung'unta unalialia.
 
Nimemaanisha kupigana vita rasmi, sio mashambulizi ya drone ambayo ni ya kushtukiza, yoyote akiwahiwa anapigwa. Kuwe na taarifa rasmi kuwa sasa tunapambana. Anaweza yapiga hayo mataifa?
Kwani ulikua hujui kama Houthi na Yemeni walipigana vita rasmi!?
Tokea 2017 mpaka 2020 Saudi Arabia ilituma jeshi kamili ikiwa na vifaa vyote hitajika.
Nia yao wakomboe miji yote iliyoshikiliwa na Houthi ili wairudishe kwenye utawala wa Mansour ambaye hakutakiwa na raia wa Yemeni.
Ila cha ajabu Saudi alipoteza askari na hata mji mkuu aliosema wa Sana'a ataulinda akapokonywa vile vile.
Msichokijua ninyi Houthi akipigana jua kuna askari wa Iran wapo mule ndani.
 
Siyo kweli hakuna sehemu yoyote ndani Eilat iliuoshambuliwa na hata idf walikataa.
IDF kukataa kawaida yao.
Hata hilo tukio la Tel Aviv kama isingekuwa media kuwahi kulirekodi basi wangekataa.
Eilat imeshambuliwa ila vyombo vingi vya habari vilikosa coverage.
IDF hao hao walikataa kama jeshi lao limepata walemavu wa kudumu 12000 kutokana na vita ya Gaza.
Mpaka gazeti la Haaretz likawaumbua.
 
Mmmmm! Naona sasa Houthi amechanganyikiwa mazima.Eti atazitwanga nchi zote za kiarabu na Marekani? -Hahaha Houth wapo hapo kwa Mjomba wao Yemen. Kwa maneno rahisi ni kwamba wamejihifadhi hapo na wanaletewa mahitaji na Iran. Wamejisahau siku Yemen akisema " Funga mguu -Ondokeni" hawana pa kwenda vinginevyo waliamshe dhidi ya Yemen (nchi yao wenyewe) na watahesabika kama kundi la Waasi wa kiHouthi linaloungwa mkono na Iran.
Houthi ni chama cha kisiasa kihistoria unasemaje wanahifadhiwa hapo Yemeni!?
Ni sawa useme ACT wazalendo wanahifadhiwa hapa Tanzania mkuu utakua uko serious kweli!?
Houthi wote ni asili ya Yemeni na wana historia katika kila siasa za Yemeni toka 1990s.
Unasema mtu anahifadhiwa nchini kwake!?
 
Anao kwasababu alishafanya kwa Saudi Arabia na alifanikiwa kumpiga Saudi Arabia miaka ya 2017-2020.
Unapopigana na Houthi jua tu unapigana na Iran revolutionary guards corps.
Ok. Vipi kwa Misri?
 
Ok. Vipi kwa Misri?
Kwa Misri hawakuwahi kupigana.
Ila kama watapigana vita itakua ngumu maana tabu kuu ilipo ni kuwa IRAN iko nyuma ya Houthi.
We hujiulizi nguvu ya makombora ya masafa marefu,vifaru na APC vehicles na bunduki zenye nguvu Houthi wanatoa wapi!?
Yani ili Houthi wafeli basi Iran isiingilie kati.
 
Kwani ulikua hujui kama Houthi na Yemeni walipigana vita rasmi!?
Tokea 2017 mpaka 2020 Saudi Arabia ilituma jeshi kamili ikiwa na vifaa vyote hitajika.
Nia yao wakomboe miji yote iliyoshikiliwa na Houthi ili wairudishe kwenye utawala wa Mansour ambaye hakutakiwa na raia wa Yemeni.
Ila cha ajabu Saudi alipoteza askari na hata mji mkuu aliosema wa Sana'a ataulinda akapokonywa vile vile.
Msichokijua ninyi Houthi akipigana jua kuna askari wa Iran wapo mule ndani.
Yote hayo nayafahamu, swali langu lililenga kupata maoni ya huyo niliemuuliza. Asante mawazo yako pia.
Tusichokijua wangapi au kina nani?
 
Back
Top Bottom